“Baba, umewahi kumwona mtoto wa miaka hamsini ambaye hajasota…………”a) Eleza muktadha wa dondo hili. (alama 4)
(i) Msemaji – Tila
(ii) Msemewa – Ridhaa (anapowaza baada ya nyumba kuchomeka). (iii) Mahali – mawazoni Ridhaa (iv) Ridhaa anapotazamana na majivu ya familia yake ndipo anakumbuka mazungumzo kati yake na mwanawe Tila (Hoja 4 x 2 = 8) b) Taja mbinu iliyotumika (alama 2)
Jazanda – mtoto wa miaka hamsini ambaye hajasota kumaanisha kukwama kimaendeleo (mafanikio baada ya uhuru) ( 1 x 2 = 2)
c) Fafanua sifa za mzungumzaji. (alama 4)
Sifa za Tila
i) Ni msomi – anaelewa maswala ya sheria kwa kina ii) Ni mzalendo – anasema wanahitaji kiongozi ambaye atapeleka jahazi kwenye visiwa vya hazina. iii) Amepevuka – anajua nguvu za vijana ni kama nanga. iv) Amezinduka – anajua kwamba bado wahafidhina hawajapata uhuru. Zozote 4 x 1 = 4 d) Jamii ya msemewa imekumbwa migogoro chungu nzima. Thibitisha. (alama 10)
Follow AtikaSchool.Org on our Social ChannelsThis gives you an opportunity to get our latest uodates, changes and firsthand information
0 Comments
Leave a Reply.Don't give up, Keep Searching for more |
Uchambuzi wa Chozi la Heri na Assumpta K MateiCATEGORY
ARCHIVES
AUTHOR
M.A NYAMOTIB.ed Science [MKU] RSS FEEDS
CHOZI LA HERI![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
|