Ukiukaji haki na uvunjaji sheria ni mambo ya liyokithiri katika jimbo la Sagamoyo.Thibitisha.13/6/2020 Ukiukaji haki na uvunjaji sheria ni mambo ya liyokithiri katika jimbo la Sagamoyo.Thibitisha.
1 Comment
“Mimi ni mtuwa vitendo,si wa vishindo.”
"Haja zako ni haja zangu,shida zako ni shida zangu,kiu yangu ni kiu yako."
b. Jazanda c. Majazi Uongozi mbaya ni tatizo sugu linalokumba mataifa mengi ya Afrika.Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kurejelea tamthilia ya kigogo.Ami?Tangu lini ukawa ami yangu?
Eleza jinsi mbinu zifuatazo zilivyotumika katika Tamthliahii.
Ona sasa! Mnaniharibia biashara. Nimewapa dakika moja muione nyumba hii paa.Nikiwapatahapa, mtajua kwa nini wananiita………
Kwa kurejelea mifano mbali mbali thibitisha dai kuwamwandishi huyu amemlika uhalisia wa jamii ya Kenya“Tuacheni kufumbatia maji kama jiwe.Sagamoyo inahitaji mabadiliko, damu nyepesi ili kuufungua ukurasa mpya”
Utawala wa sagamoyo unatumia mbinu nyingi kubakia mamlakani.Fafanua zozote kumi Mwanamke ni nguzo imara katika ujenzi wa jamii. Eleza kauli hii ukirejelea tamthilia ya kigogo"Msiba wakujidunga hauna kilio.” Thibitisha kauli hii kwa kurejelea ya Kigogo“Unayazika matumizi yetu.Unaifukia kesho yetu.”
Ni bayana kwamba viongozi wengi katika nchi zinazoendelea wamejawa na tamaa na ubinafsi.Thibitisha kauli hii ukirejelea tamthilia ya kigogo.Uliona nini kwa huyo zebe wako?Bi.mapenzi!
"Mataifa mengi ya Afrika yamekumbwa na tatizo la uongozi mbaya."Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kurejelea tamthilia ya kigogo.‟Wamenimaliza…...Wamenigeuka…″.
Utawala wa majoka katika jimbo la sagamoyo umejaa sumu ya nyoka’’.Jadili usemi huu....Hivi vishahada vyao wanavyovipata siku hizi vinawavimbisha kichwa! Mtu anaitwa daktari na hata kazi ya maana hana....
Maswali ya dondoo.
"...mmemulikwa mbali."
Maswali ya insha.
Mbinu za lugha na sanaa za uandishi katika tamthilia ya Kigogo
TASHBIHI.
Mbinu za lugha na sanaa za uandishi katika tamthilia ya Kigogo
TAKIRIRI.
Mbinu za lugha na sanaa za uandishi katika tamthilia ya Kigogo
NIDAA.
Mbinu za lugha na sanaa za uandishi katika tamthilia ya Kigogo
KUCHANGANYA NDIMI.
Mbinu za lugha na sanaa za uandishi katika tamthilia ya Kigogo
MASWALI BALAGHA.
|
author
M.A NYAMOTIB.ed Science archives
Archivescategory
rss feeds
|
Can't find what you are looking for? Don't worry, Use the Search Box Below.
Primary Resources
College Resources
|
Secondary Resources
|
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii Tel: 0728 450 424 Tel: 0738 619 279 E-mail - sales@manyamfranchise.com |