Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
KUHAMISHA NDIMI.
0 Comments
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
KUCHANGANYA NDIMI.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
UTOHOZI.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
RITIFAA.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
LAKABU.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
METHALI.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
MISEMO.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
SEMI.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
TASHIHISI/UHUISHAJI.
Mbinu za Lugha na Mbinu za Tamathali za Uandishi
Fafanua maudhui ya nafasi ya vijana katika jamii
Wana(jinsia zote) Ni wasomi vijana kama Tila, Umu na Mwaliko walikuwa wenye bidii masomoni. Walanguzi wa dawa za kulevya Dick alikuwa akilangua za kulevya kwa muda wa miaka kumi. Wenye Umu na Dick walikuwa na bidii katika masomo yao. Wajinga vijana wengine wa kike walikubali kukeketwa. Wengine waliiaga dunia na wengine kulazwa zahanatini. Waraibu wa dawa za kulevya- Dick anasema kuwa alikuwa akitumia dowa hizi ili kujirahisishia kazi yoke ya kulangua. Wapenda fujo vijana ndio waliotumiwa na wanasiasa kuute-1 F keleza uovu wa mauaji na kuyaharibu mali ya wenzao. Katili kuna vijana waliowabaka mabinti zake Kaizari na kumuumiza mke wake. Wasio na huruma vijana wengine walikuwa wakiwaua wenzao bila huruma. Wasio na msimamo dhabiti- vijana wengine wakipotoshwa na wanasiasa bila kuwaza na kuwazua. Jadili maudhui ya nafasi ya mwanamke katika jamii
Mwanamke amesawiriwa kwa namna mbalimbali: Mwanamke ni Msomi Tila alikuwa akimudu masuala ya sheria. Hakuna aliyethubutu kuuchangia mijadala kwani katika masuala ya sheria Tila alikuwa ameyamudu kweli kweli. Selume- Ridhaa alimfariji na kumwomba asilie kwani mwana wake yu hai tena ana kisomo na amehitimu kama mkunga, anaweza kujitegemea. Umulkheri pia alisoma na kuhitimu vizuri. Mwanomke ni Mjinga Tuama alikuwa amejipata katika hali mbaya kwa kukubai kupashwa tohara. Alibahatika kwa kuwa hakuiaga dunia kama wenzake. Tuama anaitetea mila hii ya upashaji tohara kwa wanawake eti haijapitwa na wakati kwani bila tohara mwanamke hubakia kuwa mtoto. Huu ni ujinga na upumbavu. Mwanamke ni mwenye bidii- tunaelezwa kuwa Umulkheri alikuwa nyuma yake Dick akiwa amepiga foleni. Anasafiri ng’ambo kwa shahada yake ya uhandisi katika masuala ya kilimo. Umu, baada ya kuchukuliwa na Mwangeka na Apondi alifanya bidii masomoni na kufuzu vyema katika mitihani yake. Mwanamke ni mwenye tamaa ya mali Naomi hakuwekwa na mazingira haya mapya(Mlima wa Simba). Asubuhi moja alimtumia Lunga ujumbe na kumtaarifu kuwa ameondoka; akatambe na ulimwengu na huenda akaambulia cha kumsaidia Lunga kuikimu familia. Akawaacha Lunga na wanawe. Mwanamke ni mwenye huruma- Apondi na Neema walijitwika jukumu la kuwalea wana ambao si wao kwa upendo na imani. Mwanamke ni katili muuaji- Mamake Sauna aimsaidia Sauna kuavya mimba aliyokuwa amepachikwa na babake mlezi. Neema naye alikuwa ameavya mimba nyingi akiwa kwenye Chuo kikuu. Mwanamke ni mwenye majuto- Neema aikuwa mwenye kujuta kwa kupoteza nafasi ya kupanga mtoto. Mwanamke ni mwenye kujiheshimu- Zohai amewahi kupigana na majitu yaiiyokuwo yakitako kuuhujumu utu wake kwa kumnyanyasa kijinsia. Mwanamke ni mcheshi- Terry ambaye kawaida yake ni mcheshi hakunyamaza bali alimwambia Ridhaa kuwa kwake lazima kila jambo liwe na kiini. Jadili maudhui ya ‘asasi ya ndoa’ kama yalivyoangaziwa riwayani Ndoa ni maafikiano rasmi baina ya mwanamume na mwanamke ili waweze kuishi pamoja kama mke na mume. Ridhaa alikuwa na mke kwa jina Terry. Walibarikiwa kuwa na watoto wafuatao: Mwangeka, Tila na marehemu Dede. Ndoa hii haikudumu kwani janga la moto iliisambaratisha aila hii na ndipo Terry, Tila, Lily na Becky wakaiaga dunia. Ridhaa akabaki mjane. Mwangeka alikuta na Lily Nyamvula katika chuo kikuu na kumwoa. Walibarikiwa na mtoto mmoja kwa jina Becky. Ndoa hii haikudumu kwani Lily na Becky waliangamia kwenye janga la moto. Baada ya ndoa ya mwanzo kusambaratika, Mwangeka alimwoa Apondi. Walibarikiwa na mwana wa kiume kwa jina Ridhaa. Mwangemi alimwoa mwanamke kwa jina Neema.Hawakufaulu kupata mwana wao kindakindaki japo walipanga mwana wao kwa jina Mwaliko. Kangata alikuwa na mke wake kwa jina Ndarine. Walibarikiwa na wana wafuatao. Lunga Kiriri, Lucia Kiriri na Akelo Kiriri. Lucia Kiriri -Kangata — alikuwa ameolewa katika ukoo wa Waombwe ambao awali walikuwa maadui sugu wa ukoo wa Mwongezo mzima lakini kutokana na Msimamo imara wa Kangata halikusimama. Watu wa ukoo wa kina Kangata walishangaapikwo nini mwana wao akaozwa kwa watu ambao huvaa nguo nje na pia huzaa majoka ya mdimu ambayo ni machovo kupindukia. Kaizari alikuwa na mke kwa jina Subira. Walibarikiwa na mabinti wawili, Lime na Mwanaheri. Lunga alikuwa na mke kwa jina Naomi. Walikuwa wa watatu, Umu, Dick na Mwaliko. Ndoa hii haikudumu Naomi alimwacha Lunga na kwenda muni alikokuwa shangingi kwelikweli. Pete na Fungo- tunaelezwa kuwa Pete alipoingia darasa la saba alipashwa tohara nao wajombake wakapokea posa na baadaye’ mahari kutoka kwa buda mmoja kwa una Fungo aliyemuoa kama bibi wa nne. Ndoa hii haikudumu kwani Pete alihiari kumwacha baba huyu. Jadili maudhui ya kifo kama yanavyoangaziwa katika Riwaya
Kifo/mauti ni hali ya kutokwa na uhai. maneno marehemu mamake kuwa mwanamume hufumbika hisia na kuwa machozi ya mwanamume hayapaswi kuonekana hata mbele ya majabali ya maisha. Terry na wanawe walikumbana na janga hili la kifo baada ya kuchomwa wakiwa ndani ya nyumba yao. Kangata na Ndarine waliiaga dunia- mwandishi anatujuvya kuwa kwa sasa, miaka mitano imepita na Kangata na Ndarine wameipa dunia kisogo. Kiriri alikumbwa na mauti- mwandishi ametueleza kuwa Kiriri aliiaga dunia muda mfupi kutokana na kihoro cha kufilisikavna ukiwa aliokuwa ameachiwa na mkewe Annette na wanawe. Subira alikumbana na mauti baada ya Subira kuondoka nyumbani alienda mjini Kisuka na baada ya miezi kadha mumewe alimpata kwenye chumba chake akiwa amejifia, Nduguye Mwangeka alikumbana na mauti. Mwangeka anapomkumbuka Tila anatabasamu kisha tone moto la chozi linamdondoka. Kumbukumbu ya Annatila inavuta taswira ya mnuna wake mkembe aliyefariki dunia akiwa na umri wa miaka sita wakati ile Mwangeka akiwa na umri wa miaka kumi na miwili tonna Ile ilipowafika. Baada ya Lunga kuachwa na mkewe aliiaga dunia mwandishi dhuho wa mwaka alifariki na kuwaacha watoto wake na mikononi mwa wao. Vijana waliofyatuliwa risasi waliiaga dunia tumeelezwa walimiminiwa risasi vif uani mwao na wote wakaiaga dunia kifo cha kishujaa kwani walijitolea mhanga kupigania uhuru tatu. Kaizari alitokwa na machozi na kuwahurumia Vijana hawa waliokufa kifo walichoweza kukiepuka. Lily Nyamvula na mwanawe Becky waliiaga dunia- Mwangeka ameketi mkabala mwa kidimbwi cha kuogelea nje ya jumba lake la kifahari ambalo yeye aliliona kama makavazi ya kumtonesho donda lililosababishwo na kifo cha mke wake Lily Nyamvula, Mgonjwa mmoja aliyejifia ni kijana anayesomea shahada ya uzamili, alikuwa mwathiriwa wa pombe haramu. Wasichana waliokeketwa waliaga dunia. Mgonjwa kwa jina Tuama alibahatika kwa kuwa hakuiaga dunia kama wenzake waliokuwa wamepashwa tohara kama yeye. Tunaeezwa kuwa miezi mitatu baadaye ami yake Mwangeka aliyeitwa Makaa alichomeka asibakie chochote alipokuwa akiwaokoa watu ambao walikuwa wakipora mafuta kutoka kwenye lori lililokuwa lime bingiria. Mwanafunzi aongezee hoja. "Auntie Sauna alishikwa na polisi”
Liweke dondoo hili katika muktadha wake
Msemaji ni mwaliko. Ana sifa zifuatazo:
Fafanua namna mwandishi alivyotumia mbinu ya kisengere nyuma katika riwaya
Mwandishi huyu amefaulu sana kutumia mbinu hii. Kisengere nyuma imetumika katika mazingira yafuatayo. Ridhaa anakumbuka vijikaratasi vikienezwa vikiwatahadharisha kuwa mna gharika baada ya kutawazwa kwa kiongozi mpya. Kisa cha namna Mzee Kedi(jirani yao) alivyomsaidia Ridhaa kupata shamba lake na kuwa ameyadhamini masomo ya wapwaze wawili kimetolewa kwa urejeshi. Mijadala baina ya Ridhaa na Tila imetolewa kwa njia ya urejeshi. Kisa cha yule mwana wa mlowezi maarufu aliyemiliki mashamba ya Theluji Nyeusi katika Eneo la Kisiwa bora kimetolewa kwa urejeshi. Kisa cha yule kiongozi wa Kiimla wa kike aliyekuwa akisimuliwa katika visakale cha majirani zao no namna alivyowatumikisha wanaume kimetolewa kwa urejeshi. Kaizari anasimulia yaliyojiri baada ya kutawazwa kwa kiongozi mpya aliyekuwa mwanamke kwa njia ya kurejelea. Moyo wa Kaizari uipoanza kumsuta, alikumbuka kisa cha wafuasi wa Musa ambao baada ya kukosa chakula jangwani walimshtumu kwa kuwatoa kule Misri. Ridhaa anapokuwa ameketi kwenye chumba cha mapokezi katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Rubia, alikumbuka namna walivyorudi nyumbani baada ya kuishi katika Msitu wa Mamba kwa miezi sita. Anakumbuka pia alivyokuwa akihisi. Ridhaa anamkumbuka Tila bintiye aivyokuwa anapenda masuala yanayohusiana na sheria, haki na siasa. Mwangeka alipolitazama tabasamu la babake, alihisi kuwa sasa amezingirwa na uzio imara. Akawa anakumbuka wimbo ambao mamake alizoea kumwimbia kila mara babake alipokuwa ameenda katika safari za kikazi. Kisa cha namna Ami zake Kangata walivyokuwa wamekataa mwana wao aolewe na mtu wa ukoo mwingine kimetolewa kwa urejeshi. Kisa namna Lunga aivyostaafishwa kwa kuwa na msimamo imara kuhusiaria na sakata ya mahindi kimetolewa kwa urejeshi. “Lakini takuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?”
Eleza muktadha wa dondoo
Jadili mbinu zifuatazo zilivyotumika katika riwaya ya Chozi la Heri
JAZANDA.
Jadili sifa za wahusika wafuato na umuhimu wao;
Ridhaa
“Haiwezekani! Hill haliwezekani! ltakuwa kama kile kisa cha yule kiongozi wa kiimla wa kike”
msemaji: mwanaharakati Tetei
"Si kwamba sijawatafuta ham na kituo cha polisi ambacho sijabisha hodi”
“Nahisi kama nasimulia kisa kirefu chenye mwisho mwema”
"Kweli milima ndiyo haikutani”
"peace be with you”
" Mama zenu walienda wapi?”
|
Uchambuzi wa Chozi la Heri na Assumpta K MateiCATEGORY
ARCHIVES
AUTHOR
M.A NYAMOTIB.ed Science [MKU] RSS FEEDS
CHOZI LA HERI![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
|