Fafanua jalada la tamthilia kigogo
0 Comments
"Wananchi katika mataifa ya Afrika hukumbwa na matatizo ya viongozi wanafiki."Thibitisha kauli hii kwa kutolea mifano kutoka tamthilia ya kigogo.Mwandishi wa kigogo amewajenga wanawake kwa njia hasi na chanya.Jadili kauli hii kwa kutolea mifano kutoka tamthiliaJadili ufaafu wa anwani"kigogo"katika tamthilia ya kigogo.Jadili jinsi maudhui ya uzalendo yamejitokeza katika tamthilia ya Kigogo"Maandamano na migomo ni tatizo sugu katika mataifa yanayoendeleaa."Kwakurejelea tamthilia ya kigogo,eleza chanzo na athari za maandamano na migomo.Eleza jinsi mbinu ya taharuki ilivyotumika kufanikisha maudhui katika tamthilia ya kigogo.13/6/2020 Eleza jinsi mbinu ya taharuki ilivyotumika kufanikisha maudhui katika tamthilia ya kigogo.Eleza kwa kutolea mifano mitano mitano jinsi mwandishi alivyofaulu kutumia mbinu za:
“Do! Do! Simameni! Simameni leo kutanyesha mawe!“
Jadili migogoro inayojitokeza katika tamthilia ya kigogo,kisha utathmini namna ilivyosuluhishwa13/6/2020 Jadili migogoro inayojitokeza katika tamthilia ya kigogo,kisha utathmini namna ilivyosuluhishwa“Dalili ya mvua ni mawingu,lazima tuwe macho”.
“Mguu huu ni wako”
Tamthilia ya ‘Kigogo’ ni kioo cha uhalisia wamaisha ya jamii nyingi za kiafrika.Thibitisha.13/6/2020 Tamthilia ya ‘Kigogo’ ni kioo cha uhalisia wamaisha ya jamii nyingi za kiafrika.Thibitisha.“Oooh bebi,miaka yaenda mbio sana,nayo sura yako inachujuka……”
Eleza mbinu alizotumia majoka kuendeleza uongozi wake.“Kitabu si jalada,fungua ndani usome mambo.Kitanda usichokilalia kunguni wake huwajui.”
Tamthilia ya Kigogo ni taswira kamili ya matatizo yanayokumba mataifa mengi barani Afrika.Fafanua ukirejelea Tamthilianzima."Si haki.Unayazika matumaini yetu.Unaifukua kesho yetu.Unatupoka utu naheshima yetu."
“Ulitaka wahamie wapi siku kama hizi?Wamekuja kuuguza majeraha yao yakufungiwa soko.”
Utawala mbaya ni tatizo sugu linalozikumba nchi nyingi za kiafrika.Jadili,kwakurejelea matukio ishirini katika tamthilia ya Kigogo“Shika hamsini zako wewe...Hatutaki kufanya nira na mtu...”
Eleza jinsi mwandishi alivyotumia mbinu ya majazi.“Ukitaka kukula asali kaa na nyuki!”
Kenga Ngurumo Mamapima Kwa kirejelea tamthilia ya kigogo,jadili mbinu-ishi tunazojifunza kutokana na kijana Tunu.13/6/2020 Kwa kirejelea tamthilia ya kigogo,jadili mbinu-ishi tunazojifunza kutokana na kijana Tunu.“………..Acha porojo zako.Kigogoo hachezewii watafuta maangamimi!”
|
author
M.A NYAMOTIB.ed Science archives
Archivescategory
rss feeds
|
Can't find what you are looking for? Don't worry, Use the Search Box Below.
Primary Resources
College Resources
|
Secondary Resources
|
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii Tel: 0728 450 424 Tel: 0738 619 279 E-mail - sales@manyamfranchise.com |