“Huku ni Sagamoyo, naomba kukukumbusha kuwa serikali na katiba ni mambo mawili tofauti kabisa!”14/12/2022 “Huku ni Sagamoyo, naomba kukukumbusha kuwa serikali na katiba ni mambo mawili tofauti kabisa!”a) Eleza Mukutadha wa mambo haya. (alama 4)i. Msemaji: Ngurumo ii. Msemewa: Tunu iii. Mahali: Mangweni (kwa mamapima/Asiaya) iv. Kiini: Sudi na Tunu walipotaka kujua sababu ya Mamapima kudai kuwa ana kibali cha kuuza pombe haramu. (4x1=4) b) Msemaji ana umuhimu gani katika serikali inayotajwa. (alama 6)i. Ngurumo ni kielelezo cha namna vijana walevi wanavyotumiwa na viongozi kuendeleza maovu katika jamii. Alitumiwa kumshambulia Tunu na kumuumiza. ii. Anadhihirisha namna vijana wanavyotekwa akili kwa njia rahisi kwa malipo kichele (fedha kidogo) iii. Viongozi wenye ubinafsi wanajali maslahi yao tu na kutumia vijana ambao ni nguvukazi ya taifa vibaya. iv. Anaonyesha kuwa watawala waovu hawawezi kuendeleza utawala wa mabavu bila kutumiaraia wengine. v. Kifo cha Ngurumo kinadhihirisha ukatili wa Majoka ambaye hakuonyesha chembe cha huruma alipojulishwa juu ya kifo cha Ngurumo. vi. Anadhihirisha athari mbaya za ulevi zinavyoambatana na tabia zingine mbaya za upyaro na uzinzi. (6x1=6) c) Fafanua kasoro zozote kumi za serikali inayorejelewa. (alama 10)
Follow AtikaSchool.Org on our Social ChannelsThis gives you an opportunity to get our latest uodates, changes and firsthand information
0 Comments
Leave a Reply.Don't give up, Keep Searching for more |
author
M.A NYAMOTIB.ed Science archives
Archivescategory
rss feeds
|