Huku ukirejelea hadithi zifuatazo, eleza namna unyanyasaji umeshughulikiwa.(i) Tumbo lisiloshiba
Tumbo lisiloshiba
(ii) Shibe inatumaliza
Shibe inatumaliza
(iii) Mame Bakari
Mama Bakari
(iv) Kidege
Kidege
(v) Tulipokutana tena
Tulipokutana tena
0 Comments
“Hatuwezi kumaliza kula, kila leo tunakula”(a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (al 4)
Mnenaji ni Mbura.
Mnenewa ni Sasa Wakiwa nyumbani kwa mzee Mambo Walikuwa wamehudhuria sherehe kwa Mambo bila ualishi katika siku ya kusherehekea siku ya kuingia darasa la chekechea kwa mtoto wa Mzee Mambo na mwingine kutoa vijino viwili. Wanafika shereheni kula, hata hivyo wanakula kilafi mpaka Mbura anaanza kujilaumu pamoja na mwenzake Sasa kwamba wanakula vyovyote wavipatavyo bila kuvichunguza na hata kuvila vya wenzao waliowatuangulia na watakaozaliwa. (b) Fafanua tamathali ya usemi iliyotumika (al 2)
Istiari/Jazanda – Wanakula lakini hawawezi kumaliza kula – wanakula kila leo
na bado wanaendelea kula – kuendelea kunyakua mali ya uma kutaja = 1 kufafanua = 1 (C) Eleza umuhimu wa mnenaji. (al 4)
Umuhimu wa Mbura
(d) “Lakini nakwambia, kula kunatumaliza”. Kwa kudokeza hoja kumi, jadili ukweli wa kauli hii. (al 10)
“lakini nakwambia tena, kula kunatumaliza”.
“Nyamaza wewe! Nyinnyi ndio mnaoturudisha nyuma miaka yote hii!”(a) Eleza muktadha wa dondoo (alama 4)(b) Kwa kurejelea hoja saba, eleza jinsi msemaji alivyorudishwa nyuma (alama 7)( c) Eleza umuhimu wa msemaji katika riwaya (alama 6)(d) Eleza toni ya dondoo hili (alama2)(e) Toa sifa moja ya msemaji katika dondoo hili. (alama1)Eleza ufaafu wa anwani ya chozi la heri (Al 20)Eleza ufaafu wa anwani ya chozi la heri Chozi ni majimaji yanayotoka kwenye jicho la mtu kutokana na maumivu au furaha. Heri ni hali ya kuwa salama au nafuu au afadhali. Kwa hivyo, chozi la heri ni chozi la nafuu. Maana ya kijanda/kiistari ni maisha ya mhusika kubadilika kutoka hali mbaya hadi hali nzuri. Kwa mfano:
“Vipi, binadamu anavyoweza kuyazoa maji yaliyomwagika?”a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4)
b) Tambua mbinu ya lugha iliyotumika (alama 2)
Swali balagha - vipi, binadamu anavyoweza kuyazoa maji yaliyomwagika ? alama 2
c) Jadili sifa tatu za msemaji. (alama 3)
d) Hakiki jinsi binadamu alivyomwagikiwa na maji katika riwaya (alama 11)
Mwandishi amejadili kwa kina maudhui ya mapuuza. Thibitisha . (alama 20)Mwandishi amejadili kwa kina maudhui ya mapuuza. Thibitisha . (alama 20)
MAISHA YANGU YALIJAA SHUBIRI TANGU UTOTONI.I. ELEZA MUKTADHA WA MANENO HAYA. (ALAMA 4)
II. FAFANUA MBINU MBILI ZA LUGHA ZILIZOTUMIKA KATIKA DONDOO HILI. (ALAMA 4)
iii. Jadili jinsi mwandishi amesawiri suala la ukatili. (alama 12)
Riwaya ya Chozi la Heri imejaa aina mbalimbali za migogoro. Jadili. (alama 10)Riwaya ya Chozi la Heri imejaa aina mbalimbali za migogoro. Jadili. (alama 10)
Jadili dhana ya Chozi katika riwaya ya Chozi laHeri. (alama 10)a) Jadili dhana ya Chozi katika riwaya ya Chozi laHeri. (alama 10)
‘TAWALA WAHAFIDHINA TAWALA, MWANZI WETU TAWALA…. ‘A) ELEZA MUKTADHA WA DONDOO HILI . (ALAMA 4)
a) Eleza muktadha wa dondoo hili . (alama 4)
B) NI MBINU GANI IMETUMIKA HAPA. (ALAMA 2)
b) Ni mbinu gani imetumika hapa. (alama 2)
c) Eleza makosa saba ya maneno haya. (alama 14)
Ukabila ni tatizo sugu katika nchi nyingi za Kiafrika. Tetea kauli hii ukilejelea Chozi la Heri ( al. 20)
“ Kwa kweli ni hali ngumu hii”
mwongozo
Weka dondoo katika muktadha wake. (al.4)
Ni hali gani inayorejelewa kwenye dondoo. (al.6)
Maudhui katika riwaya ya Chozi La Heri
UMASIKINI.
Maudhui katika riwaya ya Chozi La Heri
MAUDHUI YA MIGOGORO.
Wahusika na Uhusika
Mshirikina.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
LAKADU
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
TASHBIHI.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
UKINZANI TANAKUZI.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
MASWALI YA BALAGHA.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
TASWIRA.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
MAJAZ1.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
UZUNGUMZI NAFSIA.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
TAKRIRI.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
TAASHIRA.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
ISTIARA.
|
Uchambuzi wa Chozi la Heri na Assumpta K MateiCATEGORY
ARCHIVES
AUTHOR
M.A NYAMOTIB.ed Science [MKU] RSS FEEDS
CHOZI LA HERI![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
|