MAME BAKARI “UNA NINI ? UMESHTUKA MWANANGU !UNAOGOPA?UNAOGOPA NINI?”MASWALI
(a) Weka dondoo hili katika muktadha wake. (al.4)
(b) Tambua mbinu mbili za lugha zilizotumika katika dondoo. (al.2) (c) Eleza sifa za mrejelewa. (al.6) (d) Eleza umuhimu wa msemaji. (al.4) (e) Tambua maudhui yanayojitokeza katika kifungu hiki. (al.1) (f) Fafanua maudhui katika swali la (e)kwa kurejelea hadithi nzima. (al.3) MAJIBU
a)
i) Msemaji ni Babake sara. ii) Akimwambia sara. iii) Walikuwa hospitali katika chumba cha daktari. iv) Alikuwa ameenda kufanyiwa vya ujauzito na Belewa, alipowakuta wazaziwe ivv) wakisubiri katika chumba hicho. (4x1=4) b) Mbinu za lugha . i) swali la balagha unanini? ii) takriri unaogopa. Zozote (2x1=2) c) Mrejelewa sara.
d) BABAKE SARA.
− Kupitia kwake tunapata athari ya ukali kupita kiasi wa wazazi kwa wanao. − Nikielelezo cha wazazi ambao wako tayari kubadili msimamo wao mkali kwa watoto wao. − Anaonyesha umuhimu wa wazazi kushirikiana katika maelezi. − Anaonyesha umuhimu wa kuweka siri katika masuala tata ya familia. − Ni kielelezo cha wazazi wanaouenzi utamaduni wa jamii yake. (4x1=4) e) Malezi /mapenzi a) Malezi – babake sora anakuwa mkali kwa sora. Babake sora anabadilika na kumwonyesha mapenzi, anamsaidia. Mapenzi – kuna mapenzi ya dhati kati ya sara na salina. Salina anamsaidia sara anapokuwa mjamzito. Salina aidha anamsaidia sara kuweka siri ya ujamzito na kufanyiwa vipimo na mipango ya kujifungua. ( 3x1=3.
0 Comments
“Mnaruka tu hewani kama ndege mkitumia uchawi wenu…
|
AuthorATIKA SCHOOL TEAM ArchivesCategories
All
|
Primary Resources
College Resources
Can't find what you want? Use this Search box. |
Secondary Resources
|
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii Tel: 0728 450 424 Tel: 0738 619 279 E-mail - sales@manyamfranchise.com |