Anwani ya tamthilia ya kigogo
ANWANI YA TAMTHILIA.
1 Comment
Jalada la tamthilia ya kigogo
JALADA LA TAMTHILIA.
Kuna sura ya mwanamme ambaye ameketi akiwa na rungu mkononi.Huyu ni Majoka ambaye ni kiongozi Sagamoyo na rungu mkononi mwake inaashiria uongozi. Mwanamme huyo anatazama jabali lenye rangi nyeusi ambalo si laini. Jabali ni Sagamoyo na kutokuwa laini ni ishara kuwa Sagamoyo kuna shida,wanasagamoyo wana matakwa mengi. Weusi wa jabali ni uongozi mbaya unaoendelezwa Sagamoyo na viongozi. Juu ya jabali hilo kuna mwanga, ishara kuwa kuma matunaini ambayo yanatarajiwa Sagamoyo, wanamapinduzi wanapigania haki ili kujenga jamii mpya. Ufaafu wa Jalada Tamthilia kigogo
Juu pana picha ya kikundi cha watu waliokongamana .Hili linaashiria wana Sagamoyo wanaodamana ili kufunguliwa soko la chapakazi wanaongozwa na Tunu na Sudi.Pana mwangamaza juu ya wale watu walioandamana kuashiria kuwa ,harakati zao za kupigania Uhuru wa Sagamoyo zinafua dafu. Maelezo yaliyoandikwa katika sehemu ya nyuma ya Jalanda yameandikwa kwa rangi ya majano kuashiria kuwa pana tumaini kubwa la watu wa eneo la sagamoyo Ukirejelea jalanda la tamthilia kigogo jadili maudhui katika tamthilia kigogo Dhamira ya mwandishi wa Tamthilia Kigogo
Mwandishi Pauline Kea ameangazia maudhui mbalimbali katika tamthilia yake kigogo. Dhahadhi ya maudhui haya ni pamoja na: Maudhui ya uongozi mbaya
|
author
M.A NYAMOTIB.ed Science archives
Archivescategory
rss feeds
|
Can't find what you are looking for? Don't worry, Use the Search Box Below.
Primary Resources
College Resources
|
Secondary Resources
|
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii Tel: 0728 450 424 Tel: 0738 619 279 E-mail - sales@manyamfranchise.com |