Matatizo mengi yanayowakumba wahusika wengi katika riwaya hii ni mwiba wa kujdunga. Jadili. (al 20)8/1/2023 ​Matatizo mengi yanayowakumba wahusika wengi katika riwaya hii ni mwiba wa kujdunga. Jadili. (al 20)
​Wahusika katika riwaya ya Chozi la Heri wanakumbwa na matatizo mbalimbali. Matatizo hayo ni ya kiuchumi na kijamii.
Vyanzo vya matatizo yenyewe ni tofauti, kuna yale yanasababishwa na wahusika wenyewe ilhali mengine yanaletwa na watu wengine. Tunaweza kusema kuwa matatizo mengine ni mwiba wa kujindunga huku mengine yakiwa ya kudungwa na wengine.
Follow AtikaSchool.Org on our Social ChannelsThis gives you an opportunity to get our latest uodates, changes and firsthand information
0 Comments
Leave a Reply.Don't give up, Keep Searching for more |
Uchambuzi wa Chozi la Heri na Assumpta K MateiCATEGORY
ARCHIVES
AUTHOR
M.A NYAMOTIB.ed Science [MKU] RSS FEEDS
CHOZI LA HERI![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
|