“uuuui! Uuuui! Jamani tusaidieni! Uuuui! Uuuui! Mzee kedi usituue, sisi tu majirani! Maskini wangu!”25/12/2022 “uuuui! Uuuui! Jamani tusaidieni! Uuuui! Uuuui! Mzee kedi usituue, sisi tu majirani! Maskini wangu!”a)Elezea muktadha w dondoo hili.(Al 4)
a)Elezea muktadha w dondoo hili.(Al 4)
Ni kumbukumbu ya Ridhaa akikumbuka kilio cha mkewe terry Ridhaa akiwa nje ya jumba lake liliochomeka, na hiki ni kilio cha mkewe wakati walipoangamia kwa mkasa wa moto huo. b) Fafanua tamathali ya usemi huu(Al 2)
b) Fafanua tamathali ya usemi huu(Al 2)
tanakali ya sauti – uuuuwi! Uuuuwi! c) taja mambo yaliyofanyikia Ridhaa awali ya kuashiria mikasa. (Al 4)
c) taja mambo yaliyofanyikia Ridhaa awali ya kuashiria mikasa.(Al 4)
b) Kwa kurejelea riwaya ya chozi la heri jadili dhiki za wakimbizi.(Al 10)
Kwa kurejelea riwaya ya chozi la heri jadili dhiki za wakimbizi
Follow AtikaSchool.Org on our Social ChannelsThis gives you an opportunity to get our latest uodates, changes and firsthand information
0 Comments
Leave a Reply.Don't give up, Keep Searching for more |
Uchambuzi wa Chozi la Heri na Assumpta K MateiCATEGORY
ARCHIVES
AUTHOR
M.A NYAMOTIB.ed Science [MKU] RSS FEEDS
CHOZI LA HERI![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
|