Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
UNUKUZI KUTOKA BIBLIA.
0 Comments
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
KEJELI.
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
NJOZI AU NDOTO.
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
KISENGERE MBELE.
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
MAZUNGUMZO.
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
MASIMULIZI.
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
TAHARUKI
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
MAHOJIANO.
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
HOTUBA.
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
MATUMIZI YA BARUA.
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
NYIMB0. Ni maneno na sauti zilizopangwa na huandamana na muziki unaotokana na ala za kimuziki kama vile ngoma saut hizi za muziki pia huwa zimepangwa ili kuandamana maneno vizuri na kwa urari. Wimbo huweza kutuumika kupitisha ujumbe wa mwandishi ambao ni dhamira. Katika riwaya hii, kuna matumizi ya nyimbo katika matukio tofauti Katika ukurasa wa 20; "Wote walikuwa wakighani mkarara huu: Tawala Wahafidhina tawala, Mwanzi wetu tawala Wahafidhina tawala 'Wimbo huu ulitumika wakati wa shughuli kupiga kampeni kabla ya uchaguzi kufika.Wimbo wenyewe unampigia dembe kiongozi anayetakwa na wananchi. Katika ukurasa wa 49;"Mama mtu angemshika mabegani na kumwimbia mkarara mmoja wa wimbo pendwa wa kidini: Salama, salama Rohoni, rohoni Ni salama, rohoni mwangu" Katika ukurasa wa 60; "Wengine walijilazimisha kupiga ukemi, eti wanaomboleza kifo cha Dedan Kimathi. Walianza kulizunguka lile 'jeneza' wakiimba mbolezi. Walimwimbia Kim wao, kwaheri. Kwaheri we Kim wetu Kwaheri, kwaheri Kwaheri we Kim kipenzi chetu kwaheri Kwaheri na malaika wakungoje. Umewaacha wazazi kwa majonzi Kwaheri, kwaheri umewaacna nauguzo kwa ukiwa Kwaheri na mababu wakulaki peponi. Kurasa 129-135; Huu ni Wimbo ambao Shamsi aliuimba kuhusiana na hali ya kisiasa iliyokuwemo nchini. Haukuwa Alimwimbia Chupa ambaye alikuwa kipenzi chake. Alikuwa mboni yajicho lake, mwendani wake. Alikuwa shujaa, Hakuhisi shinikizo la majabali, Alimzingira kwa mahangaiko pia, Alimjaza kwa tuo, Akampa maji matamu Maji hayo yakawa dawa mujarabu. Dawa hiyo ikawa ya kuuguzia banguzi. Waliomsababishia mahasidi.Chupa yake, alijua pia walimcheka Wachunguliao kwenye madirisha Waliokwenye maroshani yao " Kurasa 136-137; Kwa sauti ya chini, Ridhaa alisema kuwa Shamsi anasikika kama amebadilisha wimbo wake. Huu wa leo unahisika kama wa kiumbe mwenye maumivu zaidi, mapigo yake hasa ni ya mbolezi, ni tofauti na yale majigambo yake ya kila siku, Akaongeza Ridhaa huku akiyaghani majigambo Ya Shamsi kwa sauti ya chini kama anayeyatia maneno ya majigambo yenyewe kwenye mizani. Anasema kuwa hawa wanaomfuata wanamwacha kwa ukoo wake mtukufu. Kwa jadi yenye majagina, wa mioyo na vitendo Wananicha kwa kuwa wa kwanza kijijini Kuvishwa taji kwa kusoma kwa bidii Kwa kuwa jogoo wa kwanza kuwika kwenye anga za elimu Idhini nikapewa ya kuendeleza utafiti, Nikapewa mamlaka ya kuwaza kwa niaba ya jamii. Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
KISENGERE NYUMA.
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
SADFA.
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
KINAYA.
Maudhui katika riwaya ya Chozi La Heri
MALEZI.
Maudhui katika riwaya ya Chozi La Heri
UTALA.
Maudhui katika riwaya ya Chozi La Heri
UTABAKA.
Maudhui katika riwaya ya Chozi La Heri
UTAMADUNI.
Maudhui katika riwaya ya Chozi La Heri
UJAALA.
Maudhui katika riwaya ya Chozi La Heri
UHARIBIFU WA MALI NA MAZINGIRA.
Maudhui katika riwaya ya Chozi La Heri
MABADILIKO.
Maudhui katika riwaya ya Chozi La Heri
DEMOKRASIA.
Maudhui katika riwaya ya Chozi La Heri
UFISADI.
Maudhui katika riwaya ya Chozi La Heri
DINI.
Maudhui katika riwaya ya Chozi La Heri
UOZO WA MAADILI YA JAMII.
|
Uchambuzi wa Chozi la Heri na Assumpta K MateiCATEGORY
ARCHIVES
AUTHOR
M.A NYAMOTIB.ed Science [MKU] RSS FEEDS
CHOZI LA HERI![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
|