ATIKA SCHOOL
  • Start
    • SITEMAP
    • KNEC Portal
    • ZERAKI HELP AND SUPPORT
    • Academic Environment
    • KNEC KCSE PROJECT INSTRUCTIONS
  • BLOGS
    • About Us? >
      • Learn more about us
    • CUSTOMER CARE >
      • PRICING
      • Help & Support
    • News and Opinions
    • JOBS IN KENYA AND ABROAD FOR KENYANS AND BEYOND
    • How its Done
  • OUR PRODUCTS
    • All Categories >
      • MORE PRODUCTS >
        • SECONDARY CRE NOTES
        • COURSE BOOKS
        • KCSE KISWAHILI SETBOOKS
        • Backed Up Files and Archives
        • FREE DOCUMENTS
        • PRIMARY 8-4-4 BASED RESOURCES
        • STANDARD 8 RESOURCES
        • HIGH SCHOOL RESOURCES >
          • Biology Paper 3 Exams
          • Secondary Examinations
        • PRIMARY CBC BASED RESOURCES
        • COLLEGE & VARSITY RESOURCES
      • PRIMARY RESOURCES CBC
      • PRIMARY RESOURCES 8-4-4
      • SECONDARY RESOURCES
      • NOTES & TUTORIALS
      • COLLEGE RESOURCES
      • NOVELS and OTHER BOOKS
    • EXAMINATIONS >
      • MOCKS AND JOINT EXAMS >
        • FORM 1 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 2 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 3 EXAMINATIONS, QUESTION PAPERS AND ANSWERS
        • FORM 4 MOCKS PAST EXAMS BY REGION
        • TOP SECONDARY EXAMS ALL SUBJECTS
      • KPSEA NATIONAL EXAMS
      • KCPE >
        • KCPE PAST PAPERS AND ANSWERS >
          • KCPE 2020 RESULTS, REPORTS, QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCPE PAST PAPERS 2019 REPORTS, RESULTS, QUESTIONS AND ANSWERS
        • KCPE PAST PAPERS PER SUBJECT
      • KCSE >
        • KCSE PAST PAPERS BY SUBJECT
        • KNEC KCSE PAST PAPERS, MARKING SCHEMES, QUESTIONS & ANSWERS
        • Free KCSE Past Papers Mathematics
        • Free KCSE Biology Questions and Answers
      • QUESTIONS & ANSWERS >
        • SECONDARY >
          • LANGUAGES >
            • Secondary English Questions and Answers
          • TECHNICALS >
            • COMPUTER STUDIES >
              • COMPUTER STUDIES Q & A
              • kcse computer studies paper 2 AND 3 Questions & Answers
            • BUSINESS STUDIES QUESTIONS & ANSWERS
            • KCSE AGRICULTURE TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE HOME SCIENCE DIRECT QUESTIONS AND ANSWERS
          • SCIENCES >
            • KCSE Mathematics Topical Questions
            • KCSE Biology Topical Questions and Answers
            • CHEMISTRY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE Physics Topical Questions
            • KCSE physics Practical Sample Quiz
          • HUMANITIES >
            • C.R.E (CRE) QUESTION AND ANSWERS
            • ISLAMIC RELIGIOUS EDUCATION (IRE) QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE History Topical Questions and Answers
            • GEOGRAPHY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
        • PRIMARY >
          • Standard 4-8 Mathematics Topical Questions from Mocks and KCPE
          • Std 6 Mathematics Notes
    • TUTORIALS >
      • SECONDARY >
        • SCIENCES >
          • FOCUS MATHEMATICS TUTORIALS AND EXAMS FREE
          • KCSE BIOLOGY NOTES
          • FREE KCSE CHEMISTRY NOTES
          • KCSE PHYSICS NOTES, AUDIOVISUALS AND MORE
        • LANGUAGES >
          • ENGLISH >
            • A GUIDE TO SILENT SONG AND OTHER STORIES
            • English KCSE Set Books
            • ENGLISH POETRY QUESTIONS WITH ANSWERS FOR K.C.S.E CANDIDATES
            • ENGLISH GRAMMAR #KCSE
          • KISWAHILI >
            • Bembea ya Maisha
            • CHOZI LA HERI - MWONGOZO
            • KIGOGO - MWONGOZO
            • MASWALI NA MAJIBU YA TUMBO LISILOSHIBA
            • USHAIRI MASWALI NA MAJIBU
            • KCSE Kiswahili Fasihi
        • TECHNICALS >
          • HOME SCIENCE NOTES
          • KCSE BUSINESS STUDIES NOTES
          • COMPUTER STUDIES NOTES LATEST
          • kcse Computer Studies Notes
          • KCSE AGRICULTURE NOTES, SYLLABUS, QUESTIONS, ANSWERS, SCHEMES OF WORK AND OTHERS
        • HUMANITIES >
          • KCSE History Notes Form 1 to 4
          • FREE KCSE CRE NOTES
          • KCSE GEOGRAPHY NOTES
          • IRE NOTES, AUDIOVISUAL, QUESTIONS AND ANSWERS
      • PRIMARY >
        • STANDARD 4: SOCIAL STUDIES
        • NOTES >
          • KISWAHILI
          • SOCIAL STUDIES
        • EXAMINATIONS
        • DecaTurbo Online Series Examinations
        • KCPE Mathematics Notes
        • KCPE and Primary Level Compositions
      • Other Supportive Documents >
        • SYLLABUS >
          • Primary 8-4-4 based Syllabus, Objectives and Lessons
          • Primary Mathematics Syllabus
        • MASOMO VIDEOS
    • CURRICULUM >
      • NEW CURRICULUM DESIGNS >
        • PRIMARY >
          • PRE PRIMARY ONE CURRICULUM WITH SYLLABUS
          • PRE PRIMARY TWO CURRICULUM WITH SYLLABUS
        • SECONDARY >
          • KNEC KCSE SYLLABUS AND COURSE OUTLINES
        • COLLEGE >
          • Regulations for the TIVET Craft and Diploma Business Examinations
    • HIGH INSTITUTIONS >
      • EXAMINATIONS >
        • College and Varsity Past Papers online
      • TUTORIALS >
        • COLLEGE AND UNIVERSITY NOTES AND TUTORIALS
  • MEMBERS RESOURCES
    • Primary >
      • CBC AND 8-4-4 LATEST EXAMS
      • CBC PROFFESSIONAL TOOLS
      • CBC NOTES PRIMARY
      • CBC KPSEA EXAMS
      • Standard 8 (std) English Topical Questions
      • KCPE MATHEMATICS TOPICAL QUESTIONS FROM 1989 TO LAST YEAR
      • STANDARD 8 PAST PAPERS 8-4-4 BASED
    • Secondary >
      • FORM 1 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 2 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 3 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 4 EXAMS WITH ANSWERS
      • KCSE 2020 QUESTIONS AND ANSWERS
      • NOTES SECONDARY
      • MOCKS SECONDARY >
        • kcse form 2 mathematics questions
    • Free Schemes of Work
    • FOCUS A365 SERIES K.C.P.E EXAMINATIONS FOR PRIMARY
    • ALL GROUPS PRODUCTS
    • PREMIUM PRODUCTS 2

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
TILA
  • Mwanawe Ridhaa aliyefia katika mkasa wa moto.
  • Amepevuka anajua nguvu za vijana ni kama nanga
  • Amezinduka anajua kuwa bado wafidhina hawajapata uhuru
  • Ni msomi anaelewa masuala ya sharia kwa kina
  • Ni mzalendo anasema wanahitaji kiongozi ambaye atapeleka jahazi kwenye visiwa vya
  • hazina
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
 SAUNA.
  • Wanafanya kazi pamoja na Bi. Kangara.
Sifa.
Mlaguzi wa binadamu.
  • Wanafanya kazi ya kuwauza watoto pamoja na Bi.Kangara
  • Uk 157,"Hatimaye ulaguzi wa binadamu uligeuka ukawa ngozi yake "
Mwenye bidii.
  • Alifanya kazi yake kwa bidii, 
  • Uk 157,"Sauna aliianza kazi yake. Ni kazi iliyompa pa to kubwa sana, hata akataka kusahau yaliyopita na kuwasamehe walezi wake.
Mtumwa.
  • Alifanya kazi chini ya masharti yake Bi. Kangara.
  • Uk 157."Hatimaye, ulanguzi wa binadamu uligeuka kuwa ngozi yake. Na sasa yu tayari kushika tariki kutekeleza utumwa mwingine wa Bi. Kangara "
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
KANGARA.
Sifa.

Mkiukaji haki za watoto.
  • Bii kangara anakiuka haki za watoto kwa kuwashika na kuwauza katika madanguro, na kwa matajiri, ili wawe watumishi, na kutumika kama alabiashara haramu.
  • Uk 157,"Bi. Kangara alifanikiwa kupata wasichana wa kuuza katika madanguro, wavulana wa kuwapelekea matajiri ambao walishiriki katika ulaguzi wa dawa za kulevya, na wafanya kazi katika makasri ya matajiri, na katika mashamba ya mikahawa na michai "
  • Uk 158,"mabibi hawa walifikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kosa la ukiukaji wa haki za watoto "
Mwanabiashara haramu.
  • Anafanya biashara haramu ya kuwauza watoto, na baadaye, anakamatwa na kufungwa gerezani miaka saba ".wakarambishwa miaka saba gerezani na kazi ngumu "
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
LIME.
  • Ni ndugu yake Mwanaheri, na wote wawili ni wana wake Mzee Kaizari.
Sifa.
Ni msomi.
  • Walisoma pamoja na dada yake huko kijijini.
  • Uk 93."mimi na ndugu tulirudi shuleni mle mle kijijini mwetu tu "
  • Ni hodari katika michezo ya kuigiza.
  • Uk 93,"Lime alikuwa hodari katika michezo ya kuigiza ile ya kitoto "
Mcheshi.
  • Alipendwa sana shuleni kwa ucheshi wake.
  • Uk 93,"Alikuwa mcheshi sana, kwa hivyo kutokuwepo kwake shuleni kuliwafanya watoto kumpeza "
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
MZEE KAIZARI.
  • Alikuwa babake Mwanaheri, na Lime.
Sifa.
Mwenye Busara.
  • Aliyajenga maisha ya familia yake upya baada ya kutoka msituni na kurudi nyumbani.
  • Uk 93,"baada ya kurudishwa nyumbani kutoka msitu wa mamba, baba yangu mzee Kaizari aliweza kuyajenga maisha yetu upya "
Mwenye mapenzi kwa familia yake.
  • Aliweza kuijengea familia yake nyumba pale ambapo waliishi zamani. Baada ya mkewe kutoweka,tunamwona Mzee Kaizari akitia bidii sana katika kumtafuta kwao na pia mjini.
  • Uk 96,"Baba alikwenda kumtafuta mama kwao asimpate baba alifululiza mjini kumtafuta mama,majuto yamemjaa kifua "
Mvumilivu.
  • Anapompata mkewe akiwa ameaga dunia, alivumilia uchungu wa kumpoteza ampendaye, na akamzoazoa na kumzika pamoja na wanawe.
  • Uk 96,"Baba alizoazoa kilichobakizwa na uozo, tukakizika "
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
KAIRU
Sifa 
Ni mvumilivu.
  • Kulingana na jinsi anavyomwambia Umu, inaonekana kuwa yeye ameyapitia magumu, na kuyavumilia. hujapitia tuliyo yapitia. Tulitendwa ya kutendwa "
 Ni msomi. 
  • Ingawa anajipata katika hali ya ufukara uliozidi, mamake anajaribu kuzungumza na mwalimu mkuu
  • baada yake kufukuzwa shuleni kwa ajili ya kukosa karo. 
  • Jambo hili linamsaidia kuendeleza masomo yake shuleni kama wanafunzi wengine.
  • Uk 93."Hata karo yangu imebidi amlilie mwalimu mkuu amruhusu alipe kidogo kidogo hadi mwisho wa mwaka "
  • Pia tunapata kuwa walipofika huku, Kairu alikuwa katika darasa la sita, na kwa sasa, ako katika kidato cha pili. Hii ina maana kuwa amekuwa akiendeleza masomo yake kwa ufasaha.
  • Uk 92,"nilikwenda hapo nikiwa katika darasa la sita, sasa ni katika kidato cha pili "
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
JULIDA.
  • Ni mama aliyesimamia makao yaliyokuwa ya wana wa mitaani.
Sifa.
Mwenye utu na upendo
  • Anamkaribisha kwa upendo
  • Umu, na kumpa tumaini.
  • Uk 89,"Julida alimgusa Umulkheri begani na kumwambia, 'usijali mwanangu. Hapa patakuwa penu kwa muda "
Mwenye huruma.
  • Kwa kumgusa Umu begani, anaonyesha kuwa anamhurumia mwana huyu kwa yaliyomfika.
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
HAZINA. 
  • Huyu alikuwa kijana wa mtaani aliyekuwa akiombaomba mapeni huko barabarani, na alisaidiwa na Umu kwa pesa alizozitumia kununulia mkate. 
Sifa 
Mwenye heshima.
  • Anamshukuru sana Umu baada ya kumpa pesa za kununua mkate. 
  • Uk 86,"Poa sana sistee, we ni mnoma. Siku moja nitakuhelp 
Ni msomi.
  • Alienda shuleni na kupata elimu. 
  • Uk 88,"Nilipelekwa shuleni nikasoma, nina elimu japo akali.
  • Amesomea upishi na huduma za hotelini katika chuo.
Mwenye upendourafiki wa dhati.
  • Anamwita Umu anapomwona, kwa kukumbuka wema aliomtendea wakati mmoja. 
  • Hazina alimpeleka Umu kwenye hoteli na kumpa chakula mpaka akashiba.
  •  Aliahidi pia kumsaidia Umu, na akampeleka kwao nyumbani.
  • Uk 89,"Hazina alimwahidi Umu kuwa atamsaidia.
  • Alimpeleka moja kwa moja hdi kwenye makao yao, akamjulisha kwa mama aliyesimamia makao hayo "
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
SAUNA. 
  • Ni kijakazi aliyekuwa akiwaangalia Umu, Mwaliko na Dick utotoni wao.
Sifa 
  • Si mwaminifu Kijakazi huyu alitoweka na watoto, kinyume na matarajio ya kuwaangalia wana hao. 
  • Uk 84,".ilibainika kuwa wanuna wake walikuwa wametekwa nyara na Sauna" 
  • Katili Anawapeleka watoto aliowateka nyara kwa bibi mmoja ambaye aliwatumia binadamu kama malighafi " 
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
UMULKHERI (UMU)
  • Ni dadake Dick na Mwaliko.
Sifa.
Ni msomi.
  • Tunamwona kuwa anasomea Shule ya upili ya mtende.
  • Uk 82."Ninasomea Shule ya upili ya Mtende "
  • Uk 85,"Huenda akapata pa kuishi na hata kuyaendeleza masomo yake"
Ni mwenye busara
  • Anapowakosa ndugu zake, anawatafuta kila mahali, na hati maye kupiga ripoti kwenye kituo cha polisi kuhusu kupotea kwa watoto wao.
Ni mwenye upendo.
  • Anawapenda ndugu zake, na hivyo, anatia bidii kuwatafuta waliko kwenda, kwa kupiga ripoti kwenye kituo cha polisi.
  • Uk 85,"fikra za ndugu zake zilimfanya kuzizima na hata kuishiwa na nguvu "
Mpenda haki.
  • Alijitahidi kutafuta haki yake na ndugu zake, na kuamua kuulinda utu wake kwa hali na mali uk 85,"Nitapigana kwa jino na ukucha kuulinda utu wangu. Nitatafuta haki ilikojificha "
Mwenye bidii.
  • Tunaona kuwa anaamka asubuhi na mapema kwenda kuitafuta haki yake.
  • Uk 85,"Asubuhi moja mbichi ilimpata Umu kwenye kituo cha gari moshi, akiwa amewasili kutoka mlima wa Simba, yu katikati ya mji "
Mpenda Dini.
  • Tunapata kuwa Umu aliweza kuhudhuria ibada jijini na wazazi wake kila jumapili.
  • Uk 85,"Kila alipokuja jijini Jumapili alikuwa akaandamana na wazazi wake kwa ubada "
Mwenye huruma na utu.
  • Anawahurumia sana vijana wa mtaani, na kutaka kuwasaidia.
  • Anamwomba mamake pesa kidogo aweze kumsaidia kijana mmoja.
  • Uk 86,"Umu alitia mkono ndani ya mfuko wa dangirizi yake, akatoa shilingi mia mbili alizokuwa amedunduliza kuto-kana na mapeni aliyokuwa akipewa na baba yake kama ma-surufu, akampa mvulana mmoja ombaomba " 
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
LUNGA.
  • Alikuwa mumewe Naomi.
Sifa.
  • Mwenye mapenzi kwa mkewe ni kwamba hili linauma na kudhalilisha zaidi kwani lunga alijisabilia kwa hali na mali kumridhia na kumpendeza mkewe "
Mvumilivu.
  • Alijikaza na kuvumilia machungu yaliyomkumba alipoachwa na mpenzi wake Naomi.
  • Uk 81,"lakini mkono wake ulimkataza kujidhalilisha zaidi. Alimeza funda chungu la mate na kuamua kusalimu amri ya usaliti wa Naomi " pia alivumilia kuwalea wanawe alioachiwa na mke wake.Uk 81,"mwaka mmoja wa kwanza ulikuwa mgumu mno "
 Mlezi mwema.
  • ".Lunga ilibidi kuwa baba na mama wa watoto wake,na hilo usilione kama jambo jepesi, Hakuwaacha watoto wake kama alivyofanya mkewe Naomi.
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
NAOMI.
  • Alikuwa mkewe Lunga.
  • Tabia zake zilifananishwa na za Sally aliyemwacha mumewe kwa dharau.
  • Uk 81,"Nimeondoka. Acha nitambae na ulimwengu,huendi nikaambulia cha kukusaidia kuikimu familia.
  • Nasikjtika uchungu nitakaokusababishia wewe na wanao.Kwaheri Naomi "
Sifa 
Ni mwenye dharau kwa familia yake,
  • kwa jinsi anavyowaacha. Tazama, Uk 81,"Nimeondoka. Acha nitambae na ulim wengu, huenda nikaambulia cha kukusaidia kuikimu familia.
  • Nasikitika kwa uchungu nitakaokusababishia wewe na wanao.
Ni katili.
  • Anaiacha familia yake na kwenda kuizuru dunia uk 84,"Alimlaani mama yake ambaye aliwatelekeza kwa ubinafsi na ukatili mkuu "
Mwenye majuto.
  • Baada ya kuwaacha wana wake, anarudi nyumbani baada ya miaka kadhaa na kukuta hali ya huko ikiwa mahame tu. Anakuta kaburi la mumewe tu, likiwa halijafyekewa kwa miaka mingi. Anaanza kazi ya kutafuta walikokwenda wana wake. Kwa bahati nzuri, mwishowe wanapatana na wana wake wakiwa bado hai. Kwa miaka mingi, anaishi kwa majuto ya kuwaacha wana wake (uk 192-193).
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
SALLY.
  • Alikuwa mchumba wake Billy ambaye Billy alitaka kufunga ndoa naye.
  • Alikuwa mwenye majivuno na maringo, uk 80,"Kipusa akawa ameliona jumba la mpenziwe kama tundu Ia makinda, akachukua virago na kurudi kwao ughaibuni "
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
BILLY
  • Alikuwa mlowezi.Alibagua wengine kwa misingi ya rangi, na kuwadhalilisha wanawake wa Kiafrika, hivyo basi kutafuta mchumba huko kwao ughaibuni.
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
SELUME.
  • Alikuwa mwenye matumaini mengi, uk 31,"Selume alitueleza kuwa alikuwa amesikia fununu kuwa upo mradi wa kuwakwamua wakimbizi kutokana na hali hii. Maneno ya Selume yaliwasha mwenge wa tumaini "
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
MAMA RIDHAA.
  • Alikuwa mzazi wake Ridhaa wa kike, na mmoja kati ya wake wa mzee Mwimo.
  • Ni mwenye busara. Anamfunza Ridhaa namna ya kuishi na wenzake.
  • Uk11,"Mama Ridhaa alisikiliza malalamishi ya mwanawe akamwambia, 'Mwanangu, ni vyema kujifunza kuishi na wenzako, bila kujali tofauti za ukoo na nasaba. Elimu inapaswa kuwa chombo cha kueneza amani na upendo wala sio fujo na chuki "
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
MZEE MWIMO MSUBILI.
  • Huyu alikuwa babake Ridhaa.
  • Alikuwa na familia kubwa, yenye madume ishirini;uk 7. Ridhaa akiwemo kati ya madume hao ishirini.
  • Alikuwa mwenye busara, kwa sababu alihamisha familia yake msitu wa heri, ili kupunguza msongamano nyumbani pake.
  • Ni mwenye bidii kwani mtu kuilisha familia kubwa namna hiyo si jambo nyepesi. Alikuwa mwenye wake wengi na wana wengi pia.
  • Pia aliwapeleka wanawe shuleni kupata elimu, kama Ridhaa.
  • Uk 10. "Anakumbuka jinsi siku ya kwanza shuleni alivyotengwa na wenzake katika mchezo wao wa kuvuta
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
BECKY.
  • Huyu ni mjukuu wake Ridhaa.
  • Yeye pia anajipata katika janga la moto na kuiaga dunia.
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
DICK
  • Msamehevu anamsamehe mamake na Sauna
  • Mwenye shukrani anawashukuru Apondi na Mwangeka
  • Mwenye bîdii anafanya kazi ya teknolojia
  • Mwenye mapenzi ya dhati kwa nduguze
  • Amezinduka anajua hatari za ulanguzi wa dawa za kulevya
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
MZEE KEDI.
  • Huyu ni jirani yake Terry na Ridhaa.Anaonekana kuwa muuaji.
  • Uk 3,"Uuuui!uuuui!Jamani tusaidieni!Uuuui!Uuuui!
  • Mzee Kedi, usituue, sisi tu majirani Maskini wanangu Maskini mume wangu!"
  • Huyu ni mwanawe Ridhaa. Anapatwa na janga la moto na kuiaga dunia pamoja na mamake. Jina lake kamili lilikuwa
  • Alionekana kuwa na sifa ya kuwa mwana mwerevu sana. Baba yake anakumbuka jinsi walivyokuwa wakijadiliana vikali kuhusu mafanikio ya baada ya uhuru, uk 5,"Anakumbuka mjadala mkali aliokuwa nao na bintiye, Tila, kuhusu mafanikio ya baada ya uhuru, mjadala ambao hakuna mmoja katika aila yake aliyethubutu kUuchangia kwani kwenye maswala ya sheria na siasa, hakuna aliyempiku Tila "
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
TERRY 
  • Huyu ni mkewe Ridhaa.Aliangamia katika mkasa wa moto.
Mcheshi
  • Terry ana sifa moja kuu ya kuwa yeye ni mcheshi. 
  • Uk 2 "Terry kwa ucheshi wake mwingi wa kawaida,hakunyamaza "
  • Tunaona kuwa ucheshi ulikuwa ni mazoea yake au kawaida yake.
Mwenye busara.
  • Anamwambia mumewe, (uk 2) "wewe huishi kufanya tumbo moto!Kila jambo kwako lazima liwe na kiini utakuja kujitia fadhaa bure
  • Anajaribu kumpa ushauri mumewe baada ya kumwona mumewe kuwa mshirikina.(Terry anaiaga dunia pamoja na wanawe, baada ya nyumba yao kuteketezwa)
0 Comments

Wahusika na Uhusika

9/6/2020

0 Comments

 
Wahusika na Uhusika
  • Mhusika ni mtu katika riwaya au hadithi fulani anayetenda mambo kadha wa kadha, kadri mtunzi wa hadithi au riwaya atakavyo, ili kujenga hadithi yake. Wahusika hutumika kuafikisha maudhui ambayo mtunzi anataka kupitisha kwa msomaji. Kila mhusika huwa na sifa na umuhimu wake katika kazi hii ya ubunifu ya mwandishi.
RIDHAA.
  • Huyu ni mumewe Terry. Ni mhusika mkuu ambaye ana sifa kadhaa.
SIFA
Mshirikina.
  • Uk 1,"Anakumbuka mlio wa kereng'ende na bundi usiku wa kuamkia siku hii ya kiyama. Milio hiyo ndiyo iliyomtia kiwewe zaidi kwani bundi hawakuwa wageni wa kikaida katika janibu hizi "
  • Pia anamwambia mkewe Terry, "milio hii ni kama mbiu ya mgambo, huenda kukawa na jambo "
  • Kwa hivyo Ridhaa ni mhusika aliyekuwa na imani katika mambo ya ushirikina. Uk 2 "Ninashangaa vipi daktari mzima hapo ulipo unajishughulisha na mambo ya ushirikina "
  • Huu ni ushahidi mwingine wa kuonyesha kuwa Ridhaa alikuwa mshirikina.
Mwepesi wa moyo.
  • Ridhaa ni mwepesi wa moyo kwani anapopatwa na mawazo ya hapo awali ambayo ni ya kukatisha tamaa, analia kwa urahisi, kinyume na matarajio ya jamii kuwa mwanaume hafai kulia.
  • UK 2,"machozi yaliturika uwezo wake wa kuona " Uk 3 "Ridhaa mwanangu, mwanamume hufumbika chozi ya mwanamume hayapaswi kuonekana hata mbele ya majabalia ya maisha. Huku ni kujiumbua hasa. Unyonge haukuumbiwa majimbi, ulitunukiwa makoo " 
  • Mwenye bidii. Uk 4,"Alikuwa amesafiri kwa shughuli za ujenzi wa taifa, kama alivyoziita safari zake za kikazi " Tunapata kuwa Ridhaa alikuwa ni mwenye bidii za mchwa katika kazi yake ya kila siku aliyoiita 'ujenzi wa taifa'.
 Mvumilivu.
  • Aliweza kuvumilia matukio yaliyomkumba kijijini mwake, yakiwemo kutotakwa huko, na kufukuzwa, mali yake kuharibiwa na familia yake kuuliwa. Anapiga moyo konde kukabiliana na hall hiyo mpya (uk 25). 
Mwenye busara. 
  • Ridhaa anapozisikia sauti za hawa ndege, anajua kuwa kuna jambo ambalo lingeweza kutendeka na ambalo si la kupendeza.
  • Pia anamwambia mkewe, uk 2,"wewe endelea kupiga hulu tu, lakini utakuja kuniambia " Baadaye tunapata kuona kuwa kuna janga linaloipata familia yake na kwa hivyo, Ridhaa alikuwa na uwezo wa kuhisi kuwa kuna jambo lisilokuwa la kupendeza litakaloifikia jamii yake 
0 Comments

Idadi ya Wahusika katika Chozi la Heri

9/6/2020

3 Comments

 
Idadi ya wahusika katika kitabu cha riwaya ya Chozi la Heri na Assumpta Matei ni Ishirini na watatu (23) na ni kama wafuatavyo

Read More
3 Comments
    Chozi la Heri
    Chozi la Heri

    ​Uchambuzi wa Chozi la Heri na Assumpta K Matei

    chozi la heri uchambuzi


    CATEGORY

    Categories

    All
    Jalada
    MASWALI NA MAJIBU
    MWONGOZO
    SWALI NA JIBU
    Ufaafu Wa Anwani
    WAHUSIKA

    ARCHIVES

    Archives

    January 2023
    December 2022
    May 2022
    October 2021
    June 2021
    June 2020
    May 2020

    AUTHOR

    M.A NYAMOTI

    B.ed Science [MKU]

    RSS FEEDS

    RSS Feed


    CHOZI LA HERI

    chozi_la_heri__qns__ms_.pdf
    File Size: 1257 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_qns.pdf
    File Size: 391 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_guide.pdf
    File Size: 2089 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_guide_0714497530.pdf
    File Size: 2126 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_guide_latest.pdf
    File Size: 1287 kb
    File Type: pdf
    Download File


    HIGH SCHOOL EXAMINATIONS

    OPEN

    ENGLISH LITERATURE BOOKS & SETBOOKS

    OPEN

    KCSE KISWAHILI SETBOOKS

    OPEN

    Geography Form 1 Notes and Other Resources

    OPEN

    KCSE PAST PAPERS BY SUBJECT 1989 - LAST YEAR

    OPEN

    Geography Form 2 Notes and Other Resources

    OPEN

    KCSE Past Papers, Marking Schemes and Reports

    OPEN

    BIOLOGY FORM 1 NOTES

    OPEN

    ALL SECONDARY RESOURCES (EXAMINATIONS, NOTES, TUTORIALS AND REPORTS)

    OPEN

    PRIMARY SCHOOL RESOURCES 8-4-4

    OPEN

    KCPE Past Papers, Marking Schemes and Reports

    OPEN

    STANDARD 8 CLASSROOM RESOURCES

    OPEN
    1 2


Primary Resources
  • K.C.P.E Past Papers
  • ​Pri - Primary 1 Level
  • Pri  - Primary 2 Level
  • Grade 1
  • Grade 2
  • Grade 3
  • Grade 4
  • Standard 5
  • Standard 6
  • Standard 7
  • Standard 8
  • English
  • Kiswahili
  • Social Studies
  • Science
  • Mathematics
  • Kenya Sign Language
  • I.R.E
  • ​H.R.E
  • Notes
  • Termly Questions
  • Mocks
  • K.C.P.E Past Papers
College Resources
  • E.C.D.E
  • P.T.E
  • D.T.E
  • Technical Diploma
  • Technical Certificate
  • Business Diploma
  • Business Certificate
  • Higher Diploma
  • K.A.S.N.E.B Resources
  • K.M.T.C Resources
  • Varsity Resources
Secondary Resources
  • K.C.S.E Past Papers
  • Form 1
  • Form 2
  • Form 3
  • Form 4
  • Term 1
  • Term 2
  • Term 3
  • English
  • Geography
  • History
  • C.R.E
  • I.R.E
  • ​H.R.E
  • Home Science
  • Computer Studies
  • Business Studies
  • Agriculture
  • Chemistry
  • Biology
  • Physics
  • Mathematics ALT A
  • Mathematics ALT B
  • Kiswahili
  • French
  • Germany
  • Arabic
  • Aviation
  • Art & Design
  • Drawing & Design
  • Building & Construction
  • Metal Works
  • Wood Work
  • Music
  • Kenya Sign Language
  • Electricity
Other Useful Links
  • Academic Environment
  • How its Done
  • News and Opinions
  • Manyam Franchise Support
  • About
  • SITEMAP
  • FOCUS A365 SERIES
  • Membership Details (KCPE/KCSE)
  • Secondary Mocks
  • SYLLABUS
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii
Tel: 0728 450 424
Tel: 0738 619 279
Tel: 0763 450 425
E-mail - sales@manyamfranchise.com
  • Start
    • SITEMAP
    • KNEC Portal
    • ZERAKI HELP AND SUPPORT
    • Academic Environment
    • KNEC KCSE PROJECT INSTRUCTIONS
  • BLOGS
    • About Us? >
      • Learn more about us
    • CUSTOMER CARE >
      • PRICING
      • Help & Support
    • News and Opinions
    • JOBS IN KENYA AND ABROAD FOR KENYANS AND BEYOND
    • How its Done
  • OUR PRODUCTS
    • All Categories >
      • MORE PRODUCTS >
        • SECONDARY CRE NOTES
        • COURSE BOOKS
        • KCSE KISWAHILI SETBOOKS
        • Backed Up Files and Archives
        • FREE DOCUMENTS
        • PRIMARY 8-4-4 BASED RESOURCES
        • STANDARD 8 RESOURCES
        • HIGH SCHOOL RESOURCES >
          • Biology Paper 3 Exams
          • Secondary Examinations
        • PRIMARY CBC BASED RESOURCES
        • COLLEGE & VARSITY RESOURCES
      • PRIMARY RESOURCES CBC
      • PRIMARY RESOURCES 8-4-4
      • SECONDARY RESOURCES
      • NOTES & TUTORIALS
      • COLLEGE RESOURCES
      • NOVELS and OTHER BOOKS
    • EXAMINATIONS >
      • MOCKS AND JOINT EXAMS >
        • FORM 1 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 2 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 3 EXAMINATIONS, QUESTION PAPERS AND ANSWERS
        • FORM 4 MOCKS PAST EXAMS BY REGION
        • TOP SECONDARY EXAMS ALL SUBJECTS
      • KPSEA NATIONAL EXAMS
      • KCPE >
        • KCPE PAST PAPERS AND ANSWERS >
          • KCPE 2020 RESULTS, REPORTS, QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCPE PAST PAPERS 2019 REPORTS, RESULTS, QUESTIONS AND ANSWERS
        • KCPE PAST PAPERS PER SUBJECT
      • KCSE >
        • KCSE PAST PAPERS BY SUBJECT
        • KNEC KCSE PAST PAPERS, MARKING SCHEMES, QUESTIONS & ANSWERS
        • Free KCSE Past Papers Mathematics
        • Free KCSE Biology Questions and Answers
      • QUESTIONS & ANSWERS >
        • SECONDARY >
          • LANGUAGES >
            • Secondary English Questions and Answers
          • TECHNICALS >
            • COMPUTER STUDIES >
              • COMPUTER STUDIES Q & A
              • kcse computer studies paper 2 AND 3 Questions & Answers
            • BUSINESS STUDIES QUESTIONS & ANSWERS
            • KCSE AGRICULTURE TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE HOME SCIENCE DIRECT QUESTIONS AND ANSWERS
          • SCIENCES >
            • KCSE Mathematics Topical Questions
            • KCSE Biology Topical Questions and Answers
            • CHEMISTRY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE Physics Topical Questions
            • KCSE physics Practical Sample Quiz
          • HUMANITIES >
            • C.R.E (CRE) QUESTION AND ANSWERS
            • ISLAMIC RELIGIOUS EDUCATION (IRE) QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE History Topical Questions and Answers
            • GEOGRAPHY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
        • PRIMARY >
          • Standard 4-8 Mathematics Topical Questions from Mocks and KCPE
          • Std 6 Mathematics Notes
    • TUTORIALS >
      • SECONDARY >
        • SCIENCES >
          • FOCUS MATHEMATICS TUTORIALS AND EXAMS FREE
          • KCSE BIOLOGY NOTES
          • FREE KCSE CHEMISTRY NOTES
          • KCSE PHYSICS NOTES, AUDIOVISUALS AND MORE
        • LANGUAGES >
          • ENGLISH >
            • A GUIDE TO SILENT SONG AND OTHER STORIES
            • English KCSE Set Books
            • ENGLISH POETRY QUESTIONS WITH ANSWERS FOR K.C.S.E CANDIDATES
            • ENGLISH GRAMMAR #KCSE
          • KISWAHILI >
            • Bembea ya Maisha
            • CHOZI LA HERI - MWONGOZO
            • KIGOGO - MWONGOZO
            • MASWALI NA MAJIBU YA TUMBO LISILOSHIBA
            • USHAIRI MASWALI NA MAJIBU
            • KCSE Kiswahili Fasihi
        • TECHNICALS >
          • HOME SCIENCE NOTES
          • KCSE BUSINESS STUDIES NOTES
          • COMPUTER STUDIES NOTES LATEST
          • kcse Computer Studies Notes
          • KCSE AGRICULTURE NOTES, SYLLABUS, QUESTIONS, ANSWERS, SCHEMES OF WORK AND OTHERS
        • HUMANITIES >
          • KCSE History Notes Form 1 to 4
          • FREE KCSE CRE NOTES
          • KCSE GEOGRAPHY NOTES
          • IRE NOTES, AUDIOVISUAL, QUESTIONS AND ANSWERS
      • PRIMARY >
        • STANDARD 4: SOCIAL STUDIES
        • NOTES >
          • KISWAHILI
          • SOCIAL STUDIES
        • EXAMINATIONS
        • DecaTurbo Online Series Examinations
        • KCPE Mathematics Notes
        • KCPE and Primary Level Compositions
      • Other Supportive Documents >
        • SYLLABUS >
          • Primary 8-4-4 based Syllabus, Objectives and Lessons
          • Primary Mathematics Syllabus
        • MASOMO VIDEOS
    • CURRICULUM >
      • NEW CURRICULUM DESIGNS >
        • PRIMARY >
          • PRE PRIMARY ONE CURRICULUM WITH SYLLABUS
          • PRE PRIMARY TWO CURRICULUM WITH SYLLABUS
        • SECONDARY >
          • KNEC KCSE SYLLABUS AND COURSE OUTLINES
        • COLLEGE >
          • Regulations for the TIVET Craft and Diploma Business Examinations
    • HIGH INSTITUTIONS >
      • EXAMINATIONS >
        • College and Varsity Past Papers online
      • TUTORIALS >
        • COLLEGE AND UNIVERSITY NOTES AND TUTORIALS
  • MEMBERS RESOURCES
    • Primary >
      • CBC AND 8-4-4 LATEST EXAMS
      • CBC PROFFESSIONAL TOOLS
      • CBC NOTES PRIMARY
      • CBC KPSEA EXAMS
      • Standard 8 (std) English Topical Questions
      • KCPE MATHEMATICS TOPICAL QUESTIONS FROM 1989 TO LAST YEAR
      • STANDARD 8 PAST PAPERS 8-4-4 BASED
    • Secondary >
      • FORM 1 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 2 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 3 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 4 EXAMS WITH ANSWERS
      • KCSE 2020 QUESTIONS AND ANSWERS
      • NOTES SECONDARY
      • MOCKS SECONDARY >
        • kcse form 2 mathematics questions
    • Free Schemes of Work
    • FOCUS A365 SERIES K.C.P.E EXAMINATIONS FOR PRIMARY
    • ALL GROUPS PRODUCTS
    • PREMIUM PRODUCTS 2