Huku ukirejelea hadithi zifuatazo, eleza namna unyanyasaji umeshughulikiwa.(i) Tumbo lisiloshiba
Tumbo lisiloshiba
(ii) Shibe inatumaliza
Shibe inatumaliza
(iii) Mame Bakari
Mama Bakari
(iv) Kidege
Kidege
(v) Tulipokutana tena
Tulipokutana tena
0 Comments
“Hatuwezi kumaliza kula, kila leo tunakula”(a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (al 4)
Mnenaji ni Mbura.
Mnenewa ni Sasa Wakiwa nyumbani kwa mzee Mambo Walikuwa wamehudhuria sherehe kwa Mambo bila ualishi katika siku ya kusherehekea siku ya kuingia darasa la chekechea kwa mtoto wa Mzee Mambo na mwingine kutoa vijino viwili. Wanafika shereheni kula, hata hivyo wanakula kilafi mpaka Mbura anaanza kujilaumu pamoja na mwenzake Sasa kwamba wanakula vyovyote wavipatavyo bila kuvichunguza na hata kuvila vya wenzao waliowatuangulia na watakaozaliwa. (b) Fafanua tamathali ya usemi iliyotumika (al 2)
Istiari/Jazanda – Wanakula lakini hawawezi kumaliza kula – wanakula kila leo
na bado wanaendelea kula – kuendelea kunyakua mali ya uma kutaja = 1 kufafanua = 1 (C) Eleza umuhimu wa mnenaji. (al 4)
Umuhimu wa Mbura
(d) “Lakini nakwambia, kula kunatumaliza”. Kwa kudokeza hoja kumi, jadili ukweli wa kauli hii. (al 10)
“lakini nakwambia tena, kula kunatumaliza”.
āHili lilimtiaā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦..uchungu, akajiona kama aliyedhalilishwa na mwanamke.ā11/1/2023 MASWALI
(a) yaweke maneno haya katika muktadha wake. (al 4)
(b) Taja suala linalodokezwa katika dondoo hili. (al.1) (c) kwa kutumia hoja kumi na tano, eleza namna suala ulilolitaja hapo juu(b) llinavyojitokeza katika Riwaya. (al.15) MAJIBU
(a) Maelezo ya mwandishi
(b) Ubabedume/Taasubi ya kiume.
(c)
Matatizo mengi yanayowakumba wahusika wengi katika riwaya hii ni mwiba wa kujdunga. Jadili. (al 20)8/1/2023 Matatizo mengi yanayowakumba wahusika wengi katika riwaya hii ni mwiba wa kujdunga. Jadili. (al 20)
Wahusika katika riwaya ya Chozi la Heri wanakumbwa na matatizo mbalimbali. Matatizo hayo ni ya kiuchumi na kijamii.
Vyanzo vya matatizo yenyewe ni tofauti, kuna yale yanasababishwa na wahusika wenyewe ilhali mengine yanaletwa na watu wengine. Tunaweza kusema kuwa matatizo mengine ni mwiba wa kujindunga huku mengine yakiwa ya kudungwa na wengine.
Jadili nafasi ya sehemu zifuatazo katika riwaya ya Chozi la Heri:(a) Hotuba (alama 10)
(a) Hotuba (alama 10)
Hotuba ni maelezo maalumu yanayotolewa na mtu mmoja mbele ya watu. Pia huitwa hutuba. Mwandishi wa riwaya hii ametumia hutuba kwa ustadi mkuu kupitisha ujumbe mbalimbali. Hotuba hizi ni:
1. Hotuba ya Racheal Apondi kwa maafisa waliohudhuria warsha kuhusu jukumu la vikosivya askari katika kudumisha usalama, amani na maridhiano nchini (uk 112- 113). Katika hotuba hii, Racheal Apondi anasisitiza kuwa:
Suala la usalama haliwezi tena kupuuzwa. Usalama umekuwa moja wapoyamahitajiyakibinadamu. Anasema kuwa bila usalama, binadamu hawezi hata kushiriki katika shughuli za kuzalisha mali, hivyo hata mahitaji yake mengine ya kimsingi kama vile chakula, malazi na makazi haya wezi kukidhiwa. Kila binadamu ana jukumu la kudumisha amani na usalama. Wafanyakazi wa umma, hasa polisi na wanajeshi wana jukumu kubwa zaidi la kudumisha usalama na amani. Kila mmoja wetu anastahili kuhakikisha kuwa ameepuka vitendo vya kihalifu. Ni vyema mtu kuwaangaza wahalifu wakati wote. Vikosi vya polisi na wanajeshi vimefunzwa maarifa ya kukabiliana na kadhia za Jinai na upelelezi. (4×1= 4)
2. Hotuba ya Lunga Kiriri- Kangata kwa walimu na wanafunzi gwarideni (uk 68-69). Hotuba hiii lisisitiza umuhimu wa kuhifadhi mazingira. Anasisitiza kuwa:
Suala la uhifadhi wa mazingira ni jukumu la kila mmoja wetu. Misitu ilikuwa imevamiwa na viongozi wenye mate yafisi. Baadhi ya vinara wa taasisi mbalimbali za umma wamewaacha Wanyama kama mayatima kwa kuwap okama kazi yao. Maelfu ya maekari ya misitu yamefyekwa na kujengwa viwanda. Badala ya mibamba kofi na miti mingine inayosafisha hewa, micha iimetwaa nafasi yake. Wanaohusika na matendo haya wanapoulizwa hudai kuwa michaisia duiya mazingira! Wengine wanasema kuwa misitu haina budi kukatwa ili kupanda mimea inayotoa chakula, kwani jamii lazima ijitosheleze kwa chakula. La kuhuzunisha ni kwamba hawa hawa wanaosema hivyo ndio wanaokita majengo ya kifahari katika sehemu ambazo zinastahili kutengewa upanzi wa chakula! Wengine wamediriki kunyakua hata madhabahu kwenye Mlima wa Nasibu ili kujenga hoteli kubwa za kitalii. Wazee wetu hata hawana mahali pa kuchomea kafara! Tuna kata miti bila kupanda smingine. Hata mabustani ya maua tunashindwa kuyastawisha. Tukiendelea kuharibu mazingira sehemu yetu itazidi kuwa jangwa. (2×1= 2)
3. Hotuba ya Umu katika hoteli ya Majaliwa siku ya key akuzaliwa.
Umu ana washuku Mwangeka na Apondi kwa kuwa wazazi wake wema. Ana washukuru kwa kumsomesha. Anawashukuru kwa kumsaidia Dick kujiendeleza kimasomo. Mwangeka na Apondi wanamshukuru Umu kwa kuwapa furaha. Apondi anamshukuru kwa kumlea mdogo wao kwa maadili bora. (2×1= 2)
4. Hotuba ya Dick katika hoteli ya Majaliwa siku ya kuzaliwakwaUmu.
Dick anamshukuru Umu kwa msaada wake na ahadi ya kumlea. Anamkumbusha siku walipokutana katika uwanja wa ndege na ilivyokuwa muhimu kwake. Anamshukuru Umu kwa kumwelekeza kwa wazazi wao wale. Anawashukuru Apondi, Mwangeka na wanawe kwa ushauri wanaompa. (2×1= 2) Mtahiniwa ataje hotuba kisha aeleze masuala muhimu yanayoibuliwa na kila moja. (b) Uozo katika jamii (alama 10)
(b) Uozo katika jamii (alama 10)
Uozo ni hali ya kuzorota na kutozingatiwa tena kwa maadili mema katika jamii. Ni hali ambapo mila zote na desturi njema huvurugwa na wanajamii wanaofanya mambo yaliyo kinyume na hali hali si yamaisha. Mwandishi amejadili suala hili kwa undani kama ifuatavyo; Jamii inaendeleza ubakaji. Genge la mabarobaro watano lilifululiza hadi walipokuwa maskini Lime naMwanaheri na kuwabaka mbele ya baba yao (uk 25). Kuna ulanguzi wa dawa za kulevya. Dick alipotoroshwana Sauna alipelekwa kwa Tajiri mmoja aliyemwingiza katika kusafirisha dawa za kulevya kutoka nchi moja hadi nyingine (uk 119- 120). Wanajamii wanaendeleza uporaji na wizi wa mali. Vijana wana wavamia watu, kuwaua na kupora katika maduka ya kihindi, kiarabu naya wa afrika wenzao. Jamiii naendeleza ufuska/ ukahaba. Sauna aliiba Watoto na kuwapeleka kwa mama mmoja aliyewatumia kwa biashara yanipe ni kupe (uk 84).
Biashara haramu inaendelezwa. Bi. Kangara alifanya biashara ya kuwa uza Watoto na vijana- Safari yake ilipata mkondo mwingine baada ya polisi kupata fununu kuhusu njama ambazo yeye na Bi. Kangara walikuwa wakiendesha. Mabibi hawa walikuwa na mtandao ambao kazi yake ilikuwa kuwauza Watoto na vijana (uk 84).
Kuna tatizo la mimba za mapema. Vijana wana mazoea ya kukumbatia mtafaruku wa kuhisia unaowapatana mara hujipata wameambulia ujauzito kama alivyofanya Zohali (uk 98). Baadhi ya wanajamii wanaendeleza uavyaji mimba. Sauna alijaribu awezavyo kuavya mimba na mwishowe, baada ya kushindwa, anaamua kujiua. Kukiuka maadili ya kikazi. Fumba (mwalimu) anakiuka maadili ya kazina kujihusisha kwa mapenzi na mwanafunzi wake, Rehema, na hatimaye kumpachika ujauzito (uk 102). Wazazi wana wabaka wana wao. Babake Sauna anafanya mapenzi na mwanawe kila apatapo nafasi, na mwishowe, Sauna anapata mimba. Starehe na anasa kwa vijana. Vijana wa vyuo vikuu wameshindwa kutofautisha usiku na mchana. Tindi anasahau kumrejesha Lemi nyumbani kutokana na muziki (uk 121). Wazazi wanakwepa malezi na kuwatupa wanao wakiwa wachanga. Neema anampeleka mtoto aliyemwokota kwapolisi (uk 162). Vijana kuwaiga wazee. Mwangemi na Mwangeka walikuwa na tabia mbovu yakumuiga babu yao (uk 186).
(10×1= 10)
Mtahiniwa afafanue kwa mifano kutoka katika riwaya “Nyamaza wewe! Nyinnyi ndio mnaoturudisha nyuma miaka yote hii!”(a) Eleza muktadha wa dondoo (alama 4)(b) Kwa kurejelea hoja saba, eleza jinsi msemaji alivyorudishwa nyuma (alama 7)( c) Eleza umuhimu wa msemaji katika riwaya (alama 6)(d) Eleza toni ya dondoo hili (alama2)(e) Toa sifa moja ya msemaji katika dondoo hili. (alama1)“uuuui! Uuuui! Jamani tusaidieni! Uuuui! Uuuui! Mzee kedi usituue, sisi tu majirani! Maskini wangu!”a)Elezea muktadha w dondoo hili.(Al 4)
a)Elezea muktadha w dondoo hili.(Al 4)
Ni kumbukumbu ya Ridhaa akikumbuka kilio cha mkewe terry Ridhaa akiwa nje ya jumba lake liliochomeka, na hiki ni kilio cha mkewe wakati walipoangamia kwa mkasa wa moto huo. b) Fafanua tamathali ya usemi huu(Al 2)
b) Fafanua tamathali ya usemi huu(Al 2)
tanakali ya sauti – uuuuwi! Uuuuwi! c) taja mambo yaliyofanyikia Ridhaa awali ya kuashiria mikasa. (Al 4)
c) taja mambo yaliyofanyikia Ridhaa awali ya kuashiria mikasa.(Al 4)
b) Kwa kurejelea riwaya ya chozi la heri jadili dhiki za wakimbizi.(Al 10)
Kwa kurejelea riwaya ya chozi la heri jadili dhiki za wakimbizi
Eleza ufaafu wa anwani ya chozi la heri (Al 20)Eleza ufaafu wa anwani ya chozi la heri Chozi ni majimaji yanayotoka kwenye jicho la mtu kutokana na maumivu au furaha. Heri ni hali ya kuwa salama au nafuu au afadhali. Kwa hivyo, chozi la heri ni chozi la nafuu. Maana ya kijanda/kiistari ni maisha ya mhusika kubadilika kutoka hali mbaya hadi hali nzuri. Kwa mfano:
“Vipi, binadamu anavyoweza kuyazoa maji yaliyomwagika?”a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4)
b) Tambua mbinu ya lugha iliyotumika (alama 2)
Swali balagha - vipi, binadamu anavyoweza kuyazoa maji yaliyomwagika ? alama 2
c) Jadili sifa tatu za msemaji. (alama 3)
d) Hakiki jinsi binadamu alivyomwagikiwa na maji katika riwaya (alama 11)
Mwandishi amejadili kwa kina maudhui ya mapuuza. Thibitisha . (alama 20)Mwandishi amejadili kwa kina maudhui ya mapuuza. Thibitisha . (alama 20)
MAISHA YANGU YALIJAA SHUBIRI TANGU UTOTONI.I. ELEZA MUKTADHA WA MANENO HAYA. (ALAMA 4)
II. FAFANUA MBINU MBILI ZA LUGHA ZILIZOTUMIKA KATIKA DONDOO HILI. (ALAMA 4)
iii. Jadili jinsi mwandishi amesawiri suala la ukatili. (alama 12)
Riwaya ya Chozi la Heri imejaa aina mbalimbali za migogoro. Jadili. (alama 10)Riwaya ya Chozi la Heri imejaa aina mbalimbali za migogoro. Jadili. (alama 10)
Jadili dhana ya Chozi katika riwaya ya Chozi laHeri. (alama 10)a) Jadili dhana ya Chozi katika riwaya ya Chozi laHeri. (alama 10)
‘TAWALA WAHAFIDHINA TAWALA, MWANZI WETU TAWALA…. ‘A) ELEZA MUKTADHA WA DONDOO HILI . (ALAMA 4)
a) Eleza muktadha wa dondoo hili . (alama 4)
B) NI MBINU GANI IMETUMIKA HAPA. (ALAMA 2)
b) Ni mbinu gani imetumika hapa. (alama 2)
c) Eleza makosa saba ya maneno haya. (alama 14)
Ukabila ni tatizo sugu katika nchi nyingi za Kiafrika. Tetea kauli hii ukilejelea Chozi la Heri ( al. 20)
“ Kwa kweli ni hali ngumu hii”
mwongozo
Weka dondoo katika muktadha wake. (al.4)
Ni hali gani inayorejelewa kwenye dondoo. (al.6)
Nimeondoka. Acha nitambe na ulimwengu, huenda nikaambulia cha kukusaidia kuikimu familia. Nasikitika kwa uchungu nitakaokusababishia wewe na wanaoa) Eleza muktadha wa maneno haya. (alama 4)
b) Kwa kutolea mifano miwili, taja tamathali ya lugha iliyotumika. (alama 3)
Nahau
c) Jadili machungu yaliyompata binti yake msemaji. (alama 7)
d) Eleza umuhimu wa kituo cha Benefactor. (alama 6)
“Baba, umewahi kumwona mtoto wa miaka hamsini ambaye hajasota…………”a) Eleza muktadha wa dondo hili. (alama 4)
(i) Msemaji – Tila
(ii) Msemewa – Ridhaa (anapowaza baada ya nyumba kuchomeka). (iii) Mahali – mawazoni Ridhaa (iv) Ridhaa anapotazamana na majivu ya familia yake ndipo anakumbuka mazungumzo kati yake na mwanawe Tila (Hoja 4 x 2 = 8) b) Taja mbinu iliyotumika (alama 2)
Jazanda – mtoto wa miaka hamsini ambaye hajasota kumaanisha kukwama kimaendeleo (mafanikio baada ya uhuru) ( 1 x 2 = 2)
c) Fafanua sifa za mzungumzaji. (alama 4)
Sifa za Tila
i) Ni msomi – anaelewa maswala ya sheria kwa kina ii) Ni mzalendo – anasema wanahitaji kiongozi ambaye atapeleka jahazi kwenye visiwa vya hazina. iii) Amepevuka – anajua nguvu za vijana ni kama nanga. iv) Amezinduka – anajua kwamba bado wahafidhina hawajapata uhuru. Zozote 4 x 1 = 4 d) Jamii ya msemewa imekumbwa migogoro chungu nzima. Thibitisha. (alama 10)
Anwani “Chozi la Heri” ni kinaya .Thibitisha (alama 10)a) Anwani “Chozi la Heri” ni kinaya .Thibitisha (alama 10)
b) dondoamaudhuikutoka kwa wimbo wake Shamsi.
“La muhimu ni mtu kujifocus tu. Mimi najua japo …..baada ya kupona magonjwa nitaendelea na masomo yangu.”a) Liweke dondoo hili katika muktadha wake. (alama 4) b) Tambua maudhui mawili yanayojitokeza katika dondoo hili huku ukiyatolea mifano. (alama 4) c) Jina la msemaji ni la kimajazi, eleza. (alama 2) d) Umihimu wa msemaji. (alama 6) e) Tambua tamathali za usemi zinazotokana na dondoo hili. (alama 4) mwongozo“La muhimunimtukujifocustu. Mimi najuajapo …..baada ya kuponamagonjwanitaendelea na masomo yangu.”
a) Liwekedondoohilikatikamuktadha wake. (alama 4) Maneno yalisemwa na Tuama, akimwambiaSelume na Meko ,kwenyekituo cha mwanzompya, akijaribukuwaambiakuwakupashwatoharasisiomwisho wa masomo. b) Tambuamaudhuimawiliyanayojitokezakatikadondoohlihukuukiyatoleamifano. (alama 4) c) Jina la msemaji ni la kimajazi, eleza (alama 2) Tuama- kusaliamahalipamojabilakusonga.,anashikiliamila na desturizilizopitwa na wakatikamatohara. d) Umihimuwamsemaji. (alama 6) e) Tambuatamathalizausemizinazotokananadondoohili. (alama 4) Kuchanganyandimi-ni mtukujifocustu Taharuki- hatujuikamaTuamaaliendelea na masomo. Nimeondoka. Acha nitambe na ulimwengu, huenda nikaambulia cha kukusaidia kuikimu familia. Nasikitika kwa uchungu nitakaokusababishia wewe na wanaoa) Eleza muktadha wa maneno haya. (alama 4)
b) Kwa kutolea mifano miwili, taja tamathali ya lugha iliyotumika. (alama 3)
Nahau
c) Jadili machungu yaliyompata binti yake msemaji. (alama 7)
d) Eleza umuhimu wa kituo cha Benefactor. (alama 6)
UFAAFU WA ANWANI
Anwani ya Riwaya hii ni Chozi la Heri. Kwa mujibu wa kamusi ya karne ya 21 , CHOZI ni tone la maji au uowevu linalotoka machoni ambalo aghalabu hutokea mtu anapolia, kufurahi au moshi unapoingia machoni. Nalo jina HERI lina maana tatu:
Maneno haya yanapotumika pamoja tunapata maana iliyo na undani zaidi kuliko jina likitumika peke yake. Kwa hivyo, chozi la heri ni chozi ambalo linatoka wakati mhusika fulani amepata amani, utulivu na usalama. Chozi kwisha kupata baraka na mafanikio. Maana nyingine ni kuwa chozi hili linaonekana ni chozi (la) afadhali bora nafuu. Kwa kujikita katika maana mbalimbali yanayojitokeza wakati maneno hayo mawili yamewekwa pamoja, matukio yafuatayo yanaafiki ufaafu wa CHOZI LA HERI. i.Mwandishi anatuleza kuwa Ridhaa alipokwenda shuleni siku ya kwanza alitengwa na wenzake kwani hawakutaka ashiriki michezo yao. Kijana mmoja mchokozi alimwita 'mfuata mvua' aliyekuja kuwashinda katika mitihani yote. Ridhaa alifululiza nyumbani na kujitupa mchangani na kulia kwa kite na shake. Mamake alimliwaza na kumhakikishia kumwona mwalimu keshoye. Tangu siku hii, huu ukawa ndio mwanzo wa maisha ya heri kwa Ridhaa kwani baada ya mwalimu kuzungumza na wanafunzi umuhimu wa kuishi pamoja kwa mshikamano, Ridhaa alipea kwenye anga ya elimu hadi kufikia kilele cha cha elimu na kuhitimu kama daktari.ii.Ridhaa alipotoka kwenye Msitu wa Mamba alijiona nafuu kwani wapwa zake- Lime na Mwanaheri walikuwa wamepata matibabu. Dadake Subira alitibiwa akapona. Mwamu wake Kaizari amepona donda lililosababishwa na kuwatazama mabinti zake wakitendewa ukaini(kubakwa) na Vijana wenzao. Ridhaa anajua kuwa Kaizari ni afadhali kwa sababu hakuna aliyemtenga na mmoja kati ya jamaa zake. Ridhaa anapomfikiria Kaizari anajiambia heri nusu Shari kuliko Shari kamili.iii.Ridhaa aliposikia sauti ya kike ikitangaza, tangazo lile lilimrudiSha katika mandhari yake ya sasa. Alijaribu kuangaza macho yake aone anakoenda lakini macho yalijaa uzito wa machozi ambayo alikuwa ameyaacha yamchome na kutiririka yatakavyo.iv.Wakati Ridhaa alimkazia macho Mwangeka-waka Mwangeka alikuwa akijiuliza iwapo babake amekuwa mweh kwa kukosa kushirikiana na majirani kuchimba kaburi kuyazika majivu- matone mazito ya machozi yalitunga machoni mwake Mwangeka. Akayaacha yamdondoke na kumcharaz, yatakavyo. Uvuguvugu uliotokana na mwanguko wa macho: haya uliulainisha moyo wake, ukampa amani kidogo. Moyo wake ukajaa utulivu sasa kwa kujua kuwa wino wa Mungu haufutiki.v.Wakati Ridhaa alikuwa akimsimulia Mwangeka misiba iliyomwandama tangu siku alipoondoka kwenda kuweka amani Mashariki ya Kati, Ridhaa alisita akajipagusa kijasho kilichokuwa kimetunga kipajini mwake kisha akatoa kitambaa mfukoni na kuyafuta machozi yaliyokuwa yameanza kumpofusha. Uk 48vi.Mwangeka alipokuwa ameketi mkabala na kidimbwi cha kuogelea, mawazo yake yalikuwa kule mbali alikoanzia Akawa anakumbuka changamoto za ukauji wake. Akawa kumbuka wanuna wake. Alipomkumbuka Annatila(Tila) mwili ulimzizima kidogo akatabasamu kisha tone moto la chozi: likamdondoka.
vii.Katika Msitu wa Simba kulikuwa na maelfu watu waliogura makwao. Kati ya familia zilizoguria humu ni familia ya Bwana Kangata. Kwa Kangata na mkewe Ndarine, hapa palikuwa afadhali kwani hawakuwa na pa kwenda kwa kuwa hata kule walikokuwa wakiishi awali hakukuwa kwao. Uk 57viii.Wakati Dick walikutana kisadfa na Umu katika uwanja wa ndege, walikumbatiana kwa furaha. Machozi yaliwadondoka wote wawili na wakawa wanalia kimyakimya. Walijua fika kuwa jaala ilikuwa imewakutanisha na kwamba hawatawahi kutengana tena. Maisha sasa yalianza kuwa ya heri kwao.ix.Baada ya miaka kumi ya kuuza dawa za kulevya, Dick alifaulu hatimaye kujinasua kutoka kwa kucha za mwajiri wake. Alianza biashara yake mwenyewe ya kuuza vifaa wa umeme. Sasa akaanza kujitegemea kwa kuwa amejiajiri. Alikuwa ameufungua ukurasa mpya katika maisha yake. Maisha yake sasa ni ya heri.x.Wakati Neema na Mwangemi walikabidhiwa mtoto wao wa kupanga na Mtawa Annastacia, Mwaliko alimkumbatia Neema na kumwita mama na kumwahidi kuwa ataenda naye. Neema alidondokwa na chozi la furaha na kumkumbatia Mwaliko kwa mapenzi ya mama mzazi. Hili lilikuwa ni chozi la heri kwa Neema.xi.Dick alimweleza Umu kuwa siku waliokutana katika uwanja wa ndege na wakasafiri pamoja, hiyo ndiyo ilikuwa siku ya heri Zaidi kwake. Nasaha alizopewa na Umu zilimfunza thamani ya maisha. Kisadfa, huu ndio wakati Dick alikuwa ameamua kubadilisha maisha na kuishi maisha mapya yasiyokuwa ya kuvunja sheria.xii.Dick aliposimulia namna wazazi wake wapya pamoja na Umu walivyomfaa maishani, kila mmoja katika familia hii alilia. Bila shaka yalikuwa machozi ya herixiii.Baada ya Mwaliko kujitambulisha kwa Umu na Dick, umu na Dick hawakungojea amalize. Walikimbia wote wakamkumbatia ndugu yao, wakaanza kulia huku wakiliwazana. Haya yalikuwa machozi ya furaha kwao kwa kupatana tena wote wakiwa hai. Kwa kweli kila mmoja alitokwa na chozi la heri.xiv.Mwaliko alimwambia babake kuwa kuja katika hoteli ya Majaliwa kuliwaletea heri kwa kuwa familia yao sasa imepanuka. Sasa amekutana na watu aliokuwa tu anasikia wakitajwa. Maisha sasa ni afadhali.xv.Dick alitoa shukrani tele kwa Umu kwa kuwa alimpa matumaini kuwa siku moja watampata ndugu yao Mwaliko. Mwaliko hata anapomtazama Umu, macho yake yakiwa yamefunikwa na vidimbwi vya machozi, anajua kuwa familia yao imerudiana japo katika mazingira tofauti.xvi.
Siku ambayo Mwangeka alimwoa Apondi ilikuwa siku ya heri kwake kwani alimwaga chozi la heri. Tunaelezwa kuwa, Ridhaa alijua kuwa wakati ndio mwamuzi, ipo siku atakapotokeza hurulaini wakeMwangeka. Ataifungua kufuli kubwa iliyoufunga moyo wake na hiyo itakuwa siku ya kumwaga chozi la heri. MWONGOZO_WA_CHOZI_LA_HERIJALADAJalada la Riwaya ya Chozi la Heri ni tokeo la usanii wake , Robert Kambo. Katika upande wa mbele sehemu ya juu, mna rangi ya kijani kibichi iliyokolea.Maana ya rangi hii ni uhai na rutuba. Riwayani yamo maeneo yaliyo na rutuba yanayotoa mazao mengi. Katika eneo la Msitu wa Heri alikoishi Ridhaa kwa miongo mitano, mwanzoni kulikuwa kama jangwa la Kalahari lakini Ridhaa alihakikisha kuwa kijiji hiki kimepata maji ya mabomba hadi eneo zima likatwaa rangi ya chanikiwiti. Miti mingi kama Miambakofi, mivule na miti mingine kapandwa. Maeneo mengine yaliyokuwa na rutuba ni kama Msitu wa Mamba. Watu waliogura makwao walipohamia hapa walikata miti na kupanda vyakula kama mahindi ambayo yalifanya vizuri mno.
Ndani ya rangi hii mna anwani ya kazi iliyoandikwa kwa rangi nyeupe. Kawaida rangi hii huashiria amani. Licha ya mambo kuwaendea vibaya wahusika wengi riwayani, hatimaye mna amani ya kudumu. Jina lake mwandishi liko maeneo yayo hayo na limeandikwa kwa rangi ya manjano. Rangi hii huashira ukomavu. Mwandishi wa riwaya hii ni mwenye tajriba pana. Amekomaa katika uandishi wa kazi za fasihi. Masuala anayoyaangazia ni yale yanayoiathiri jamii yake. Ametumia mtindo unaoashiria upeo wa ukomavu wake. Upande wa chini wa jalada la riwaya hii mna mchoro wa jicho. Jicho hili linadondokwa na chozi. Ndani ya chozi mna watu watatu(mmoja wa kike na wawili wa kiume). Inahalisi kuwa watu hawa watatu ni Umu, Dick na Mwaliko. Walifurahl mno walipokutana wote katika hoteli ya Majaliwa. Riwayani, Umu na Dick walikimbia wote kwa pamoja na wakamkumbatia ndugu yao Mwaliko na huku wakaanza kulia na kutokwa na machozi ya farajaheri. Ukabila ni tatizo sugu katika nchi nyingi za Kiafrika. Tetea kauli hii ukilejelea Chozi la Heri ( al. 20)
|
Uchambuzi wa Chozi la Heri na Assumpta K MateiCATEGORY
ARCHIVES
AUTHOR
M.A NYAMOTIB.ed Science [MKU] RSS FEEDS
CHOZI LA HERI![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
|