TAMTHILIA YA KIGOGOUliona nini kwa huyo zebe wako ? Eti mapenzi!
a. Eleza muktadha wa dondoo. (al. 4)
b. Andika mbinu za lugha zinazojitokeza kwenye dondoo hili (al. 4) c. Taja hulka za mnenaji unajitokeza katika dondoo. (al. 2) d. Mwanamke ni kiumbe wa kukandamizwa. Thibitisha kauli hii ukirekjelea tamthilia. (al. 10) wa kurejelea tamthlia ya 'Kigogo ya Pauline Kea, onyesha jinsi ambavyo viongozi wengi katika nchi za kiafrika wamejawa na tamaa
Maneno ya Majoka
Mbinu – Swali la balagha – uliona nini kwa huyo zebe wako?
Hulka za Majoka
Ukandamizaji wa mwanamke
Tamaa ya kupata sanamu/ Majoka anataka Sudi amtengenezee sana
0 Comments
|
author
M.A NYAMOTIB.ed Science archives
Archivescategory
rss feeds
|
Can't find what you are looking for? Don't worry, Use the Search Box Below.
Primary Resources
College Resources
|
Secondary Resources
|
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii Tel: 0728 450 424 Tel: 0738 619 279 E-mail - sales@manyamfranchise.com |