ATIKA SCHOOL
  • Start
    • SITEMAP
    • KNEC Portal
    • ZERAKI HELP AND SUPPORT
    • Academic Environment
    • KNEC KCSE PROJECT INSTRUCTIONS
  • BLOGS
    • About Us? >
      • Learn more about us
    • CUSTOMER CARE >
      • PRICING
      • Help & Support
    • News and Opinions
    • JOBS IN KENYA AND ABROAD FOR KENYANS AND BEYOND
    • How its Done
  • OUR PRODUCTS
    • All Categories >
      • MORE PRODUCTS >
        • SECONDARY CRE NOTES
        • COURSE BOOKS
        • KCSE KISWAHILI SETBOOKS
        • Backed Up Files and Archives
        • FREE DOCUMENTS
        • PRIMARY 8-4-4 BASED RESOURCES
        • STANDARD 8 RESOURCES
        • HIGH SCHOOL RESOURCES >
          • Biology Paper 3 Exams
          • Secondary Examinations
        • PRIMARY CBC BASED RESOURCES
        • COLLEGE & VARSITY RESOURCES
      • PRIMARY RESOURCES CBC
      • PRIMARY RESOURCES 8-4-4
      • SECONDARY RESOURCES
      • NOTES & TUTORIALS
      • COLLEGE RESOURCES
      • NOVELS and OTHER BOOKS
    • EXAMINATIONS >
      • MOCKS AND JOINT EXAMS >
        • FORM 1 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 2 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 3 EXAMINATIONS, QUESTION PAPERS AND ANSWERS
        • FORM 4 MOCKS PAST EXAMS BY REGION
        • TOP SECONDARY EXAMS ALL SUBJECTS
      • KPSEA NATIONAL EXAMS
      • KCPE >
        • KCPE PAST PAPERS AND ANSWERS >
          • KCPE 2020 RESULTS, REPORTS, QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCPE PAST PAPERS 2019 REPORTS, RESULTS, QUESTIONS AND ANSWERS
        • KCPE PAST PAPERS PER SUBJECT
      • KCSE >
        • KCSE PAST PAPERS BY SUBJECT
        • KNEC KCSE PAST PAPERS, MARKING SCHEMES, QUESTIONS & ANSWERS
        • Free KCSE Past Papers Mathematics
        • Free KCSE Biology Questions and Answers
      • QUESTIONS & ANSWERS >
        • SECONDARY >
          • LANGUAGES >
            • Secondary English Questions and Answers
          • TECHNICALS >
            • COMPUTER STUDIES >
              • COMPUTER STUDIES Q & A
              • kcse computer studies paper 2 AND 3 Questions & Answers
            • BUSINESS STUDIES QUESTIONS & ANSWERS
            • KCSE AGRICULTURE TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE HOME SCIENCE DIRECT QUESTIONS AND ANSWERS
          • SCIENCES >
            • KCSE Mathematics Topical Questions
            • KCSE Biology Topical Questions and Answers
            • CHEMISTRY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE Physics Topical Questions
            • KCSE physics Practical Sample Quiz
          • HUMANITIES >
            • C.R.E (CRE) QUESTION AND ANSWERS
            • ISLAMIC RELIGIOUS EDUCATION (IRE) QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE History Topical Questions and Answers
            • GEOGRAPHY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
        • PRIMARY >
          • Standard 4-8 Mathematics Topical Questions from Mocks and KCPE
          • Std 6 Mathematics Notes
    • TUTORIALS >
      • SECONDARY >
        • SCIENCES >
          • FOCUS MATHEMATICS TUTORIALS AND EXAMS FREE
          • KCSE BIOLOGY NOTES
          • FREE KCSE CHEMISTRY NOTES
          • KCSE PHYSICS NOTES, AUDIOVISUALS AND MORE
        • LANGUAGES >
          • ENGLISH >
            • A GUIDE TO SILENT SONG AND OTHER STORIES
            • English KCSE Set Books
            • ENGLISH POETRY QUESTIONS WITH ANSWERS FOR K.C.S.E CANDIDATES
            • ENGLISH GRAMMAR #KCSE
          • KISWAHILI >
            • Bembea ya Maisha
            • CHOZI LA HERI - MWONGOZO
            • KIGOGO - MWONGOZO
            • MASWALI NA MAJIBU YA TUMBO LISILOSHIBA
            • USHAIRI MASWALI NA MAJIBU
            • KCSE Kiswahili Fasihi
        • TECHNICALS >
          • HOME SCIENCE NOTES
          • KCSE BUSINESS STUDIES NOTES
          • COMPUTER STUDIES NOTES LATEST
          • kcse Computer Studies Notes
          • KCSE AGRICULTURE NOTES, SYLLABUS, QUESTIONS, ANSWERS, SCHEMES OF WORK AND OTHERS
        • HUMANITIES >
          • KCSE History Notes Form 1 to 4
          • FREE KCSE CRE NOTES
          • KCSE GEOGRAPHY NOTES
          • IRE NOTES, AUDIOVISUAL, QUESTIONS AND ANSWERS
      • PRIMARY >
        • STANDARD 4: SOCIAL STUDIES
        • NOTES >
          • KISWAHILI
          • SOCIAL STUDIES
        • EXAMINATIONS
        • DecaTurbo Online Series Examinations
        • KCPE Mathematics Notes
        • KCPE and Primary Level Compositions
      • Other Supportive Documents >
        • SYLLABUS >
          • Primary 8-4-4 based Syllabus, Objectives and Lessons
          • Primary Mathematics Syllabus
        • MASOMO VIDEOS
    • CURRICULUM >
      • NEW CURRICULUM DESIGNS >
        • PRIMARY >
          • PRE PRIMARY ONE CURRICULUM WITH SYLLABUS
          • PRE PRIMARY TWO CURRICULUM WITH SYLLABUS
        • SECONDARY >
          • KNEC KCSE SYLLABUS AND COURSE OUTLINES
        • COLLEGE >
          • Regulations for the TIVET Craft and Diploma Business Examinations
    • HIGH INSTITUTIONS >
      • EXAMINATIONS >
        • College and Varsity Past Papers online
      • TUTORIALS >
        • COLLEGE AND UNIVERSITY NOTES AND TUTORIALS
  • MEMBERS RESOURCES
    • Primary >
      • CBC AND 8-4-4 LATEST EXAMS
      • CBC PROFFESSIONAL TOOLS
      • CBC NOTES PRIMARY
      • CBC KPSEA EXAMS
      • Standard 8 (std) English Topical Questions
      • KCPE MATHEMATICS TOPICAL QUESTIONS FROM 1989 TO LAST YEAR
      • STANDARD 8 PAST PAPERS 8-4-4 BASED
    • Secondary >
      • FORM 1 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 2 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 3 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 4 EXAMS WITH ANSWERS
      • KCSE 2020 QUESTIONS AND ANSWERS
      • NOTES SECONDARY
      • MOCKS SECONDARY >
        • kcse form 2 mathematics questions
    • Free Schemes of Work
    • FOCUS A365 SERIES K.C.P.E EXAMINATIONS FOR PRIMARY
    • ALL GROUPS PRODUCTS
    • PREMIUM PRODUCTS 2

Follow us now to receive the latest updates @schoolatika





​Jadili nafasi ya sehemu zifuatazo katika riwaya ya Chozi la Heri:

25/12/2022

0 Comments

 

​​Jadili nafasi ya sehemu zifuatazo katika riwaya ya Chozi la Heri:

​(a) Hotuba (alama 10)

(a) Hotuba (alama 10)
Hotuba ni maelezo maalumu yanayotolewa na mtu mmoja mbele ya watu. Pia huitwa hutuba. Mwandishi wa riwaya hii ametumia hutuba kwa ustadi mkuu kupitisha ujumbe mbalimbali. Hotuba hizi ni:  
​1. Hotuba ya Racheal Apondi kwa maafisa waliohudhuria warsha kuhusu jukumu la vikosivya askari katika kudumisha usalama, amani na maridhiano nchini (uk 112- 113). Katika hotuba hii, Racheal Apondi anasisitiza kuwa: 
Suala la usalama haliwezi tena kupuuzwa. Usalama umekuwa moja wapoyamahitajiyakibinadamu. 
Anasema kuwa bila usalama, binadamu hawezi hata kushiriki katika shughuli za kuzalisha mali, hivyo hata mahitaji yake mengine ya kimsingi kama vile chakula, malazi na makazi haya wezi kukidhiwa. 
Kila binadamu ana jukumu la kudumisha amani na usalama. 
Wafanyakazi wa umma, hasa polisi na wanajeshi wana jukumu kubwa zaidi la kudumisha usalama na amani. 
Kila mmoja wetu anastahili kuhakikisha kuwa ameepuka vitendo vya kihalifu. 
Ni vyema mtu kuwaangaza wahalifu wakati wote. 
Vikosi vya polisi na wanajeshi vimefunzwa maarifa ya kukabiliana na kadhia za Jinai na upelelezi. (4×1= 4)
​2. Hotuba ya Lunga Kiriri- Kangata kwa walimu na wanafunzi gwarideni (uk 68-69). Hotuba hiii lisisitiza umuhimu wa kuhifadhi mazingira. Anasisitiza kuwa:  
Suala la uhifadhi wa mazingira ni jukumu la kila mmoja wetu. 
Misitu ilikuwa imevamiwa na viongozi wenye mate yafisi. 
Baadhi ya vinara wa taasisi mbalimbali za umma wamewaacha Wanyama kama mayatima kwa kuwap okama kazi yao. 
Maelfu ya maekari ya misitu yamefyekwa na kujengwa viwanda. 
Badala ya mibamba kofi na miti mingine inayosafisha hewa, micha iimetwaa nafasi yake. 
Wanaohusika na matendo haya wanapoulizwa hudai kuwa michaisia duiya mazingira! 
Wengine wanasema kuwa misitu haina budi kukatwa ili kupanda mimea inayotoa chakula, kwani jamii lazima ijitosheleze kwa chakula. 
La kuhuzunisha ni kwamba hawa hawa wanaosema hivyo ndio wanaokita majengo ya kifahari katika sehemu ambazo zinastahili kutengewa upanzi wa chakula! 
Wengine wamediriki kunyakua hata madhabahu kwenye Mlima wa Nasibu ili kujenga hoteli kubwa za kitalii. 
Wazee wetu hata hawana mahali pa kuchomea kafara! 
Tuna kata miti bila kupanda smingine. 
Hata mabustani ya maua tunashindwa kuyastawisha.
Tukiendelea kuharibu mazingira sehemu yetu itazidi kuwa jangwa. (2×1= 2)
3. Hotuba ya Umu katika hoteli ya Majaliwa siku ya key akuzaliwa.
Umu ana washuku Mwangeka na Apondi kwa kuwa wazazi wake wema.
Ana washukuru kwa kumsomesha.
Anawashukuru kwa kumsaidia Dick kujiendeleza kimasomo.
Mwangeka na Apondi wanamshukuru Umu kwa kuwapa furaha. 
Apondi anamshukuru kwa kumlea mdogo wao kwa maadili bora. (2×1= 2)
​4. Hotuba ya Dick katika hoteli ya Majaliwa siku ya kuzaliwakwaUmu.
Dick anamshukuru Umu kwa msaada wake na ahadi ya kumlea. 
Anamkumbusha siku walipokutana katika uwanja wa ndege na ilivyokuwa muhimu kwake.
Anamshukuru Umu kwa kumwelekeza kwa wazazi wao wale.
Anawashukuru Apondi, Mwangeka na wanawe kwa ushauri wanaompa. (2×1= 2)
Mtahiniwa ataje hotuba kisha aeleze masuala muhimu yanayoibuliwa na kila moja.

​(b) Uozo katika jamii (alama 10)

​(b) Uozo katika jamii  (alama 10)
Uozo ni hali ya kuzorota na kutozingatiwa tena kwa maadili mema katika jamii. Ni hali ambapo mila zote na desturi njema huvurugwa na wanajamii wanaofanya mambo yaliyo kinyume na hali hali si yamaisha. Mwandishi amejadili suala hili kwa undani kama ifuatavyo;
Jamii inaendeleza ubakaji. Genge la mabarobaro watano lilifululiza hadi walipokuwa maskini Lime naMwanaheri na kuwabaka mbele ya baba yao (uk 25). 
Kuna ulanguzi wa dawa za kulevya. Dick alipotoroshwana Sauna alipelekwa kwa Tajiri mmoja aliyemwingiza katika kusafirisha dawa za kulevya kutoka nchi moja hadi nyingine (uk 119- 120). 
Wanajamii wanaendeleza uporaji na wizi wa mali. Vijana wana wavamia watu, kuwaua na kupora katika maduka ya kihindi, kiarabu naya wa afrika wenzao.
Jamiii naendeleza ufuska/ ukahaba. Sauna aliiba Watoto na kuwapeleka kwa mama mmoja aliyewatumia kwa biashara yanipe ni kupe (uk 84).
Biashara haramu inaendelezwa. Bi. Kangara alifanya biashara ya kuwa uza Watoto na vijana- Safari yake ilipata mkondo mwingine baada ya polisi kupata fununu kuhusu njama ambazo yeye na Bi. Kangara walikuwa wakiendesha. Mabibi hawa walikuwa na mtandao ambao kazi yake ilikuwa kuwauza Watoto na vijana (uk 84).
Kuna tatizo la mimba za mapema. Vijana wana mazoea ya kukumbatia mtafaruku wa kuhisia unaowapatana mara hujipata wameambulia ujauzito kama alivyofanya Zohali (uk 98).
Baadhi ya wanajamii wanaendeleza uavyaji mimba. Sauna alijaribu awezavyo kuavya mimba na mwishowe, baada ya kushindwa, anaamua kujiua.
Kukiuka maadili ya kikazi. Fumba (mwalimu) anakiuka maadili ya kazina kujihusisha kwa mapenzi na mwanafunzi wake, Rehema, na hatimaye kumpachika ujauzito (uk 102). 
Wazazi wana wabaka wana wao. Babake Sauna anafanya mapenzi na mwanawe kila apatapo nafasi, na mwishowe, Sauna anapata mimba. 
Starehe na anasa kwa vijana. Vijana wa vyuo vikuu wameshindwa kutofautisha usiku na mchana. Tindi anasahau kumrejesha Lemi nyumbani kutokana na muziki (uk 121).
Wazazi wanakwepa malezi na kuwatupa wanao wakiwa wachanga. Neema anampeleka mtoto aliyemwokota kwapolisi (uk 162).
Vijana kuwaiga wazee. Mwangemi na Mwangeka walikuwa na tabia mbovu yakumuiga babu yao (uk 186).
​(10×1= 10)
Mtahiniwa afafanue kwa mifano kutoka katika riwaya
Print Friendly and PDF


Follow AtikaSchool.Org on our Social Channels

This gives you an opportunity to get our latest uodates, changes and firsthand information







0 Comments



Leave a Reply.

    Chozi la Heri
    Chozi la Heri

    ​Uchambuzi wa Chozi la Heri na Assumpta K Matei

    chozi la heri uchambuzi


    CATEGORY

    Categories

    All
    Jalada
    MASWALI NA MAJIBU
    MWONGOZO
    SWALI NA JIBU
    Ufaafu Wa Anwani
    WAHUSIKA

    ARCHIVES

    Archives

    January 2023
    December 2022
    May 2022
    October 2021
    June 2021
    June 2020
    May 2020

    AUTHOR

    M.A NYAMOTI

    B.ed Science [MKU]

    RSS FEEDS

    RSS Feed


    CHOZI LA HERI

    chozi_la_heri__qns__ms_.pdf
    File Size: 1257 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_qns.pdf
    File Size: 391 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_guide.pdf
    File Size: 2089 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_guide_0714497530.pdf
    File Size: 2126 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_guide_latest.pdf
    File Size: 1287 kb
    File Type: pdf
    Download File


    HIGH SCHOOL EXAMINATIONS

    OPEN

    ENGLISH LITERATURE BOOKS & SETBOOKS

    OPEN

    KCSE KISWAHILI SETBOOKS

    OPEN

    Geography Form 1 Notes and Other Resources

    OPEN

    KCSE PAST PAPERS BY SUBJECT 1989 - LAST YEAR

    OPEN

    Geography Form 2 Notes and Other Resources

    OPEN

    KCSE Past Papers, Marking Schemes and Reports

    OPEN

    BIOLOGY FORM 1 NOTES

    OPEN

    ALL SECONDARY RESOURCES (EXAMINATIONS, NOTES, TUTORIALS AND REPORTS)

    OPEN

    PRIMARY SCHOOL RESOURCES 8-4-4

    OPEN

    KCPE Past Papers, Marking Schemes and Reports

    OPEN

    STANDARD 8 CLASSROOM RESOURCES

    OPEN
    1 2


Primary Resources
  • K.C.P.E Past Papers
  • ​Pri - Primary 1 Level
  • Pri  - Primary 2 Level
  • Grade 1
  • Grade 2
  • Grade 3
  • Grade 4
  • Standard 5
  • Standard 6
  • Standard 7
  • Standard 8
  • English
  • Kiswahili
  • Social Studies
  • Science
  • Mathematics
  • Kenya Sign Language
  • I.R.E
  • ​H.R.E
  • Notes
  • Termly Questions
  • Mocks
  • K.C.P.E Past Papers
College Resources
  • E.C.D.E
  • P.T.E
  • D.T.E
  • Technical Diploma
  • Technical Certificate
  • Business Diploma
  • Business Certificate
  • Higher Diploma
  • K.A.S.N.E.B Resources
  • K.M.T.C Resources
  • Varsity Resources
Secondary Resources
  • K.C.S.E Past Papers
  • Form 1
  • Form 2
  • Form 3
  • Form 4
  • Term 1
  • Term 2
  • Term 3
  • English
  • Geography
  • History
  • C.R.E
  • I.R.E
  • ​H.R.E
  • Home Science
  • Computer Studies
  • Business Studies
  • Agriculture
  • Chemistry
  • Biology
  • Physics
  • Mathematics ALT A
  • Mathematics ALT B
  • Kiswahili
  • French
  • Germany
  • Arabic
  • Aviation
  • Art & Design
  • Drawing & Design
  • Building & Construction
  • Metal Works
  • Wood Work
  • Music
  • Kenya Sign Language
  • Electricity
Other Useful Links
  • Academic Environment
  • How its Done
  • News and Opinions
  • Manyam Franchise Support
  • About
  • SITEMAP
  • FOCUS A365 SERIES
  • Membership Details (KCPE/KCSE)
  • Secondary Mocks
  • SYLLABUS
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii
Tel: 0728 450 424
Tel: 0738 619 279
Tel: 0763 450 425
E-mail - sales@manyamfranchise.com
  • Start
    • SITEMAP
    • KNEC Portal
    • ZERAKI HELP AND SUPPORT
    • Academic Environment
    • KNEC KCSE PROJECT INSTRUCTIONS
  • BLOGS
    • About Us? >
      • Learn more about us
    • CUSTOMER CARE >
      • PRICING
      • Help & Support
    • News and Opinions
    • JOBS IN KENYA AND ABROAD FOR KENYANS AND BEYOND
    • How its Done
  • OUR PRODUCTS
    • All Categories >
      • MORE PRODUCTS >
        • SECONDARY CRE NOTES
        • COURSE BOOKS
        • KCSE KISWAHILI SETBOOKS
        • Backed Up Files and Archives
        • FREE DOCUMENTS
        • PRIMARY 8-4-4 BASED RESOURCES
        • STANDARD 8 RESOURCES
        • HIGH SCHOOL RESOURCES >
          • Biology Paper 3 Exams
          • Secondary Examinations
        • PRIMARY CBC BASED RESOURCES
        • COLLEGE & VARSITY RESOURCES
      • PRIMARY RESOURCES CBC
      • PRIMARY RESOURCES 8-4-4
      • SECONDARY RESOURCES
      • NOTES & TUTORIALS
      • COLLEGE RESOURCES
      • NOVELS and OTHER BOOKS
    • EXAMINATIONS >
      • MOCKS AND JOINT EXAMS >
        • FORM 1 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 2 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 3 EXAMINATIONS, QUESTION PAPERS AND ANSWERS
        • FORM 4 MOCKS PAST EXAMS BY REGION
        • TOP SECONDARY EXAMS ALL SUBJECTS
      • KPSEA NATIONAL EXAMS
      • KCPE >
        • KCPE PAST PAPERS AND ANSWERS >
          • KCPE 2020 RESULTS, REPORTS, QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCPE PAST PAPERS 2019 REPORTS, RESULTS, QUESTIONS AND ANSWERS
        • KCPE PAST PAPERS PER SUBJECT
      • KCSE >
        • KCSE PAST PAPERS BY SUBJECT
        • KNEC KCSE PAST PAPERS, MARKING SCHEMES, QUESTIONS & ANSWERS
        • Free KCSE Past Papers Mathematics
        • Free KCSE Biology Questions and Answers
      • QUESTIONS & ANSWERS >
        • SECONDARY >
          • LANGUAGES >
            • Secondary English Questions and Answers
          • TECHNICALS >
            • COMPUTER STUDIES >
              • COMPUTER STUDIES Q & A
              • kcse computer studies paper 2 AND 3 Questions & Answers
            • BUSINESS STUDIES QUESTIONS & ANSWERS
            • KCSE AGRICULTURE TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE HOME SCIENCE DIRECT QUESTIONS AND ANSWERS
          • SCIENCES >
            • KCSE Mathematics Topical Questions
            • KCSE Biology Topical Questions and Answers
            • CHEMISTRY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE Physics Topical Questions
            • KCSE physics Practical Sample Quiz
          • HUMANITIES >
            • C.R.E (CRE) QUESTION AND ANSWERS
            • ISLAMIC RELIGIOUS EDUCATION (IRE) QUESTIONS AND ANSWERS
            • KCSE History Topical Questions and Answers
            • GEOGRAPHY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
        • PRIMARY >
          • Standard 4-8 Mathematics Topical Questions from Mocks and KCPE
          • Std 6 Mathematics Notes
    • TUTORIALS >
      • SECONDARY >
        • SCIENCES >
          • FOCUS MATHEMATICS TUTORIALS AND EXAMS FREE
          • KCSE BIOLOGY NOTES
          • FREE KCSE CHEMISTRY NOTES
          • KCSE PHYSICS NOTES, AUDIOVISUALS AND MORE
        • LANGUAGES >
          • ENGLISH >
            • A GUIDE TO SILENT SONG AND OTHER STORIES
            • English KCSE Set Books
            • ENGLISH POETRY QUESTIONS WITH ANSWERS FOR K.C.S.E CANDIDATES
            • ENGLISH GRAMMAR #KCSE
          • KISWAHILI >
            • Bembea ya Maisha
            • CHOZI LA HERI - MWONGOZO
            • KIGOGO - MWONGOZO
            • MASWALI NA MAJIBU YA TUMBO LISILOSHIBA
            • USHAIRI MASWALI NA MAJIBU
            • KCSE Kiswahili Fasihi
        • TECHNICALS >
          • HOME SCIENCE NOTES
          • KCSE BUSINESS STUDIES NOTES
          • COMPUTER STUDIES NOTES LATEST
          • kcse Computer Studies Notes
          • KCSE AGRICULTURE NOTES, SYLLABUS, QUESTIONS, ANSWERS, SCHEMES OF WORK AND OTHERS
        • HUMANITIES >
          • KCSE History Notes Form 1 to 4
          • FREE KCSE CRE NOTES
          • KCSE GEOGRAPHY NOTES
          • IRE NOTES, AUDIOVISUAL, QUESTIONS AND ANSWERS
      • PRIMARY >
        • STANDARD 4: SOCIAL STUDIES
        • NOTES >
          • KISWAHILI
          • SOCIAL STUDIES
        • EXAMINATIONS
        • DecaTurbo Online Series Examinations
        • KCPE Mathematics Notes
        • KCPE and Primary Level Compositions
      • Other Supportive Documents >
        • SYLLABUS >
          • Primary 8-4-4 based Syllabus, Objectives and Lessons
          • Primary Mathematics Syllabus
        • MASOMO VIDEOS
    • CURRICULUM >
      • NEW CURRICULUM DESIGNS >
        • PRIMARY >
          • PRE PRIMARY ONE CURRICULUM WITH SYLLABUS
          • PRE PRIMARY TWO CURRICULUM WITH SYLLABUS
        • SECONDARY >
          • KNEC KCSE SYLLABUS AND COURSE OUTLINES
        • COLLEGE >
          • Regulations for the TIVET Craft and Diploma Business Examinations
    • HIGH INSTITUTIONS >
      • EXAMINATIONS >
        • College and Varsity Past Papers online
      • TUTORIALS >
        • COLLEGE AND UNIVERSITY NOTES AND TUTORIALS
  • MEMBERS RESOURCES
    • Primary >
      • CBC AND 8-4-4 LATEST EXAMS
      • CBC PROFFESSIONAL TOOLS
      • CBC NOTES PRIMARY
      • CBC KPSEA EXAMS
      • Standard 8 (std) English Topical Questions
      • KCPE MATHEMATICS TOPICAL QUESTIONS FROM 1989 TO LAST YEAR
      • STANDARD 8 PAST PAPERS 8-4-4 BASED
    • Secondary >
      • FORM 1 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 2 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 3 EXAMS WITH ANSWERS
      • FORM 4 EXAMS WITH ANSWERS
      • KCSE 2020 QUESTIONS AND ANSWERS
      • NOTES SECONDARY
      • MOCKS SECONDARY >
        • kcse form 2 mathematics questions
    • Free Schemes of Work
    • FOCUS A365 SERIES K.C.P.E EXAMINATIONS FOR PRIMARY
    • ALL GROUPS PRODUCTS
    • PREMIUM PRODUCTS 2