ATIKA SCHOOL
  • Start
    • SITEMAP
    • KNEC Portal
    • ZERAKI HELP AND SUPPORT
    • Academic Environment
    • KNEC KCSE PROJECT INSTRUCTIONS
  • BLOGS
    • About Us? >
      • Learn more about us
    • CUSTOMER CARE >
      • PRICING
      • Help & Support
    • News and Opinions
    • JOBS IN KENYA AND ABROAD FOR KENYANS AND BEYOND
    • How its Done
  • OUR PRODUCTS
    • All Categories >
      • MORE PRODUCTS >
        • SECONDARY CRE NOTES
        • COURSE BOOKS
        • KCSE KISWAHILI SETBOOKS
        • Backed Up Files and Archives
        • FREE DOCUMENTS
        • PRIMARY 8-4-4 BASED RESOURCES
        • STANDARD 8 RESOURCES
        • HIGH SCHOOL RESOURCES >
          • Biology Paper 3 Exams
          • Secondary Examinations
        • PRIMARY CBC BASED RESOURCES
        • COLLEGE & VARSITY RESOURCES
      • PRIMARY RESOURCES CBC
      • PRIMARY RESOURCES 8-4-4
      • SECONDARY RESOURCES
      • NOTES & TUTORIALS
      • COLLEGE RESOURCES
      • NOVELS and OTHER BOOKS
    • EXAMINATIONS >
      • MOCKS AND JOINT EXAMS >
        • FORM 1 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 2 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 3 EXAMINATIONS, QUESTION PAPERS AND ANSWERS
        • FORM 4 MOCKS PAST EXAMS BY REGION
        • TOP SECONDARY EXAMS ALL SUBJECTS
      • KPSEA NATIONAL EXAMS
      • KCPE >
        • KCPE PAST PAPERS AND ANSWERS >
          • KCPE 2020 RESULTS, REPORTS, QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCPE PAST PAPERS 2019 REPORTS, RESULTS, QUESTIONS AND ANSWERS
        • KCPE PAST PAPERS PER SUBJECT
      • KCSE >
        • KCSE PAST PAPERS BY SUBJECT
        • KNEC KCSE PAST PAPERS, MARKING SCHEMES, QUESTIONS & ANSWERS
        • Free KCSE Past Papers Mathematics
        • Free KCSE Biology Questions and Answers
      • QUESTIONS & ANSWERS >
        • SECONDARY >
          • LANGUAGES >
            • Secondary English Questions and Answers
          • TECHNICALS >
            • COMPUTER STUDIES >
              • COMPUTER STUDIES Q & A
              • kcse computer studies paper 2 AND 3 Questions & Answers
            • BUSINESS STUDIES QUESTIONS & ANSWERS
            • KCSE AGRICULTURE TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE HOME SCIENCE DIRECT QUESTIONS AND ANSWERS
          • SCIENCES >
            • KCSE Mathematics Topical Questions
            • KCSE Biology Topical Questions and Answers
            • CHEMISTRY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE Physics Topical Questions
            • KCSE physics Practical Sample Quiz
          • HUMANITIES >
            • C.R.E (CRE) QUESTION AND ANSWERS
            • ISLAMIC RELIGIOUS EDUCATION (IRE) QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE History Topical Questions and Answers
            • GEOGRAPHY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
        • PRIMARY >
          • Standard 4-8 Mathematics Topical Questions from Mocks and KCPE
          • Std 6 Mathematics Notes
    • TUTORIALS >
      • SECONDARY >
        • SCIENCES >
          • FOCUS MATHEMATICS TUTORIALS AND EXAMS FREE
          • KCSE BIOLOGY NOTES
          • FREE KCSE CHEMISTRY NOTES
          • KCSE PHYSICS NOTES, AUDIOVISUALS AND MORE
        • LANGUAGES >
          • ENGLISH >
            • A GUIDE TO SILENT SONG AND OTHER STORIES
            • English KCSE Set Books
            • ENGLISH POETRY QUESTIONS WITH ANSWERS FOR K.C.S.E CANDIDATES
            • ENGLISH GRAMMAR #KCSE
          • KISWAHILI >
            • Bembea ya Maisha
            • CHOZI LA HERI - MWONGOZO
            • KIGOGO - MWONGOZO
            • MASWALI NA MAJIBU YA TUMBO LISILOSHIBA
            • USHAIRI MASWALI NA MAJIBU
            • KCSE Kiswahili Fasihi
        • TECHNICALS >
          • HOME SCIENCE NOTES
          • KCSE BUSINESS STUDIES NOTES
          • COMPUTER STUDIES NOTES LATEST
          • kcse Computer Studies Notes
          • KCSE AGRICULTURE NOTES, SYLLABUS, QUESTIONS, ANSWERS, SCHEMES OF WORK AND OTHERS
        • HUMANITIES >
          • KCSE History Notes Form 1 to 4
          • FREE KCSE CRE NOTES
          • KCSE GEOGRAPHY NOTES
          • IRE NOTES, AUDIOVISUAL, QUESTIONS AND ANSWERS
      • PRIMARY >
        • STANDARD 4: SOCIAL STUDIES
        • NOTES >
          • KISWAHILI
          • SOCIAL STUDIES
        • EXAMINATIONS
        • DecaTurbo Online Series Examinations
        • KCPE Mathematics Notes
        • KCPE and Primary Level Compositions
      • Other Supportive Documents >
        • SYLLABUS >
          • Primary 8-4-4 based Syllabus, Objectives and Lessons
          • Primary Mathematics Syllabus
        • MASOMO VIDEOS
    • CURRICULUM >
      • NEW CURRICULUM DESIGNS >
        • PRIMARY >
          • PRE PRIMARY ONE CURRICULUM WITH SYLLABUS
          • PRE PRIMARY TWO CURRICULUM WITH SYLLABUS
        • SECONDARY >
          • KNEC KCSE SYLLABUS AND COURSE OUTLINES
        • COLLEGE >
          • Regulations for the TIVET Craft and Diploma Business Examinations
    • HIGH INSTITUTIONS >
      • EXAMINATIONS >
        • College and Varsity Past Papers online
      • TUTORIALS >
        • COLLEGE AND UNIVERSITY NOTES AND TUTORIALS
  • MEMBERS RESOURCES
    • Primary >
      • CBC AND 8-4-4 LATEST EXAMS
      • CBC PROFFESSIONAL TOOLS
      • CBC NOTES PRIMARY
      • CBC KPSEA EXAMS
      • Standard 8 (std) English Topical Questions
      • KCPE MATHEMATICS TOPICAL QUESTIONS FROM 1989 TO LAST YEAR
      • STANDARD 8 PAST PAPERS 8-4-4 BASED
    • Secondary >
      • FORM 1 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 2 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 3 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 4 EXAMS WITH ANSWERS
      • KCSE 2020 QUESTIONS AND ANSWERS
      • NOTES SECONDARY
      • MOCKS SECONDARY >
        • kcse form 2 mathematics questions
    • Free Schemes of Work
    • FOCUS A365 SERIES K.C.P.E EXAMINATIONS FOR PRIMARY
    • ALL GROUPS PRODUCTS
    • PREMIUM PRODUCTS 2

Huku ukirejelea hadithi zifuatazo, eleza namna unyanyasaji umeshughulikiwa.

15/1/2023

0 Comments

 

​Huku ukirejelea hadithi zifuatazo, eleza namna unyanyasaji umeshughulikiwa.  

​(i) Tumbo lisiloshiba

Tumbo lisiloshiba
  • jitu lenye tumbo linakula chakula chote katika mkahawa wa Mzee Mambo bila kuwajali wateja wengine
  • jitu lenye tumbo linarejelea madongoporomoka na mabuldoza kubomoa vibanda vya wakazi
  • wanamadongoporomoka wananyanyaswa kisheria kwani hawapati haki kwa kuwapata wanasheria adimu kama haki yenyewe
  • wakubwa wa jiji wako tayari kuchukua ardhi ya wakazi wa madongoporomoka kwa upanuzi wa jiji bila kujali watakapohamia 

​ (ii) Shibe inatumaliza

Shibe inatumaliza 
  • DJ anamiliki duka kubwa la dawa ambalo mtaji wake ni bohari ya dawa za serikali 
  • DJ anapata maji, umeme, matibabu na huduma zote za kimsingi za serikali ilhali wanainchi waliojawa na dhiki na ufukara wakizilipia
  • Baadhi ya viongozi kama Mzee Mambo wanapewa mishahara mikubwa na serikali kwa kufika kazini wala sio kwa kufanya kazi huku wananchi wengine wakiishi na ufukara.
  • Viongozi wengine hutumia rasilmali za nchi kwa manufaa yao kibinafsi badala ya kufaidi umma, kama vile Mzee Mambo kutumia vyombo vya habari kupeperusha sherehe aliyoandalia wanawe.

​ (iii) Mame Bakari 

Mama Bakari
  • Sara amabakwa na janadume katili alipokuwa akirudi darasa la ziada “twisheni” na kuhimili
  • Wasichana wa shule wanaambulia ujauzito hufukuzwa shule kulingana na mawazo ya Sara
  • Sara anaona akinyanyaswa na jamaa zake, majirani na wanafunzi wenziwe kwa kutengwa kama mgonjwa wa ukoma.
  • Sara anawaza jinsi babake angemfukuza nyumbani kwa kuwa mjamzito akiwa angali shuleni
  • Majirani wa Sara walimtesa kisaikolojia kwa kumsemasema baada ya kugundua kuwa alikuwa mjamzito.

​ (iv) Kidege

Kidege
  • Mose ambaye anapinga kuchukuliwa kwa samaki wa kidimbwi cha bustani ya Ilala anajipata akibanwa na mbawa za ndege wawili wakubwa.
  • Samaki wa kidimbwi cha Ilala wanaliwa na ndege wakubwa.
  • Videge vilikuwa vikinyanyaswa na midege kiasi cha kushirikiana ili kuiangamiza.
  • Hii inaonyesha jinsi viongozi wanaotawala katika jamii (midege) huwanyanyasa wananchi walio chini yao (videge)
  • Mose anapoipa midege iliombana chakula ili imwachilie aende zake, midege hiyo inakula chakula lakini haimwachilii huru kamwe

​ (v) Tulipokutana tena

Tulipokutana tena
  • Bogoa anatenganishwa na jamaa zake anapopelekwa kwenda kuishi na Bi. Sinai
  • Bogoa anafanyishwa kazi nyingi na ngumu na Bi. Sinai kama vile kumenya vitunguu, kukuna nazi, kupara samaki na kutoa matumbo na kadhalika.
  • Bogoa ananyanyaswa na Bi. Sinai kwa kuamshwa mapema kuliko wengine ili kuchoma mandazi ya kuuza shuleni.
  • Bogoa ananyimwa elimu na Bi. Sinai 
  • Bogoa ananyimwa lishe bora kwa kupewa mabaki 
  • Bogoa ananyanyaswa kwa kuchomwa viganja vya mikono anapouguza mandazi aliyokuwa akichoma

Read More
0 Comments

“Hatuwezi kumaliza kula, kila leo tunakula”

15/1/2023

0 Comments

 

​“Hatuwezi kumaliza kula, kila leo tunakula”

​(a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (al 4)

Mnenaji ni Mbura.
Mnenewa ni Sasa
Wakiwa nyumbani kwa mzee Mambo
Walikuwa wamehudhuria sherehe kwa Mambo bila ualishi katika siku ya kusherehekea siku ya kuingia darasa la chekechea kwa mtoto wa Mzee Mambo na mwingine kutoa vijino viwili.  Wanafika shereheni kula, hata hivyo wanakula kilafi mpaka Mbura anaanza kujilaumu pamoja na mwenzake Sasa kwamba wanakula vyovyote wavipatavyo bila kuvichunguza na hata kuvila vya wenzao waliowatuangulia na watakaozaliwa.

​(b) Fafanua tamathali ya usemi iliyotumika (al 2)

Istiari/Jazanda – Wanakula lakini hawawezi kumaliza kula – wanakula kila leo 
na bado wanaendelea kula – kuendelea kunyakua mali ya uma
kutaja = 1
kufafanua = 1

​(C) Eleza umuhimu wa mnenaji. (al 4)

Umuhimu wa Mbura
  • Ni mfano mzuri wa watu walafi katika jamii
  • Kielelezo cha ubadhirifu wa mali ya umma
  • Ni mfano wa watu walio na mapuuza.  Wanafahamu uzembe uliopo miongoni mwa wafanyikazi wa serikali na unyakuzi wa mali ya umma, lakini hawachukui hatua mwafaka
  • Kielelezo cha viongozi wasio ajibika
  • Ni mfano wa watu wanaojitolea kulihudumia taifa lao hata kama wametengwa mbali na hawatambuliwi katika taifa lao.
  • Anaendeleza maudhui ya ufisadi wakiwa na Sasa wanafanya kazi moja.

​(d) “Lakini nakwambia, kula kunatumaliza”. Kwa kudokeza hoja kumi, jadili ukweli wa kauli hii. (al 10)

“lakini nakwambia tena, kula kunatumaliza”.
  • Viongozi wa mataifa yanayoendelea kutowajibika katika kazi zao.  Wanakubli bidhaa duni kurudidikwa katika mataifa yao: mchele ya basmati.
  • Mali ya umma kunyakuliwa. DJ anafungua duka la dawa zilizotolewa katika bohari ya serikali huku wanyonge wakiteseka.
  • Serikali kuwalipa watu ambao hawafanyi kazi mishahara kubwa hinyo kudhoofisha uchumi wa nchi – Mzee Mambo. 
  • Kituo cha Televisheni ya taifa kutumika kupeperusha matangazo ya sherehe ambazo hazina umuhimu wowote katika ujenzi wa taifa.
  • Wananchi wengine badala ya kuchukua hatua mwafaka dhidi ya wanyakuzi, hungojea wakati wao ili nao wanyakue: Sasa na Mbura” …na sisi tuende – tusogee.
  • Viongozi wananyakua mali ya mabilioni kwa hila na hawajali: Mzee Mambo anaandaa sherehe kubwa kwa sababu mtoto wake wa kwanza ameingia shule ya chekechea na yule wa mwisho ameota vijino viwili.
  • Sasa na Mbura kula tena na tena bila kushiba
  • DJ anapata huduma za kimsingi kama vile maji, matibabu na kadhalika kwa vile alijuana na mzee Mambo
  • Magojwa ya sukari, presha, saratani, obesiti kutokana na kula
  • Kunyongana kwa sababu ya kula.

Read More
0 Comments

“Hili lilimtia………………..uchungu, akajiona kama aliyedhalilishwa na mwanamke.”

11/1/2023

0 Comments

 

MASWALI

(a) yaweke maneno haya katika muktadha wake. (al 4)
(b) Taja suala linalodokezwa katika dondoo hili. (al.1)
(c) kwa kutumia hoja kumi na tano, eleza namna suala ulilolitaja hapo juu(b) llinavyojitokeza katika Riwaya. (al.15)

MAJIBU

(a) Maelezo ya mwandishi
  • Anamrejea Bwana Kimbaumbau
  • Ni baada ya Naomi kukataa kushiriki mapenzi naye 
  • Wote wawili walikuwa Kazini
​(b) Ubabedume/Taasubi ya kiume.
(c)
  1. Jamaa za Kangata kupinga elimu ya mabinti zake
  2. Kimbaumbau kumdhulumu Naomi anapokataa kujihusisha kimapenzi naye
  3. Mwimo Msubili kutotaka kukutana na mwanamke asubuhi kwa madai kuwa ni Mkosi
  4. Lime na Mwanaheri kunajisiwa na vijana wahuni
  5. Bwana Maya anamdhulumu mamake Sauna kwa mapigo na matusi aulizapo swali lolote lile.
  6. kuuzwa kwa Pete kwa Fungo ili wazazi wake wapate pesa za kuwaelimisha ndugu zake watano wa kiume.
  7. Pete anabakwa na mlevi anapolewa chakari
  8. Mamake Zohari kuridhia kila asemalo mumewe na kushindwa kumtetea anapopata himila.
  9. Mamake Mwengeke aliwahi kumwonya kulia kama msichana.  Hii ni ishara kuwa jamii yamwona mwanamke kama mnyonge.
  10. Mwanzi anakataa kukubali matokeo ya uchaguzi madhali anashindwa na mwanamke, Mwekevu.
  11. Wahafidhina kuamini kwamba mtoto wa kiume ndiye pekee anayestahili kuwa mrithi wa mali ya babake
  12. Ushindi wa Mwekevu unaonekana kama kutoheshimiwa kwa mwanaume.
  13. Mwekevu kusingiziwa wizi wa kura anapomshinda Mwanzi.
  14. Kutishwa, kutusiwa n ahata kutengwa kwa Mwekevu anapojitosa katika siasa zilizoaminiwa kuwa ni za wanaume
  15. Fungo anamharibia Pete maisha anapomwoa kisha kumfukuza anapojifungua mtoto.
  16. Fungo anamharibia Pete maisha anapomwoa kisha kumfukuza anapojifungua mtoto
  17. Mwanamke kuonekana kama mnyonge anayestahili kulia akabiliwapo na vizingiti au changamoto maishani. Mwanaume hafai kulia.
  18. Wanafunzi wa vyuo kufa kutokana na matumizi ya pombe haramu.
  19. Selume kudhulumiwa na mumewe
  20. Sauna kunyanyaswa na babake wa kambo
  21. Kaizari kumtetea mkewe anapodhulumiwa na mama mkwe.

Read More
0 Comments

Matatizo mengi yanayowakumba wahusika wengi katika riwaya hii ni mwiba wa kujdunga. Jadili. (al 20)

8/1/2023

0 Comments

 

​Matatizo mengi yanayowakumba wahusika wengi katika riwaya hii ni mwiba wa kujdunga. Jadili. (al 20)

​Wahusika katika riwaya ya Chozi la Heri wanakumbwa na matatizo mbalimbali.  Matatizo hayo ni ya kiuchumi na kijamii.
Vyanzo vya matatizo yenyewe ni tofauti, kuna yale yanasababishwa na wahusika wenyewe ilhali mengine yanaletwa na watu wengine.
Tunaweza kusema kuwa matatizo mengine ni mwiba wa kujindunga huku mengine yakiwa ya kudungwa na wengine.
  • ​Jumba moja la Ridhaa linabomolewa kwa kuwa alilijenga katika ardhi iliyotengewa ujenzi wa barabara katika mtaa wa zari. Hakuchunguza uhalali.
  • Terry mkewe Ridhaa anapuuza maonyo na maneno ya mumewe kuhusu mkasa ambao ungetokea hivyo anateketea alipoenda kuwasaidia watu waliokuwa wanateketea.
  • Ami wamwangeka anaagamia katika mkasa wa moto alipoenda kuwasaidia wastu waliokuwa wanateketea.
  • Walioteketea katika moto wa lori walijiigiza matatani wenyewe kwani walikuwa wameonywa kulikuwa na hatari.
  • Uhasama, migorogo na ukosefu wa mahitaji muhimu unaoikumba familia ya Mwimo Msubili hii ni kwa sababu ya yeye kuwaoa wake wengi.
  • Kufutwa kazi kwa Lunga Kangata Kiriri baada ya kutataa kukubali mahindi ya jano kuuziwa wananchi ni mwiba wa kujidunga.
  • Mauti yanayokumba vijana waliokuwa wakiandamana baada ya sherehe za kuapishwa kwa kiongozi mpya.
  • Tendo la Subira kuondoka nyumbani na kumwacha mumewe na watoto ni mwiba wa kujindunga kwa mumewe.
  • Pete anapokubali kuolewa na Nyangumi bila kufanya uchunguzi wa kina.
  • Tukio la Zohali kupata mimba na kutumbukia katika mateso mengi
  • Tendi la Mwangeka na Mwangemi kufanyia babu yao mzaha, kwa kuwa usiku mmoja aliamua kuwalipua viboko.
  • Kifo cha Lemi chatokana na mapuuzo ya Tindi ya ushauri wa mamao
  • Pete kujihusisha na ukware na baadaye kupata watoto wengi
  • Pete kujaribu kuavya mimba na baadaye alazwa hospitali 
  • Mamake Sauna kumwacha Bwana Kero na kuolewa na Bwana Maya ambaye anamdhulumu na kumpiga na kumtusi.
  • Mwangeka anakubaliana na Tila kuigiza maombolezi ya Dedan Kimathi ambayo yanamfanya babake kumwadhibu kwa kutowajibika.
  • Kukamatwa kwa Sauna n mwajiri wake Bi. Kangara kwa kujihusisha na Biashara ya ulanguzi wa watoto.
  • Tuama anaathirika vibaya baada ya kupashwa tohara na kulazwa hospitalini nit endo alilolitenda kinyume na mapenzi ya baba yake.
  • Walevi wenza wa Shamsi ambao wanapoteza uwezo wa kuona au uhai wao kwa kubugia vileo.
  • Mumewe Selume anamfukuza mkewe kwa kuwa si wa kabila lake baadaye anamlea mtoto peke yake.
  • Mandu anapouawa katika vita akiwa ughaibuni ni mwiba kwani huenda hangepoteza maisha kama hangeenda huko mapema.
  • Fujo zinazosababishwa na uhafidhina baada ya uchaguzi ambapo wanapoteza uhai na mali.
  • Wakimbizi waliohamia katika msitu wa mamba na kupanda mimea na baadaye kufukuzwa ulikuwa mwiba kwani si halali kulima msituni.
  • Naomi kumwacha mumewe Lunga Kiriri na watoto na baadaye kuwatafuta baada ya kifo cha bwanake ullikuwa mwiba wa kujindunga.
  • Mwangeka kujiunga na kikosi cha majeshi licha ya kukatazwa na mkewe na kisha anaporudi anakuta waliangamia motoni

Read More
0 Comments
    Chozi la Heri
    Chozi la Heri

    ​Uchambuzi wa Chozi la Heri na Assumpta K Matei

    chozi la heri uchambuzi


    CATEGORY

    Categories

    All
    Jalada
    MASWALI NA MAJIBU
    MWONGOZO
    SWALI NA JIBU
    Ufaafu Wa Anwani
    WAHUSIKA

    ARCHIVES

    Archives

    January 2023
    December 2022
    May 2022
    October 2021
    June 2021
    June 2020
    May 2020

    AUTHOR

    M.A NYAMOTI

    B.ed Science [MKU]

    RSS FEEDS

    RSS Feed


    CHOZI LA HERI

    chozi_la_heri__qns__ms_.pdf
    File Size: 1257 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_qns.pdf
    File Size: 391 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_guide.pdf
    File Size: 2089 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_guide_0714497530.pdf
    File Size: 2126 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_guide_latest.pdf
    File Size: 1287 kb
    File Type: pdf
    Download File


    HIGH SCHOOL EXAMINATIONS

    OPEN

    ENGLISH LITERATURE BOOKS & SETBOOKS

    OPEN

    KCSE KISWAHILI SETBOOKS

    OPEN

    Geography Form 1 Notes and Other Resources

    OPEN

    KCSE PAST PAPERS BY SUBJECT 1989 - LAST YEAR

    OPEN

    Geography Form 2 Notes and Other Resources

    OPEN

    KCSE Past Papers, Marking Schemes and Reports

    OPEN

    BIOLOGY FORM 1 NOTES

    OPEN

    ALL SECONDARY RESOURCES (EXAMINATIONS, NOTES, TUTORIALS AND REPORTS)

    OPEN

    PRIMARY SCHOOL RESOURCES 8-4-4

    OPEN

    KCPE Past Papers, Marking Schemes and Reports

    OPEN

    STANDARD 8 CLASSROOM RESOURCES

    OPEN
    1 2


Primary Resources
  • K.C.P.E Past Papers
  • ​Pri - Primary 1 Level
  • Pri  - Primary 2 Level
  • Grade 1
  • Grade 2
  • Grade 3
  • Grade 4
  • Standard 5
  • Standard 6
  • Standard 7
  • Standard 8
  • English
  • Kiswahili
  • Social Studies
  • Science
  • Mathematics
  • Kenya Sign Language
  • I.R.E
  • ​H.R.E
  • Notes
  • Termly Questions
  • Mocks
  • K.C.P.E Past Papers
College Resources
  • E.C.D.E
  • P.T.E
  • D.T.E
  • Technical Diploma
  • Technical Certificate
  • Business Diploma
  • Business Certificate
  • Higher Diploma
  • K.A.S.N.E.B Resources
  • K.M.T.C Resources
  • Varsity Resources
Secondary Resources
  • K.C.S.E Past Papers
  • Form 1
  • Form 2
  • Form 3
  • Form 4
  • Term 1
  • Term 2
  • Term 3
  • English
  • Geography
  • History
  • C.R.E
  • I.R.E
  • ​H.R.E
  • Home Science
  • Computer Studies
  • Business Studies
  • Agriculture
  • Chemistry
  • Biology
  • Physics
  • Mathematics ALT A
  • Mathematics ALT B
  • Kiswahili
  • French
  • Germany
  • Arabic
  • Aviation
  • Art & Design
  • Drawing & Design
  • Building & Construction
  • Metal Works
  • Wood Work
  • Music
  • Kenya Sign Language
  • Electricity
Other Useful Links
  • Academic Environment
  • How its Done
  • News and Opinions
  • Manyam Franchise Support
  • About
  • SITEMAP
  • FOCUS A365 SERIES
  • Membership Details (KCPE/KCSE)
  • Secondary Mocks
  • SYLLABUS
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii
Tel: 0728 450 424
Tel: 0738 619 279
Tel: 0763 450 425
E-mail - sales@manyamfranchise.com
  • Start
    • SITEMAP
    • KNEC Portal
    • ZERAKI HELP AND SUPPORT
    • Academic Environment
    • KNEC KCSE PROJECT INSTRUCTIONS
  • BLOGS
    • About Us? >
      • Learn more about us
    • CUSTOMER CARE >
      • PRICING
      • Help & Support
    • News and Opinions
    • JOBS IN KENYA AND ABROAD FOR KENYANS AND BEYOND
    • How its Done
  • OUR PRODUCTS
    • All Categories >
      • MORE PRODUCTS >
        • SECONDARY CRE NOTES
        • COURSE BOOKS
        • KCSE KISWAHILI SETBOOKS
        • Backed Up Files and Archives
        • FREE DOCUMENTS
        • PRIMARY 8-4-4 BASED RESOURCES
        • STANDARD 8 RESOURCES
        • HIGH SCHOOL RESOURCES >
          • Biology Paper 3 Exams
          • Secondary Examinations
        • PRIMARY CBC BASED RESOURCES
        • COLLEGE & VARSITY RESOURCES
      • PRIMARY RESOURCES CBC
      • PRIMARY RESOURCES 8-4-4
      • SECONDARY RESOURCES
      • NOTES & TUTORIALS
      • COLLEGE RESOURCES
      • NOVELS and OTHER BOOKS
    • EXAMINATIONS >
      • MOCKS AND JOINT EXAMS >
        • FORM 1 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 2 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 3 EXAMINATIONS, QUESTION PAPERS AND ANSWERS
        • FORM 4 MOCKS PAST EXAMS BY REGION
        • TOP SECONDARY EXAMS ALL SUBJECTS
      • KPSEA NATIONAL EXAMS
      • KCPE >
        • KCPE PAST PAPERS AND ANSWERS >
          • KCPE 2020 RESULTS, REPORTS, QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCPE PAST PAPERS 2019 REPORTS, RESULTS, QUESTIONS AND ANSWERS
        • KCPE PAST PAPERS PER SUBJECT
      • KCSE >
        • KCSE PAST PAPERS BY SUBJECT
        • KNEC KCSE PAST PAPERS, MARKING SCHEMES, QUESTIONS & ANSWERS
        • Free KCSE Past Papers Mathematics
        • Free KCSE Biology Questions and Answers
      • QUESTIONS & ANSWERS >
        • SECONDARY >
          • LANGUAGES >
            • Secondary English Questions and Answers
          • TECHNICALS >
            • COMPUTER STUDIES >
              • COMPUTER STUDIES Q & A
              • kcse computer studies paper 2 AND 3 Questions & Answers
            • BUSINESS STUDIES QUESTIONS & ANSWERS
            • KCSE AGRICULTURE TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE HOME SCIENCE DIRECT QUESTIONS AND ANSWERS
          • SCIENCES >
            • KCSE Mathematics Topical Questions
            • KCSE Biology Topical Questions and Answers
            • CHEMISTRY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE Physics Topical Questions
            • KCSE physics Practical Sample Quiz
          • HUMANITIES >
            • C.R.E (CRE) QUESTION AND ANSWERS
            • ISLAMIC RELIGIOUS EDUCATION (IRE) QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE History Topical Questions and Answers
            • GEOGRAPHY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
        • PRIMARY >
          • Standard 4-8 Mathematics Topical Questions from Mocks and KCPE
          • Std 6 Mathematics Notes
    • TUTORIALS >
      • SECONDARY >
        • SCIENCES >
          • FOCUS MATHEMATICS TUTORIALS AND EXAMS FREE
          • KCSE BIOLOGY NOTES
          • FREE KCSE CHEMISTRY NOTES
          • KCSE PHYSICS NOTES, AUDIOVISUALS AND MORE
        • LANGUAGES >
          • ENGLISH >
            • A GUIDE TO SILENT SONG AND OTHER STORIES
            • English KCSE Set Books
            • ENGLISH POETRY QUESTIONS WITH ANSWERS FOR K.C.S.E CANDIDATES
            • ENGLISH GRAMMAR #KCSE
          • KISWAHILI >
            • Bembea ya Maisha
            • CHOZI LA HERI - MWONGOZO
            • KIGOGO - MWONGOZO
            • MASWALI NA MAJIBU YA TUMBO LISILOSHIBA
            • USHAIRI MASWALI NA MAJIBU
            • KCSE Kiswahili Fasihi
        • TECHNICALS >
          • HOME SCIENCE NOTES
          • KCSE BUSINESS STUDIES NOTES
          • COMPUTER STUDIES NOTES LATEST
          • kcse Computer Studies Notes
          • KCSE AGRICULTURE NOTES, SYLLABUS, QUESTIONS, ANSWERS, SCHEMES OF WORK AND OTHERS
        • HUMANITIES >
          • KCSE History Notes Form 1 to 4
          • FREE KCSE CRE NOTES
          • KCSE GEOGRAPHY NOTES
          • IRE NOTES, AUDIOVISUAL, QUESTIONS AND ANSWERS
      • PRIMARY >
        • STANDARD 4: SOCIAL STUDIES
        • NOTES >
          • KISWAHILI
          • SOCIAL STUDIES
        • EXAMINATIONS
        • DecaTurbo Online Series Examinations
        • KCPE Mathematics Notes
        • KCPE and Primary Level Compositions
      • Other Supportive Documents >
        • SYLLABUS >
          • Primary 8-4-4 based Syllabus, Objectives and Lessons
          • Primary Mathematics Syllabus
        • MASOMO VIDEOS
    • CURRICULUM >
      • NEW CURRICULUM DESIGNS >
        • PRIMARY >
          • PRE PRIMARY ONE CURRICULUM WITH SYLLABUS
          • PRE PRIMARY TWO CURRICULUM WITH SYLLABUS
        • SECONDARY >
          • KNEC KCSE SYLLABUS AND COURSE OUTLINES
        • COLLEGE >
          • Regulations for the TIVET Craft and Diploma Business Examinations
    • HIGH INSTITUTIONS >
      • EXAMINATIONS >
        • College and Varsity Past Papers online
      • TUTORIALS >
        • COLLEGE AND UNIVERSITY NOTES AND TUTORIALS
  • MEMBERS RESOURCES
    • Primary >
      • CBC AND 8-4-4 LATEST EXAMS
      • CBC PROFFESSIONAL TOOLS
      • CBC NOTES PRIMARY
      • CBC KPSEA EXAMS
      • Standard 8 (std) English Topical Questions
      • KCPE MATHEMATICS TOPICAL QUESTIONS FROM 1989 TO LAST YEAR
      • STANDARD 8 PAST PAPERS 8-4-4 BASED
    • Secondary >
      • FORM 1 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 2 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 3 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 4 EXAMS WITH ANSWERS
      • KCSE 2020 QUESTIONS AND ANSWERS
      • NOTES SECONDARY
      • MOCKS SECONDARY >
        • kcse form 2 mathematics questions
    • Free Schemes of Work
    • FOCUS A365 SERIES K.C.P.E EXAMINATIONS FOR PRIMARY
    • ALL GROUPS PRODUCTS
    • PREMIUM PRODUCTS 2