ATIKA SCHOOL
  • Home
    • Atika School Advanced Search
    • News and Opinions
    • Echo
    • Academic Environment
    • How its Done
    • SITEMAP
    • About Us? >
      • About Us
      • Learn more about us
  • TUTORIALS
    • SECONDARY >
      • SCIENCES >
        • FOCUS MATHEMATICS TUTORIALS AND EXAMS FREE
        • KCSE BIOLOGY NOTES
        • FREE KCSE CHEMISTRY NOTES
        • KCSE PHYSICS NOTES, AUDIOVISUALS AND MORE
      • LANGUAGES >
        • ENGLISH >
          • English KCSE Set Books
          • ENGLISH GRAMMAR #KCSE
        • CHOZI LA HERI - MWONGOZO
        • KIGOGO - MWONGOZO
        • KCSE Kiswahili
      • TECHNICALS >
        • KCSE BUSINESS STUDIES NOTES
        • kcse Computer Studies Notes
        • KCSE AGRICULTURE NOTES, SYLLABUS, QUESTIONS, ANSWERS, SCHEMES OF WORK AND OTHERS
      • HUMANITIES >
        • KCSE History Notes Form 1 to 4
        • FREE KCSE CRE NOTES
        • KCSE GEOGRAPHY NOTES
        • IRE NOTES, AUDIOVISUAL, QUESTIONS AND ANSWERS
    • MASOMO VIDEOS
    • PRIMARY >
      • NOTES >
        • KISWAHILI
        • SOCIAL STUDIES >
          • STANDARD 4: SOCIAL STUDIES
        • SCIENCE
        • ENGLISH >
          • KCPE and Primary Level Compositions
        • MATHEMATICS >
          • KCPE Mathematics Notes
      • EXAMINATIONS >
        • DecaTurbo Online Series Examinations
        • TOP INSHA AND COMPOSITION QUESTIONS
        • CBC Kiswahili
        • FOCUS A365 SERIES K.C.P.E EXAMINATIONS FOR PRIMARY
        • Standard 8 (std) English Topical Questions
      • SYLLABUS >
        • Primary 8-4-4 based Syllabus, Objectives and Lessons
        • Primary Mathematics Syllabus
  • CURRICULUM
    • NEW CURRICULUM DESIGNS >
      • PRIMARY >
        • PRE PRIMARY ONE CURRICULUM WITH SYLLABUS
        • PRE PRIMARY TWO CURRICULUM WITH SYLLABUS
      • SECONDARY >
        • KNEC KCSE SYLLABUS AND COURSE OUTLINES
      • COLLEGE >
        • Regulations for the TIVET Craft and Diploma Business Examinations
  • PRODUCTS
    • All Categories
    • FREE DOCUMENTS
    • PRIMARY CBC BASED RESOURCES
    • PRIMARY 8-4-4 BASED RESOURCES >
      • STANDARD 8 RESOURCES
    • COLLEGE & VARSITY RESOURCES
    • HIGH SCHOOL RESOURCES
    • FREE NOVELS >
      • COURSE BOOKS
      • KCSE KISWAHILI SETBOOKS
    • Backed Up Files and Archives
  • EXAMINATIONS
    • PRIMARY EXAMS >
      • Assignments and Random Exams
      • 8-4-4 >
        • STANDARD 8 PAST PAPERS 8-4-4 BASED
      • CBC
    • TOP SCHOOLS EXAMINATIONS LATEST >
      • Assignments and Random Exams
    • KCPE >
      • KCPE PAST PAPERS AND ANSWERS
    • KCSE >
      • KCSE BY SUBJECT >
        • KCSE PAST PAPERS BY SUBJECT
        • Free KCSE Past Papers Mathematics
        • Free KCSE Biology Questions and Answers
      • KCSE BY YEAR >
        • KNEC KCSE PAST PAPERS, MARKING SCHEMES, QUESTIONS & ANSWERS
    • QUESTIONS & ANSWERS >
      • SECONDARY >
        • LANGUAGES >
          • ENGLISH POETRY QUESTIONS WITH ANSWERS FOR K.C.S.E CANDIDATES
        • TECHNICALS >
          • COMPUTER STUDIES >
            • COMPUTER STUDIES Q & A
            • kcse computer studies paper 2 AND 3 Questions & Answers
          • BUSINESS STUDIES QUESTIONS & ANSWERS
          • KCSE AGRICULTURE TOPICAL QUESTIONS
          • KCSE HOME SCIENCE DIRECT QUESTIONS AND ANSWERS
        • SCIENCES >
          • KCSE Mathematics Topical Questions
          • KCSE Biology Topical Questions and Answers
          • CHEMISTRY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCSE Physics Topical Questions
          • KCSE physics Practical Sample Quiz
        • HUMANITIES >
          • ISLAMIC RELIGIOUS EDUCATION (IRE) QUESTIONS AND ANSWERS
          • C.R.E (CRE) QUESTION AND ANSWERS
          • KCSE History Topical Questions and Answers
          • GEOGRAPHY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
      • PRIMARY >
        • Standard 4-8 Mathematics Topical Questions from Mocks and KCPE
        • Std 6 Mathematics Notes
  • HIGH INSTITUTIONS
    • EXAMINATIONS >
      • College and Varsity Past Papers online >
        • College and Varsity Past Papers online
    • TUTORIALS
  • PRICING
  • BLOGS
    • Contact
    • Help & Support
    • MPESA FORM
  • Search Free Documents (PDF)

Mwongozo wa Chozi La Heri na ​Assumpta K Matei

Riwaya (2018-2021)


Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri

10/6/2020

0 Comments

 
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
UNUKUZI KUTOKA BIBLIA.
  • Hii ni mbinu ya kunukuu visa tofauti kutoka kwenye Biblia. Assumpta K.Matlei amejikita sana katika mbinu hii ya kunukuu
  • Biblia, kama tunavyoona kutokana na mifano ifuatayo.
  • Katika ukurasa wa 36; "Aliweza kuudhibiti ugonjwa wa shinikizo la damu ambao ulitokana na mshtuko wa kupoteza jamaa na mali yake dafrao moja. Awali akijihisi kama yule Ayubu kwenye kitabu kitakatifu ambaye ibilisi aliifakamia familia na mali yake takriban kutwa moja"
  • Katika ukurasa wa 46; "Umbali ulio kati yao, japo ni hatua tatu tu, waonekana kama upana wa bahari ya Shamu wakati Waisraeli walipokuwa wakikamia wokovu wao kutokana na dhuluma ya wamisri "
  • Katika ukurasa wa 47; "Walishikana kukutu, kila mmoja akimwambia mwenzake kimoyomoyo, "Ni hai Sijafa "Ikawa ni kama Yesu anamhakikishia "Tomaso asiyeamini","Tazama hii mikono yangu. Nipe mkono wako, utie ubavuni mwangu. Usikose kuamini tena.
  • Katika ukurasa wa 34; "Baada ya kuishi kwenye msitu wa Mamba kwa miezi sita, Ridhaa, Kaizari na familia yake walibahatika kurudi nyumbani kufuatia mradi ulioitwa na wanaharakati wa kupigania haki za kibinadamu Operesheni Rudi Edeni "
0 Comments

Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri

10/6/2020

0 Comments

 
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
KEJELI.
  • Hii ni mbinu ya Sanaa inayotumia maneno kudharau au kukemea kitendo au mtu fulani. Mwandishi pia anatumia mbinu hii kuwasilisha maudhui yake kwenye kazi yake ya kifasihi.
  • Katika ukurasa wa 15; "Kuna wale ambao hufia kwenye vitanda vyao vya mwakisu vitongojini baada ya kupiga haramu. Hawa husemekana kuwa wamekuwa nzi ambao kufia dondani si hasara. Hulaumiwa kwa kujitosa katika msiba wa kujitakia "Hawa watua mabao wanakunywa pombe haramu na kufia kwao nyumbani ambako kumekithiri ukata, wanadharauliwa na kulinganishwa na huyo nzi afaye kwenye donda, kwani wanafanya jambo kwa hiari yao, huku wakijua madhara na matokeo yake ni yepi.
0 Comments

Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri

10/6/2020

0 Comments

 
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
NJOZI AU NDOTO.
  • Mwandishi hutumia njozi au ndoto kutabiri jambo litakalofanyika au kufumbua jambo lililokuwa limefumbwa.
  • Katika ukurasa wa 2; "Anakumbuka akimwambia mkewe Terry, "Milio hii ni kama mbiu ya mgambo, huenda kukawa na jambo "Terry kwa ucheshi wake wa kawaida hakunyamaza "
  • "Ridhaa akamwambia, "wewe endelea kupiga hulu tu, lakini utakuja kuniambia"
  • Ridhaa alikuwa na ndoto ya kuwa kuna jambo mbaya au lisilo la kupendeza ambalo lingeweza kutendeka, na kwa kweli, njozi lake likawa ni la ukkweli wakati lilipo timia.
0 Comments

Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri

10/6/2020

0 Comments

 
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
KISENGERE MBELE.
  • Hii ni mbinu ambayo mwandishi hutumia katika Sanaa yake.
  • Inahusisha mwandishi kubadilisha wakati na kusimulia mambo yatakavyokuwa siku za usoni; au kutumia isiyo moja kwa moja kutabiri yatakayojiri.
  • Mbinu hii pia huitwa utabiri.
  • Katika ukurasa wa 45;"Sasa anapotazama nyuma anaona kuwa ule utabiri wa 'wingu la mabadiliko' wa mwalimu ulikuja
  • Kutumia "Ni kweli mwalimu alikuwa ametabiri kuhusu wingu hili Ia mabadiliko ambalo kwa sasa limetanda (uk 44)
  • Tila: Ambayo mshahara wake ni mkia wa mbuzi.Baba, kile ambacho raiyaa wanahitaji ni mabadiliko ya mara kwa mara ya uongozi na sera zenyewe za uongozi Na naona awamu hii, kama asemavyo mwalimu, wingu la mabadiliko limetanda.
  • Katika ukurasa wa 70;Lunga alikuwa ameona kuwa maisha yake yalikuwa yakielekea kudidimia hata kabla ya kuhamia makao hayo yake mapya ambayo anadai kuwa jaala kampeleka huko "Ametononeka si haba katika msitu huu. Hadiriki kuwaza kwamba msitu huu unastahili kuhifadhiwa kwa matumizi ya baadaye Kabla ya jaala kumleta hapa, lunga aliuona mstakabali wa maisha yake ukiporomoka. Alikuwa ameipoteza kazi yake "
0 Comments

Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri

10/6/2020

1 Comment

 
Mbinu za Sanaa katika riwaya ya chozi la Heri
MAZUNGUMZO.
  • Haya ni majailiano ya jambo Fulani baina ya watu wawili au Zaidi. Kila mtu huzungumza kwa wakati wake, na kumpa mwingine nafasi ya kusikiliza.
  • Uk 38;"Tila:Shikamoo baba.
  • Ridhaa:Marahaba mwanangu. Umeshindaje?
  • Tila:(kwa uchangamfu)vyema. Baba, leo somo letu la fasihi lilivutia mno.
  • Ridhaa:Kwani waliwafunza nini huko?Ama ni zile siasa zenu zisizoisha?Leo mwalimu Meli alitueleza jinsi mifumo ya uzai
  • Tila:ishaji mmali ilivyobadilika, kuanzia wakati wa ujima,ukabila, ubwanyenye, ujamaa hadi sasa tunapopambana na utandawazi. Lakini anasema ujamaa si rahisi kutekelezwa.
  • Ridhaa: (kwa wasiwasi) Kipi kiini hasa cha kufunza mada hii kwa watoto wakembe kama nyinyi?siku zetu sikumbuki kuona mada hii hata katika mtalaa wa kidato cha sita Nadhani umesahau baba. Suala hili ulisema limeshu
  • Tila:ghulikiwa katika kazi za kifasihi kama vile Mashetani,ile tamthilia ya Hussein inayoisawiri migogoro ya kisiasa, kiuchUmi na kijamii ya baada ya ukoloni lsitoshe, mwalimu alitaka tu kuonyesha kwamba upo uhusiano kati ya mfumo wa kiuchu na rmurnv wa Kislasa alituambia kwamba mfumo wa kiuchumi hudhibitiana na mfumo wa kisiasa. Utawala huteuliwa makusUdi kuendeleza mfumo uliopo wa kiuchumi kwa maslaya watawala na tabaka ambalo linazimiliki nyenzo za uzalishaji mmali.(kama aliyeudhika).Naona mmeanza kuingjlia
  • Ridhaa:Nyanja ambazo ni michezo yaw engine na wanafaa kuachiwa wao.Lakini baba, unajua hatuwezi kuyafumbia macho
  • Tila:mabadiliko yanayozikumba jamii zetu kwa mfano,kura ya maoni ya hivi maajuzi yaonyesha kwamba majimbo mengi nchini yanamuunga mkono Bi.Mwekevu Tendakazi. Ameongoza kwa asilimia sitini. Mpinzani wake wa karibu wa kiume ana asilimia thelahini. Mwalimu alisema kuwa wakati umefika kwa jamii kuacha kuacha kupima uwajibikaji wa mtu kwa misingi ya kijinsia. Wote waume kwa wake wapewe nafasi sawa.Si kwamaba napinga hili. Ningekuwa hasidi wa
  • Ridhaa:usawa wa kijinsia nisingewapelekeni nyinyi shuleni.Ningemshughulikia Mwangeka tu ambaye jamii inaamini kuwa nndiye mridhi wa mali yangu.Hata hivyo, naona kwamba ni mapema mno kuanza kulitolea hukumu suala la nani anaongoza. Huku kutakuwa kukata mbeleko kabla ya mtoto kuzaliwa.(akichekacheka)DaliIi ya mvua ni mawingu baba. Mara hii kama wapiga kura tumeamua kujaribu mbinju mpya za kilimo. Haya matumzi ya visagalimma yarneanza kupitwa na wakati.
  • Ridhaa: Tila Kummbuka hapo ulipo hata kura yenyewe hauna Naona wamekutia maneno ya uchokozi. Ngojea kipindi kingine cha uchaguzi kifike,utakuwa na haki ya kuchukua kura na kumpigia mwanamke umtakaye. Kwa sasa itabidi utosheke na chaguo letu
  • Tila: Lakini baba, sijasema tunataka kipongozi mwanamke. Sisi tunataka kiongozi yeyote awe mwanamke au mwamume, atakayeweza kulielekeza jahazi hili letu kwenye visiwa vya hazina. Tufikie kilele cha maendeleo pale tutakapofikia malengo ya nkimaenndeleo ya kimilenia. Kiongozi ambaye ataendeleza Zaidi juhudi za kukabiliana na na wale maadui ambao wewe daima huniambii kuhusu: umaskini, ujinga, magonjw (akisita kumtazama baba) uhaba wa nafasi za kazi na ufuisadi. Je, huu sio uliokuwa muono wa waliopigania uhuru?siyo ambayo viongozi waliochukua hatamu za uongozi kutoka kwa watu weupe waliyofanya juu chini kutekeleza?
  • Ridhaa:Na nani akasema viongozi waliopo hawajajikuna wajipatapo?Huoni hata wahasiriwa wa magonjwa sugu kama vile iri na hata UKIMWI wana dawa za bei nafuu za kuwawezesha kudhibiti hali hizi?Je, serikali haijaanzisha sera ya elimu bila malipo kwa Shule zote za msingi?Haijagharamia karo za Shule za kutwa katika Shule za upili?kumbuka pia na ule mradi wa kuhakikisha kuwa kila mwanafunzi kuanzia darasa la kwanza ana kipakatalishi chake?Ushaona?Hivi karibuni, nchi Inafikia ile vision 2030 hata kabla ya 2030 yenyewe  Je, ni tume ngapi za kuchunguza kashfa za kifisadi ambazo zimeundwa?Hizo si juhudi za kupigana na ufisadi?Serikali imetumia bilioni ngapi katika shughuli ya kuhesabiwa kwa watu mwaka jana?Unajua sababu ya shughuli hiiTvoiongozi wanataka kupata takwimu sahihi Zaidi na za kutegemewa, zitakazowawezesha viongozi kujua mahitaji ya kiuchumi na ya kijamii ya kila jimbo. Huduma zitaweza kutolewa kwa urahisi Zaidi katika kila eneoo la ugatuzi. 
  • Tila: Na umaskini, je, baba?Mara nyingi hukuona umejishika tama ukilalamikia asilimia kubwa ya raia ambao hawamudu hata gharama ya matibabu ya kimsingi si wewe unayesema kwamba vifo vingi vya watoto chini ya miaka mitano husababishwa na magonjwa yanayotokana na ukosefu wa lishe bora, pamoja na wazazi na walezi kutopata elimu kuhusu njia za kujikinga dhidi ya baadhi ya magonjwa?
  • Ridhaa: (kwa msisitizo)Kumbuka kwamba haya malengo ya kimilenia hayajaanza kupigiwa Shabaha sasa. Kilichobadilika ni istilali ya kuyarejelea jawapo ya haki za kibinadamu ambazo wanaharakati mapinduzi walipigania ni matibabu boila malipo kwa wasiojiweza kiuchumi, na elimu ya lazima, na bila malipo kwa watoto wote, kufikia umri wa miaka kumi na mitano. Na nadhani kile ambacho mmwalimu wenu angewasisitizia Zaidi ni kwamba vijana wana jukumu la kuelimishana kuhusu nafasi ya kila mmoja wao katika kuuboresha uongozi uliopo sasa. Watumie vipawa vyao kwa njia endelevu ili kusaidia katika kuzalisha nafasi za kazi badala ya kungojea serikali iwatilie riziki vinywani. Nchi haijjengwi kwa mihemko na papara za ujana. Na suala la umaskini?Naona hili ni tatizo la kijaamii. Mathalan, watu wanaoishi katika sehemu kame wanastahili kujitahidi kuvumbua mbinu za kuyahifahi maji ya mvua. Pia kila eneo la ugatuzi halina budi kuwashajiisha wataalamu wake kujizika katika uafiti ili kuvumbua rasilimali zinazopatiakana katika maeneo haya, hili litawawezesha maeneo yenyewe kuzitumia raslimali kwa njia endelevu. Haya yote yatasaidia kupunguz mng'ato wa uhawinde.
  • Tila: Watayahifadhi vipi maji haya kama mvua yenyewe hainyeshi?Baba, wewe mwenyewe unalalamika kiangazi ambacho kimmezikumba sehemu mbalimbali nchini isitoshe, mwalimu asema kwamba asilimia kubwa ya wakazi wa sehemu kame haiwezi hata kumudu kula mara mbili kwa siku. Hizo hela za kununulia matangi ya kuhifadhia maji na kufanyia utafiti watazitoa wapi?
  • Ridhaa: Basi watumie maji ya mabombalSi lazima wahifadhi ya mvualNa huyo mwalimu naona anapanda mbegu za uhasama kati ya viongozi na vijana. Vijana hawapaswi kungojea kufanyiwa kila kitu. Tumewapa nyavu za kuvulia, nao wanaona wangoje kuletewa samaki
  • Tila: (akionyesha kuvunjika moyo)Baba!Umekuwa kama yule kiongozi wa kifaransa, unayeniambia wewe kila mara, ambaye alipoambiwa kuwa wanyonge hawakuwa na mkate alisema, "if there is no bread, let them eat cake" Watu wengi huko mashambani hutegemea mashamba, mvua haijakubali kunyesha kwa muda. Wengi wa wanaofanya kazi za ajira, hufanya kazi za kijungujiko. Sasa mabomba yatatoka wapi?na hata kama mabomba yenyewe yangekuwepo, juzi nimeskia kwenye runinga kwamba bwawa la Fanisi ambalo ndilo lililotegemewa sana kutoa maji kwenye sehemu kame halitasambaza maji tena kwa sababu kiwango cha maji kimeshuka sana. Mabomba yenyewe yamejikaukia 
  • Ridhaa: Serikali imeanzisha mpango wa kusambaza huduma za maji na umeme katika sehemu za mashambani, hususan zile kame. Wanachohitaji ni subira tu. Na nadhani mwalimu wenu alisahau kuwaambia kuwa katika baadhi ya sehemu mna machimbo ya mawe ya ujenzi, vito, na hazina za mamfuta. Wenyeji wana jukumu la kutumia raslimali hizi kujiendeleza.
  • Tila: Alituambia hayo pia. Lakini kuna tayari kampuni za kibinafsi ambazo zimetumwa huko kuchimbua madini haya. Isitoshe, kampuni zilioshinda zabuni za kuyachimbua madini haya ni za kigeni. Uchimbaji wenyewe unafadhiliwa na wawekezaji wa kigeni.Raiya watafaidika vipi?Fedha zinazotokana na raslimali hii yahofiwa kuwa zitaishia kwenye mifuko ya wageni. Zinatumwa kuendeleza nchi za hao hao wawekezaji wanaodaiwa kuwa wawekezaji.
  • Ridhaa: Ni kweli lakini kumbuka kuwa kampuni hizi zimebuni nafasi za kazi. Wenyeji wamepata ajira
  • Tila: Ambayo mshahara wake ni mkia wa mbuzi. Baba, kile ambacho raiyaa wanahitaji ni mabadiliko ya mara kwa mara ya uongozi na sera zenyewe za uongozilNa naona awamu hii, kama asemavyo mwalimu, wingu la mabadiliko limetanda.
1 Comment
<<Previous
    chozi la heri uchambuzi


    CATEGORY

    Categories

    All
    MWONGOZO
    SWALI NA JIBU
    WAHUSIKA

    ARCHIVES

    Archives

    June 2020
    May 2020

    AUTHOR

    M.A NYAMOTI

    B.ed Science [MKU]

    RSS FEEDS

    RSS Feed


    CHOZI LA HERI

    chozi_la_heri__qns__ms_.pdf
    File Size: 1257 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_qns.pdf
    File Size: 391 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_guide.pdf
    File Size: 2089 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_guide_0714497530.pdf
    File Size: 2126 kb
    File Type: pdf
    Download File

    chozi_la_heri_guide_latest.pdf
    File Size: 1287 kb
    File Type: pdf
    Download File


    HIGH SCHOOL RESOURCES

    OPEN

    ENGLISH LITERATURE BOOKS & SETBOOKS

    OPEN

    KCSE KISWAHILI SETBOOKS

    OPEN

    Geography Form 1 Notes and Other Resources

    OPEN

    KCSE PAST PAPERS BY SUBJECT

    OPEN

    Geography Form 2 Notes and Other Resources

    OPEN

    KCSE Past Papers, Marking Schemes and Reports

    OPEN

    BIOLOGY FORM 1 NOTES

    OPEN

    SECONDARY EXAMINATIONS

    OPEN

    PRIMARY SCHOOL RESOURCES 8-4-4

    OPEN

    KCPE Past Papers, Marking Schemes and Reports

    OPEN

    STANDARD 8 CLASSROOM RESOURCES

    OPEN
    1 2
atika school app
Download our Android App

Primary Resources
  • K.C.P.E Past Papers
  • ​Pri - Primary 1 Level
  • Pri  - Primary 2 Level
  • Grade 1
  • Grade 2
  • Grade 3
  • Grade 4
  • Standard 5
  • Standard 6
  • Standard 7
  • Standard 8
  • English
  • Kiswahili
  • Social Studies
  • Science
  • Mathematics
  • Kenya Sign Language
  • I.R.E
  • ​H.R.E
  • Notes
  • Termly Questions
  • Mocks
  • K.C.P.E Past Papers
College Resources
  • E.C.D.E
  • P.T.E
  • D.T.E
  • Technical Diploma
  • Technical Certificate
  • Business Diploma
  • Business Certificate
  • Higher Diploma
  • K.A.S.N.E.B Resources
  • K.M.T.C Resources
  • Varsity Resources
Secondary Resources
  • K.C.S.E Past Papers
  • Form 1
  • Form 2
  • Form 3
  • Form 4
  • Term 1
  • Term 2
  • Term 3
  • English
  • Geography
  • History
  • C.R.E
  • I.R.E
  • ​H.R.E
  • Home Science
  • Computer Studies
  • Business Studies
  • Agriculture
  • Chemistry
  • Biology
  • Physics
  • Mathematics ALT A
  • Mathematics ALT B
  • Kiswahili
  • French
  • Germany
  • Arabic
  • Aviation
  • Art & Design
  • Drawing & Design
  • Building & Construction
  • Metal Works
  • Wood Work
  • Music
  • Kenya Sign Language
  • Electricity
Other Useful Links
  • Academic Environment
  • How its Done
  • News and Opinions
  • Manyam Franchise Support
  • About
  • SITEMAP
  • FOCUS A365 SERIES
  • Membership Details (KCPE/KCSE)
  • Secondary Mocks
  • SYLLABUS
Contact Us

    Send Us a Message

    Max file size: 20MB
Submit
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii
Tel: 0728 450 424
Tel: 0738 619 279
Tel: 0763 450 425
E-mail - sales@manyamfranchise.com
Photo used under Creative Commons from Ben Mortimer Photography
  • Home
    • Atika School Advanced Search
    • News and Opinions
    • Echo
    • Academic Environment
    • How its Done
    • SITEMAP
    • About Us? >
      • About Us
      • Learn more about us
  • TUTORIALS
    • SECONDARY >
      • SCIENCES >
        • FOCUS MATHEMATICS TUTORIALS AND EXAMS FREE
        • KCSE BIOLOGY NOTES
        • FREE KCSE CHEMISTRY NOTES
        • KCSE PHYSICS NOTES, AUDIOVISUALS AND MORE
      • LANGUAGES >
        • ENGLISH >
          • English KCSE Set Books
          • ENGLISH GRAMMAR #KCSE
        • CHOZI LA HERI - MWONGOZO
        • KIGOGO - MWONGOZO
        • KCSE Kiswahili
      • TECHNICALS >
        • KCSE BUSINESS STUDIES NOTES
        • kcse Computer Studies Notes
        • KCSE AGRICULTURE NOTES, SYLLABUS, QUESTIONS, ANSWERS, SCHEMES OF WORK AND OTHERS
      • HUMANITIES >
        • KCSE History Notes Form 1 to 4
        • FREE KCSE CRE NOTES
        • KCSE GEOGRAPHY NOTES
        • IRE NOTES, AUDIOVISUAL, QUESTIONS AND ANSWERS
    • MASOMO VIDEOS
    • PRIMARY >
      • NOTES >
        • KISWAHILI
        • SOCIAL STUDIES >
          • STANDARD 4: SOCIAL STUDIES
        • SCIENCE
        • ENGLISH >
          • KCPE and Primary Level Compositions
        • MATHEMATICS >
          • KCPE Mathematics Notes
      • EXAMINATIONS >
        • DecaTurbo Online Series Examinations
        • TOP INSHA AND COMPOSITION QUESTIONS
        • CBC Kiswahili
        • FOCUS A365 SERIES K.C.P.E EXAMINATIONS FOR PRIMARY
        • Standard 8 (std) English Topical Questions
      • SYLLABUS >
        • Primary 8-4-4 based Syllabus, Objectives and Lessons
        • Primary Mathematics Syllabus
  • CURRICULUM
    • NEW CURRICULUM DESIGNS >
      • PRIMARY >
        • PRE PRIMARY ONE CURRICULUM WITH SYLLABUS
        • PRE PRIMARY TWO CURRICULUM WITH SYLLABUS
      • SECONDARY >
        • KNEC KCSE SYLLABUS AND COURSE OUTLINES
      • COLLEGE >
        • Regulations for the TIVET Craft and Diploma Business Examinations
  • PRODUCTS
    • All Categories
    • FREE DOCUMENTS
    • PRIMARY CBC BASED RESOURCES
    • PRIMARY 8-4-4 BASED RESOURCES >
      • STANDARD 8 RESOURCES
    • COLLEGE & VARSITY RESOURCES
    • HIGH SCHOOL RESOURCES
    • FREE NOVELS >
      • COURSE BOOKS
      • KCSE KISWAHILI SETBOOKS
    • Backed Up Files and Archives
  • EXAMINATIONS
    • PRIMARY EXAMS >
      • Assignments and Random Exams
      • 8-4-4 >
        • STANDARD 8 PAST PAPERS 8-4-4 BASED
      • CBC
    • TOP SCHOOLS EXAMINATIONS LATEST >
      • Assignments and Random Exams
    • KCPE >
      • KCPE PAST PAPERS AND ANSWERS
    • KCSE >
      • KCSE BY SUBJECT >
        • KCSE PAST PAPERS BY SUBJECT
        • Free KCSE Past Papers Mathematics
        • Free KCSE Biology Questions and Answers
      • KCSE BY YEAR >
        • KNEC KCSE PAST PAPERS, MARKING SCHEMES, QUESTIONS & ANSWERS
    • QUESTIONS & ANSWERS >
      • SECONDARY >
        • LANGUAGES >
          • ENGLISH POETRY QUESTIONS WITH ANSWERS FOR K.C.S.E CANDIDATES
        • TECHNICALS >
          • COMPUTER STUDIES >
            • COMPUTER STUDIES Q & A
            • kcse computer studies paper 2 AND 3 Questions & Answers
          • BUSINESS STUDIES QUESTIONS & ANSWERS
          • KCSE AGRICULTURE TOPICAL QUESTIONS
          • KCSE HOME SCIENCE DIRECT QUESTIONS AND ANSWERS
        • SCIENCES >
          • KCSE Mathematics Topical Questions
          • KCSE Biology Topical Questions and Answers
          • CHEMISTRY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCSE Physics Topical Questions
          • KCSE physics Practical Sample Quiz
        • HUMANITIES >
          • ISLAMIC RELIGIOUS EDUCATION (IRE) QUESTIONS AND ANSWERS
          • C.R.E (CRE) QUESTION AND ANSWERS
          • KCSE History Topical Questions and Answers
          • GEOGRAPHY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
      • PRIMARY >
        • Standard 4-8 Mathematics Topical Questions from Mocks and KCPE
        • Std 6 Mathematics Notes
  • HIGH INSTITUTIONS
    • EXAMINATIONS >
      • College and Varsity Past Papers online >
        • College and Varsity Past Papers online
    • TUTORIALS
  • PRICING
  • BLOGS
    • Contact
    • Help & Support
    • MPESA FORM
  • Search Free Documents (PDF)