"Leo waonaje tukiwajaribu mababe wetu? Ni vizuri kuanza mapema kabla ya jua la utosini”
1 Comment
Kweli mimi nhlikuwa sikio la mbuzi ambalo nyanya alizoea kusema husikia chunguni
Wote wawili walitazamana, kila mmoja akiapa moyoni kuwa amewahi kumwona kiumbe huyu mahali.7/6/2020 Wote wawili walitazamana, kila mmoja akiapa moyoni kuwa amewahi kumwona kiumbe huyu mahali.
“Nashukuru kwa kunielekeza kwa wazazi wetu hawa”
"Umu hawa ni marafiki, wangu wa chanda na pete. Ni watu wakarimu na wenye imani”
"Huyu ana imani”
"Mlaani shetani”
“Atanguliaje kisimani hunywa maji maenge”
“Njoo nikujuze kwa yule binamu vuuk ambaye hukwambia habari yake kila mara”
Yote haya yamewezekana kutokana na mwongozo mlionipa nyinyi.Zaidi, utulivu nilioupata nilipoambulia familia hii ulinipa msukumo kila mara nilipokabiliwa na ndaro
"Ndugu zako wako hai na bila shaka mtakutana”
“Tulipata ombi lenu kuhusiana na suala la kumpanga mojawapo wa watoto wetu”
“Karibuni naona mmetuletea kilaika”
“Usiwe na mawazo finyu na hasi kuhusu kumpanga mtoto”
“Wenye hadhi na mali wanahitaji wafanyikazi wa kuwaendelezea biashara zao”
“Yako ya arubaini imefika”
“Hatuwezi kumkabidhi mzee wetu huyu kifaranga kitekite hivi, tutakuwa tunampagaza uzazi"
“Je ni yule aliyeletwa jana usiku wa kuamkia jana”
“Huyu hapa ameletwa na wasamaria wema leo asubuhi”
“Basi Doc, nakubaliana na rai yako”
“Di, usijali. Mimi nitawakimu kwa viganja hivi vyangu. Hamtapungukiwa na lolote”
“Huenda nikapata mbinu ya kujinasua baadaye”
“Usiku umekuwa mpevu, twende tusije tukamtia mama kiwewe"
“Hii ni baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mungu amenifidia yule mwanangu aliyekufa”
Utamaushi; ni ile hali ya kukata tamaa kwa jambo fulani maishani. Wahusika mbalimbali waliweza kukata tamaa kwa njia moja au nyingine;
|
Uchambuzi wa Chozi la Heri na Assumpta K MateiCATEGORY
ARCHIVES
AUTHOR
M.A NYAMOTIB.ed Science [MKU] RSS FEEDS
CHOZI LA HERI
|
Can't find what you are looking for? Don't worry, Use the Search Box Below.
Primary Resources
College Resources
|
Secondary Resources
|
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii Tel: 0728 450 424 Tel: 0738 619 279 E-mail - sales@manyamfranchise.com |