Maswali na Majibu KCSE Kiswahili
Ufahamu | Ufupisho | Isimu Jamii | Insha | Utumizi wa Lugha
ISIMU JAMII4. ISIMU JAMII (i) Eleza maana ya lugha sanifu. (alama 1) (ii) Eleza maana ya lafudhi (alama 1) (iii) Jadili matatizo manne yanayokumba ukuaji wa lugha ya Kiswahili nchini Kenya. (alama 8) ISIMU JAMII majibu
4. ISIMU JAMII Lugha Sanifu (i) Ni ile lahoja iliyochanguliwa na kufanyiwa marekebisho ya kimatamushi, kisarufi, kimaana na kimaandishi ili iweze kutumika katika shughuli rasmi kwa mfano — kiunguja. (ii) Lafundi Matamshi ya mzungumzaji yatokanayo na kuathiriwa na lugha ya kwanza au lugha zilizo katika eneo anamoishi. Al -1 au Matamshi ya sauti za lugha yanayomtambulisha mtu au jamii ya lugha Fulani. (iii) Matatizo manne yanayokumba ukuali wa Iuha ya Kiswahili nchini Kenya. 1. Udhaifu na kutekelezwa kwa sera. 2. Matatizo katika mitaala 3. Matumizi mabaya ya lughaushindani wa lugha nyingine 4. Mielekeo hasi 5. Shule za kimataifa na za kibinafsi 6. Ukosefli wa vyombo rasmi vya kukuza Kiswahili 7. Utafiti 8. Msamiati na istilahi
0 Comments
ISIMU JAMII (Alama10)a) Eleza maana ya istilahi zifuatazo i) Lafudhi (alama 1) __________________________________________________________________________ ii) Pijini (alama 1) __________________________________________________________________________ iii) Lahaja (alama 1) __________________________________________________________________________ b) Eleza njia tatu za kupunguza tofauti za kilahaja (alama 3) __________________________________________________________________________ c) Fafanua sababu zozote zinazosababisha makosa katika matumizi ya lugha ya Kiswahili (alama 4) Mwongozo
a) i) Lafudhi – ni upekee unaojitokeza baina ya watumiaji mbalimbali wa lugha moja. ii) Pijini – ni lugha inayoibuka panapotokea mwingiliano wa watu wanaozungumza lugha tofauti kwa lengo la kurahisisha mawasiliano. iii) Lahaja ni tofauti katika matamshi, maumbo na matumizi ya maneno zitokanazo na tofauti katika maeneo mbalimbali kwa lugha yenye asili moja. b) i) Kusanifisha lugha ii) Kuimarisha njia za usafiri baina ya maeneo ambapo lugha inatumiwa km barabara iii) Kuwepo kwa mfumo mmoja wa elimu ambapo lugha moja inatumiwa iv) Maendeleo ya njia za kupashana habari km simu magazeti, redio n.k v) Kuweka utawala mmoja k.v. muungano wa Afrika Mashariki. c) Lugha ya kwanza Hali – uchovu / ugonjwa wa mzungumzaji Uwili lugha / uwingi lugha Kwa kukusudia km. waigizaji. Kutozingatia ngeli Kutoelewa lugha/msamiati Kutozingatia upatanisho wa ngeli Kutozingatia tahajia/hijai/maendelezo Maswali na Majibu ya Isimu Jamii
MWONGOZO WA KUSAHIHISHA
1. Barua rasmi
Wasifu kazi Maelezo ya kibinafsi
Ndoa Anwani Uana Simu Maelezo ya kielimu Chuo kikuu Shule ya sekondari Shule ya msingi (Shule ulizosomea, mitihani uliyofanya na vyeti Tajriba – kazi ulizowahi kufanya, vyeo na muda Uraibu 1. 2. Maandisha na machapisho Uanachama 1. 2. Warejelewa 1. Jina / Anwani 2. Jina / Anwani Mwanafunzi azingatie vichwa vidogo vidogo Makosa ya sarufi, hijai na mtindo yaandhibiwe 2. Serikali yafaa kufanya yafuatayo
3. Hii ni insha ya methali
ii) Na vile mhusika Yule ataishia kufanikiwa Tanbihi: mtahiniwa akionyesha upande mmoja apate chini ya 10/20. 4. Insha ya mdokezo Mtahiniwa aandike kisa kitakachoonyesha majuto baada ya kujipata taabani. Hii iwe baada ya maelekezo kutoka kwa mwalimu mkuu; yaliyoambulia patupu. Au Mwanafunzi aandike kisa kitakachoonyesha furaha baada ya kufuata ushauri wa mwalimu mkuu. Ushindi wake usababishe furaha isiyo na kifani inayoambatana na kilio na machozi ya furaha. |
Primary Resources
College Resources
|
Secondary Resources
|
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii Tel: 0728 450 424 Tel: 0738 619 279 E-mail - sales@manyamfranchise.com |