Matakwa ya Wanasagamoyo
MATAKWA YA WANASAGAMOYO.
0 Comments
Mbinu anazotumia Majoka kuongoza Sagamoyo
MBINU ANAZOTUMIA MAJOKA KUONGOZA SAGAMOYO
Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo
UCHAFUZI WA MAZINGIRA.
Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo
TAMAA.
Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo
UNYANYASAJI
Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo
UTABAKA.
Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo
USALITI.
Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo
UFISADI.
Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo
VIFO/MAUAJI.
Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo
ULEVI NA ATHARI ZAKE.
Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo
ASASI YA NDOA
NDOA KATI NYA ASHUA NA SUDI.
Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo
MATUMIZI MABAYA YA VYOMBO VYA DORA.
Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo
MIGOMO/MAANDAMANO.
Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo
NAFASI YA MWANAMKE.
Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo
UZALENDO.
Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo
UONGOZI MBAYA.
Dhamira ya Mwandishi katika tamthilia ya kigogo
DHAMIRA YA MWANDISHI.
Mwandishi anadhamiria kuonyesha uongozi mbaya na athari zake hasa katika mataifa yanayoendea.Viongozi hutumia mbinu mbalimbali kuongoza zinazowanyanyasa wananchi huku wakijinufaisha wenyewe bila kujali. Kuonyesha kuwa ili kijenga jamii mpya, mapinduzi ni muhimu na ni sharti wananchi wajitolee kwa uzalendo ili kupigania haki zao na usawa na kupinga viongozi wasiofaa. Mwandishi anaonyesha kuwa licha ya changamoto zinazomkumba mwanamke katika jamii, mwanamke ana nafasi muhimu katika uongozi na kuleta maendeleo katika jamii. Anwani ya tamthilia ya kigogo
ANWANI YA TAMTHILIA.
Jalada la tamthilia ya kigogo
JALADA LA TAMTHILIA.
Kuna sura ya mwanamme ambaye ameketi akiwa na rungu mkononi.Huyu ni Majoka ambaye ni kiongozi Sagamoyo na rungu mkononi mwake inaashiria uongozi. Mwanamme huyo anatazama jabali lenye rangi nyeusi ambalo si laini. Jabali ni Sagamoyo na kutokuwa laini ni ishara kuwa Sagamoyo kuna shida,wanasagamoyo wana matakwa mengi. Weusi wa jabali ni uongozi mbaya unaoendelezwa Sagamoyo na viongozi. Juu ya jabali hilo kuna mwanga, ishara kuwa kuma matunaini ambayo yanatarajiwa Sagamoyo, wanamapinduzi wanapigania haki ili kujenga jamii mpya. Mwongozo wa Kigogo;Onyesho la Saba
​TENDO LA KWANZA.
Mwongozo wa Kigogo;Onyesho la Sita
TENDO LA KWANZA.
Mwongozo wa Kigogo;Onyesho la tano
TENDO LA KWANZA.
Mwongozo wa Kigogo;Onyesho la Nne
TENDO LA KWANZA.
Mwongozo wa Kigogo;Onyesho la Tatu
TENDO LA KWANZA.
Ni ofisini mwa mzee Majoka, wana mazungumzo ya faragha na mshauri wake Kenga. Njama yao ya kumtia Ashua ndani inatimia kisha wanamtarajia Sudi, achonge kinyago cha shujaa ndiposa Ashua aachiliwe. Kenga anamwonyesha Majoka picha za waandamanaji gazetini.Kuna habari kuwa Tunu aliongoza maandamano kisha kuwahutubia wanahabari kuwa:
Maoni ya wengi gazetini ni kuwa,Tunu apigigwe kura za kuongoza Sagamoyo.Kenga anamshauri Majoka kutangaza kuwa maandamano hayo ni haramu kisha Polisi watumie nguvu, Majoka anapinga wazo hilo kwa kuwa; maandamano yatatia doa sherehe za uhuru, Tunu atazidi kupata umaarufu. Tunu ana mpango wa kuleta wachunguzi kutoka nje kuangalia ajali ya Jabali.Majoka anasema wazuie uchunguzi huo naye Kenga anakiri kuwa itawagharimu kwa kuwa watatumia mbinu tofauti. Majoka anaamua kuwashughulikia Tunu na Sudi. Kuhusu mishahara ya wauguzi na waalimu, wanaafikiana waongezwe kwa asilimia kodogo kisha kodi ipandishwe. Wazo kuu
Mwongozo wa Kigogo;Onyesho la pili
TENDO LA KWANZA.
|
author
M.A NYAMOTIB.ed Science archives
Archivescategory
rss feeds
|
Can't find what you are looking for? Don't worry, Use the Search Box Below.
Primary Resources
College Resources
|
Secondary Resources
|
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii Tel: 0728 450 424 Tel: 0738 619 279 E-mail - sales@manyamfranchise.com |