“La muhimu ni mtu kujifocus tu. Mimi najua japo …..baada ya kupona magonjwa nitaendelea na masomo yangu.”a) Liweke dondoo hili katika muktadha wake. (alama 4) b) Tambua maudhui mawili yanayojitokeza katika dondoo hili huku ukiyatolea mifano. (alama 4) c) Jina la msemaji ni la kimajazi, eleza. (alama 2) d) Umihimu wa msemaji. (alama 6) e) Tambua tamathali za usemi zinazotokana na dondoo hili. (alama 4) mwongozo“La muhimunimtukujifocustu. Mimi najuajapo …..baada ya kuponamagonjwanitaendelea na masomo yangu.” a) Liwekedondoohilikatikamuktadha wake. (alama 4) Maneno yalisemwa na Tuama, akimwambiaSelume na Meko ,kwenyekituo cha mwanzompya, akijaribukuwaambiakuwakupashwatoharasisiomwisho wa masomo. b) Tambuamaudhuimawiliyanayojitokezakatikadondoohlihukuukiyatoleamifano. (alama 4) c) Jina la msemaji ni la kimajazi, eleza (alama 2) Tuama- kusaliamahalipamojabilakusonga.,anashikiliamila na desturizilizopitwa na wakatikamatohara. d) Umihimuwamsemaji. (alama 6) e) Tambuatamathalizausemizinazotokananadondoohili. (alama 4) Kuchanganyandimi-ni mtukujifocustu Taharuki- hatujuikamaTuamaaliendelea na masomo. Follow AtikaSchool.Org on our Social ChannelsThis gives you an opportunity to get our latest uodates, changes and firsthand information
0 Comments
Leave a Reply. |
Uchambuzi wa Chozi la Heri na Assumpta K MateiCATEGORY
ARCHIVES
AUTHOR
M.A NYAMOTIB.ed Science [MKU] RSS FEEDS
CHOZI LA HERI![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
|