Fafanua maudhui ya nafasi ya vijana katika jamii
Wana(jinsia zote) Ni wasomi vijana kama Tila, Umu na Mwaliko walikuwa wenye bidii masomoni. Walanguzi wa dawa za kulevya Dick alikuwa akilangua za kulevya kwa muda wa miaka kumi. Wenye Umu na Dick walikuwa na bidii katika masomo yao. Wajinga vijana wengine wa kike walikubali kukeketwa. Wengine waliiaga dunia na wengine kulazwa zahanatini. Waraibu wa dawa za kulevya- Dick anasema kuwa alikuwa akitumia dowa hizi ili kujirahisishia kazi yoke ya kulangua. Wapenda fujo vijana ndio waliotumiwa na wanasiasa kuute-1 F keleza uovu wa mauaji na kuyaharibu mali ya wenzao. Katili kuna vijana waliowabaka mabinti zake Kaizari na kumuumiza mke wake. Wasio na huruma vijana wengine walikuwa wakiwaua wenzao bila huruma. Wasio na msimamo dhabiti- vijana wengine wakipotoshwa na wanasiasa bila kuwaza na kuwazua.
5 Comments
Kira
30/8/2023 00:20:42
Eleza maudhui ya nafasi vijana Katika jamii kulingana na toba ya kalia Katika Mapambazuko ya machweo na hadithi nyingine
Reply
Leave a Reply. |
Uchambuzi wa Chozi la Heri na Assumpta K MateiCATEGORY
ARCHIVES
AUTHOR
M.A NYAMOTIB.ed Science [MKU] RSS FEEDS
CHOZI LA HERI
|
Can't find what you are looking for? Don't worry, Use the Search Box Below.
Primary Resources
College Resources
|
Secondary Resources
|
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii Tel: 0728 450 424 Tel: 0738 619 279 E-mail - sales@manyamfranchise.com |