“La muhimu ni mtu kujifocus tu. Mimi najua japo …..baada ya kupona magonjwa nitaendelea na masomo yangu.”a) Liweke dondoo hili katika muktadha wake. (alama 4) b) Tambua maudhui mawili yanayojitokeza katika dondoo hili huku ukiyatolea mifano. (alama 4) c) Jina la msemaji ni la kimajazi, eleza. (alama 2) d) Umihimu wa msemaji. (alama 6) e) Tambua tamathali za usemi zinazotokana na dondoo hili. (alama 4) mwongozo“La muhimunimtukujifocustu. Mimi najuajapo …..baada ya kuponamagonjwanitaendelea na masomo yangu.” a) Liwekedondoohilikatikamuktadha wake. (alama 4) Maneno yalisemwa na Tuama, akimwambiaSelume na Meko ,kwenyekituo cha mwanzompya, akijaribukuwaambiakuwakupashwatoharasisiomwisho wa masomo. b) Tambuamaudhuimawiliyanayojitokezakatikadondoohlihukuukiyatoleamifano. (alama 4) c) Jina la msemaji ni la kimajazi, eleza (alama 2) Tuama- kusaliamahalipamojabilakusonga.,anashikiliamila na desturizilizopitwa na wakatikamatohara. d) Umihimuwamsemaji. (alama 6) e) Tambuatamathalizausemizinazotokananadondoohili. (alama 4) Kuchanganyandimi-ni mtukujifocustu Taharuki- hatujuikamaTuamaaliendelea na masomo.
0 Comments
Leave a Reply. |
Uchambuzi wa Chozi la Heri na Assumpta K MateiCATEGORY
ARCHIVES
AUTHOR
M.A NYAMOTIB.ed Science [MKU] RSS FEEDS
CHOZI LA HERI
|
Can't find what you are looking for? Don't worry, Use the Search Box Below.
Primary Resources
College Resources
|
Secondary Resources
|
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii Tel: 0728 450 424 Tel: 0738 619 279 E-mail - sales@manyamfranchise.com |