“Hatuwezi kumaliza kula, kila leo tunakula”(a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (al 4)
Mnenaji ni Mbura.
Mnenewa ni Sasa Wakiwa nyumbani kwa mzee Mambo Walikuwa wamehudhuria sherehe kwa Mambo bila ualishi katika siku ya kusherehekea siku ya kuingia darasa la chekechea kwa mtoto wa Mzee Mambo na mwingine kutoa vijino viwili. Wanafika shereheni kula, hata hivyo wanakula kilafi mpaka Mbura anaanza kujilaumu pamoja na mwenzake Sasa kwamba wanakula vyovyote wavipatavyo bila kuvichunguza na hata kuvila vya wenzao waliowatuangulia na watakaozaliwa. (b) Fafanua tamathali ya usemi iliyotumika (al 2)
Istiari/Jazanda – Wanakula lakini hawawezi kumaliza kula – wanakula kila leo
na bado wanaendelea kula – kuendelea kunyakua mali ya uma kutaja = 1 kufafanua = 1 (C) Eleza umuhimu wa mnenaji. (al 4)
Umuhimu wa Mbura
(d) “Lakini nakwambia, kula kunatumaliza”. Kwa kudokeza hoja kumi, jadili ukweli wa kauli hii. (al 10)
“lakini nakwambia tena, kula kunatumaliza”.
0 Comments
Leave a Reply. |
Uchambuzi wa Chozi la Heri na Assumpta K MateiCATEGORY
ARCHIVES
AUTHOR
M.A NYAMOTIB.ed Science [MKU] RSS FEEDS
CHOZI LA HERI
|
Primary Resources
College Resources
Can't find what you want? Use this Search box. |
Secondary Resources
|
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii Tel: 0728 450 424 Tel: 0738 619 279 E-mail - sales@manyamfranchise.com |