ATIKA SCHOOL
  • Start
    • Help & Support
    • About Us
  • MEMBERS PORTAL
  • BLOGS
    • QUESTIONS & ANSWERS >
      • SECONDARY >
        • LANGUAGES >
          • Secondary English Questions and Answers
        • TECHNICALS >
          • COMPUTER STUDIES >
            • COMPUTER STUDIES Q & A
            • kcse computer studies paper 2 AND 3 Questions & Answers
          • BUSINESS STUDIES QUESTIONS & ANSWERS
          • KCSE AGRICULTURE TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCSE HOME SCIENCE DIRECT QUESTIONS AND ANSWERS
        • SCIENCES >
          • KCSE Mathematics Topical Questions
          • KCSE Biology Topical Questions and Answers
          • CHEMISTRY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCSE Physics Topical Questions
          • KCSE physics Practical Sample Quiz
        • HUMANITIES >
          • C.R.E (CRE) QUESTION AND ANSWERS
          • ISLAMIC RELIGIOUS EDUCATION (IRE) QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCSE History Topical Questions and Answers
          • GEOGRAPHY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
      • PRIMARY >
        • Standard 4-8 Mathematics Topical Questions from Mocks and KCPE
        • Std 6 Mathematics Notes
    • TUTORIALS >
      • SECONDARY >
        • SCIENCES >
          • FOCUS MATHEMATICS TUTORIALS AND EXAMS FREE
          • KCSE BIOLOGY NOTES
          • FREE KCSE CHEMISTRY NOTES
          • KCSE PHYSICS NOTES, AUDIOVISUALS AND MORE
        • LANGUAGES >
          • ENGLISH >
            • FATHER OF NATIONS STUDY GUIDE
            • A GUIDE TO SILENT SONG AND OTHER STORIES
            • English KCSE Set Books
            • ENGLISH POETRY QUESTIONS WITH ANSWERS FOR K.C.S.E CANDIDATES
            • ENGLISH GRAMMAR #KCSE
          • KISWAHILI >
            • Bembea ya Maisha
            • CHOZI LA HERI - MWONGOZO
            • KIGOGO - MWONGOZO
            • MASWALI NA MAJIBU YA TUMBO LISILOSHIBA
            • USHAIRI MASWALI NA MAJIBU
            • KCSE Kiswahili Fasihi
        • TECHNICALS >
          • HOME SCIENCE NOTES
          • KCSE BUSINESS STUDIES NOTES
          • COMPUTER STUDIES NOTES LATEST
          • KCSE AGRICULTURE NOTES, SYLLABUS, QUESTIONS, ANSWERS, SCHEMES OF WORK AND OTHERS
        • HUMANITIES >
          • KCSE History Notes Form 1 to 4
          • FREE KCSE CRE NOTES
          • KCSE GEOGRAPHY NOTES
          • IRE NOTES, AUDIOVISUAL, QUESTIONS AND ANSWERS
      • PRIMARY >
        • STANDARD 4: SOCIAL STUDIES
        • NOTES >
          • KISWAHILI
          • SOCIAL STUDIES
        • EXAMINATIONS
        • DecaTurbo Online Series Examinations
        • KCPE Mathematics Notes
        • KCPE and Primary Level Compositions
      • Other Supportive Documents >
        • SYLLABUS >
          • Primary 8-4-4 based Syllabus, Objectives and Lessons
          • Primary Mathematics Syllabus
        • MASOMO VIDEOS
    • EXAMINATIONS >
      • MOCKS AND JOINT EXAMS >
        • FORM 1 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 2 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 3 EXAMINATIONS, QUESTION PAPERS AND ANSWERS
        • FORM 4 MOCKS PAST EXAMS BY REGION
        • TOP SECONDARY EXAMS ALL SUBJECTS
      • KPSEA NATIONAL EXAMS
      • KCPE >
        • KCPE PAST PAPERS AND ANSWERS >
          • KCPE 2020 RESULTS, REPORTS, QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCPE PAST PAPERS 2019 REPORTS, RESULTS, QUESTIONS AND ANSWERS
        • KCPE PAST PAPERS PER SUBJECT
      • KCSE >
        • KCSE PAST PAPERS BY SUBJECT
        • KNEC KCSE PAST PAPERS, MARKING SCHEMES, QUESTIONS & ANSWERS
        • Free KCSE Past Papers Mathematics
        • Free KCSE Biology Questions and Answers
  • OUR PRODUCTS
    • All Categories >
      • MORE PRODUCTS >
        • SECONDARY CRE NOTES
        • COURSE BOOKS
        • KCSE KISWAHILI SETBOOKS
        • Backed Up Files and Archives
        • FREE DOCUMENTS
        • PRIMARY 8-4-4 BASED RESOURCES
        • STANDARD 8 RESOURCES
        • HIGH SCHOOL RESOURCES >
          • Biology Paper 3 Exams
          • Secondary Examinations
        • PRIMARY CBC BASED RESOURCES
        • COLLEGE & VARSITY RESOURCES
      • PRIMARY RESOURCES CBC
      • PRIMARY RESOURCES 8-4-4
      • SECONDARY RESOURCES
      • NOTES & TUTORIALS
      • COLLEGE RESOURCES
      • NOVELS and OTHER BOOKS
    • CURRICULUM >
      • NEW CURRICULUM DESIGNS >
        • PRIMARY >
          • PRE PRIMARY ONE CURRICULUM WITH SYLLABUS
          • PRE PRIMARY TWO CURRICULUM WITH SYLLABUS
        • SECONDARY >
          • KNEC KCSE SYLLABUS AND COURSE OUTLINES
        • COLLEGE >
          • Regulations for the TIVET Craft and Diploma Business Examinations
    • HIGH INSTITUTIONS >
      • EXAMINATIONS >
        • College and Varsity Past Papers online
      • TUTORIALS >
        • COLLEGE AND UNIVERSITY NOTES AND TUTORIALS

Follow us now to receive the latest updates @schoolatika





FASIHI SIMULIZI MODEL16012023002

16/1/2023

0 Comments

 
​Soma maagizo yafuatayo kisha ujibu maswali
​(Alfajiri kuu. Vijana wanazunguka kinu, vifua wazi.  Nyusoni wamepakwa masizi na aina ya tope jeupe.  Wako katikati yam situ. Mzee Jando ameketi kwenye namna yam to wa nyasi.)
Mzee Jando: (Akiwahiza) haraka! Ongezeni kasi! Zunguka! Haya imbeni, barobaro!
Vijana: jua lachomoza!
​​Muda umefika wa mbegu kuatika!
Ichipuke na kuzalisha matunda!
Ni leo, ni sasa!
Mzee Jando: haya ketini sasa
Vijana: (Vijana wanaketi katika mistari huku wameshikana mikono mabegani)
Mzee Jando: tulisema mume nini?
Vijana: (kwa pamoja na kwa sauti ya dhati)
Mume ni kazi
Sio ubazazi
Ale jasho lake
​Mzee Jando: Sawa kabisa, je mume ni nani?
Vijana: Ni mlinzi wa jamii
Ni mfano mwema wa jitihada
Apambane na adui
Atende wajibu na maadili
​Mzee Jando: Jambo linalovunja umoja!
Vijana: Likumbatiwe na kufunzwa hata watoto wachanga!
Mzee Jando: Haya, semeni wenyewe leo!
Vijana: Leo tumkomaa, si watoto tena
Tumetimia barobaro kamili
Sisi ni stadi
Sisi ni wapevu!
Tayari kwa majukumu ya kujenga jamii
Sisi ni tegemeo la umma
Sisi ndio chimbuko la wema
Maadili na upendo
Mzee Jando: Nakubali mko tayari.  Haya tuendelee na ada zetu zingine. Kijembe kukidhihaki!
Vijana: (Wanasimama kijasiri na kurindimisha sauti) Tuko tayari kuingia utuuzima!

maswali

  • (a) Bainisha kipera cha maigizo kinachorelelewa. Thibitisha jibu lako kwa mifano mine. ( al 5)
  • (b) Fafanua matarajio sita ya utuuzima kwa mujibu wa maigizo haya. (al 6)
  • (c) Eleza mbinu nne za sanaa ambazo waigizaji wamezitumia katika kuwasilisha maigizo haya. (al 4)
  • (d) Unanuia kukusanya data kuhusu kupera hiki, fafanua mbinu sita utakazotumia kukusanyia data huku ukionyesha sababu za utenzi wako.(al 5)

majibu

  • ​(a)
    • ​Kipera – Miviga
    • Sifa za miviga
    • (i) Maleba maalum huvaliwa na wahusika – Vijana vifua wazi. Nyusoni wamepakwa masizi na aina ya tope jeupe
    • (ii) Huongozwa na watu maalum – mzee Jando
    • (iii) Huhusisha vitendo maalum kama kula viapo, kuimba, kushikana mikono
    • (iv) Haundamana na utoaji wa mawaidha – vijana wanafunzwa majukumu yao katika jamii
    • (v) Mwanajamii anaingizwa katika kundi Fulani kutoka jingine – vijana wanaingizwa utuuzimani.
    • (vi) Hufanywa mahali maalum sherehe hiyo inapofanyika kama katikati yam situ
    • (vii) Hufanywa wakati maalum sherehe hiyo inapofanyika kama alfajiri kuu
    • (viii) Wahusika huweka ahadi za kutenda wema.  Vijana wanaahidi kutena kama waume.
    • (ix) Huwa na mpangilio wa shughuli kuanzia mwanzo, kati hadi mwisho. Himizo, mafunzo kisha kijembe.  = 1x4
  • (b
    • (i) kufanya kazi na kula jasho lako
    • (ii) Kuwaelisha vijana – Mzee Jando
    • (iii) Ulinzi wa jamii / kupambana na adui
    • (iv) Mfano mwema wa jitihada
    • (v) Kutenda wajibu na maadili
    • (vi) Kufunza umoja na upendo katika jamii
    • (iv) Ustadi na upevu
    • (v) Kujenga jamii
    • (vi) Tegemeo la umma
    • (vii) Chimbuko la wema, maadili na upendo 1x6
  • c
    • (i) Nidhaa / siahi – Haraka! Ongezeni kasi! Zunguka! Haya imbeni, barobaro! 
      • Kushajiisha vijana.
    • (ii) Jazanda – kijembe kukidhihaki – tohara / ujasiri.
    • (iii) Taswira – picha ya vijana na vitendo katika sherehe ya tohara
    • (iv) Balagha – mume ni nani? Majukumu ya mume yanajulikana katika jamii
    • (v) Usambamba / takriri muundo – sisi ni stadi
      • Sisi ni wapevu
  • (d
    • (i) Kusikiliza – mtafiti anaweza kuwasikiliza vijana wakiwa shereheni.  Mtafiti atapata ujumbe asilia na halisi kwa sababu atapata kubaini panapotatiwa chuku.
    • (ii) Kushiriki – mtafiti anaweza kujiunga na vijana katika sherehe hii na kujirekodia kuaminika moja kwa moja.
    • (iii) Kurekodi – mtafiti anaweza kutumia vinasasauti, kanda za video, filamu au upigaji picha.  Mtafiti hupata habari za kutegemewa na anaweza kuzirejelea baadaye / kumbukumbu 
    • (iv) Uchanzaji / kutazama – mtafiti anashuhudia kwa macho mvigha huu unapoendelezwa, Mbinu hii ni bora kwani utendaji hautaathiriwa kwani washiriki hawatajua kuwa wanatazamwa.
    • (v) Kutumia hojaji – mtafiti anaweza kutayarisha hojaji ambayo ataipelekea mhojiwa ambaye anapaswa kuijaza.  Mbinu hii ni bora kwani mtafiti anaweza kuwafikia watoaji wengi wa habari kwa wakati mmoja.
    • (vi) Mahojioano – mtafiti anaweza kukabiliana ana kwa ana na wahusika anaonuia kupata maarifa kutoka kwao.
      •  Mbinu hii inamwezesha mtafiti kupata ufafanuzi wa papo kwa papo.
Za kwanza 5x1 = 5 tanbihi, Mtahiniwa atoe mbinu aifafanue kisha atoe sababu ili apate alama moja katika kila hoja.
Print Friendly and PDF


Follow AtikaSchool.Org on our Social Channels

This gives you an opportunity to get our latest uodates, changes and firsthand information







0 Comments



Leave a Reply.

Don't give up, Keep Searching for more

    fasihi simulizi

    Categories

    All
    CHOZI LA HERI
    DAMU NYEUSI
    FASIHI SIMULIZI
    FORM 4
    KIDAGAA KIMEMWOZEA
    Swali Na Jibu
    TUMBO LISILOSHIBA

    Archives

    January 2023
    December 2022
    June 2021
    January 2020
    August 2018
    April 2018

    RSS Feed

Click to set custom HTML


Primary Resources
  • K.C.P.E Past Papers
  • ​Pri - Primary 1 Level
  • Pri  - Primary 2 Level
  • Grade 1
  • Grade 2
  • Grade 3
  • Grade 4
  • Standard 5
  • Standard 6
  • Standard 7
  • Standard 8
  • English
  • Kiswahili
  • Social Studies
  • Science
  • Mathematics
  • Kenya Sign Language
  • I.R.E
  • ​H.R.E
  • Notes
  • Termly Questions
  • Mocks
  • K.C.P.E Past Papers
College Resources
  • E.C.D.E
  • P.T.E
  • D.T.E
  • Technical Diploma
  • Technical Certificate
  • Business Diploma
  • Business Certificate
  • Higher Diploma
  • K.A.S.N.E.B Resources
  • K.M.T.C Resources
  • Varsity Resources
Secondary Resources
  • K.C.S.E Past Papers
  • Form 1
  • Form 2
  • Form 3
  • Form 4
  • Term 1
  • Term 2
  • Term 3
  • English
  • Geography
  • History
  • C.R.E
  • I.R.E
  • ​H.R.E
  • Home Science
  • Computer Studies
  • Business Studies
  • Agriculture
  • Chemistry
  • Biology
  • Physics
  • Mathematics ALT A
  • Mathematics ALT B
  • Kiswahili
  • French
  • Germany
  • Arabic
  • Aviation
  • Art & Design
  • Drawing & Design
  • Building & Construction
  • Metal Works
  • Wood Work
  • Music
  • Kenya Sign Language
  • Electricity
Other Useful Links
  • Academic Environment
  • How its Done
  • News and Opinions
  • Manyam Franchise Support
  • About
  • SITEMAP
  • FOCUS A365 SERIES
  • Membership Details (KCPE/KCSE)
  • Secondary Mocks
  • SYLLABUS
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii
Tel: 0728 450 424
Tel: 0738 619 279
Tel: 0763 450 425
E-mail - sales@manyamfranchise.com
Photos used under Creative Commons from wrcomms, osipovva
  • Start
    • Help & Support
    • About Us
  • MEMBERS PORTAL
  • BLOGS
    • QUESTIONS & ANSWERS >
      • SECONDARY >
        • LANGUAGES >
          • Secondary English Questions and Answers
        • TECHNICALS >
          • COMPUTER STUDIES >
            • COMPUTER STUDIES Q & A
            • kcse computer studies paper 2 AND 3 Questions & Answers
          • BUSINESS STUDIES QUESTIONS & ANSWERS
          • KCSE AGRICULTURE TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCSE HOME SCIENCE DIRECT QUESTIONS AND ANSWERS
        • SCIENCES >
          • KCSE Mathematics Topical Questions
          • KCSE Biology Topical Questions and Answers
          • CHEMISTRY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCSE Physics Topical Questions
          • KCSE physics Practical Sample Quiz
        • HUMANITIES >
          • C.R.E (CRE) QUESTION AND ANSWERS
          • ISLAMIC RELIGIOUS EDUCATION (IRE) QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCSE History Topical Questions and Answers
          • GEOGRAPHY TOPICAL QUESTIONS AND ANSWERS
      • PRIMARY >
        • Standard 4-8 Mathematics Topical Questions from Mocks and KCPE
        • Std 6 Mathematics Notes
    • TUTORIALS >
      • SECONDARY >
        • SCIENCES >
          • FOCUS MATHEMATICS TUTORIALS AND EXAMS FREE
          • KCSE BIOLOGY NOTES
          • FREE KCSE CHEMISTRY NOTES
          • KCSE PHYSICS NOTES, AUDIOVISUALS AND MORE
        • LANGUAGES >
          • ENGLISH >
            • FATHER OF NATIONS STUDY GUIDE
            • A GUIDE TO SILENT SONG AND OTHER STORIES
            • English KCSE Set Books
            • ENGLISH POETRY QUESTIONS WITH ANSWERS FOR K.C.S.E CANDIDATES
            • ENGLISH GRAMMAR #KCSE
          • KISWAHILI >
            • Bembea ya Maisha
            • CHOZI LA HERI - MWONGOZO
            • KIGOGO - MWONGOZO
            • MASWALI NA MAJIBU YA TUMBO LISILOSHIBA
            • USHAIRI MASWALI NA MAJIBU
            • KCSE Kiswahili Fasihi
        • TECHNICALS >
          • HOME SCIENCE NOTES
          • KCSE BUSINESS STUDIES NOTES
          • COMPUTER STUDIES NOTES LATEST
          • KCSE AGRICULTURE NOTES, SYLLABUS, QUESTIONS, ANSWERS, SCHEMES OF WORK AND OTHERS
        • HUMANITIES >
          • KCSE History Notes Form 1 to 4
          • FREE KCSE CRE NOTES
          • KCSE GEOGRAPHY NOTES
          • IRE NOTES, AUDIOVISUAL, QUESTIONS AND ANSWERS
      • PRIMARY >
        • STANDARD 4: SOCIAL STUDIES
        • NOTES >
          • KISWAHILI
          • SOCIAL STUDIES
        • EXAMINATIONS
        • DecaTurbo Online Series Examinations
        • KCPE Mathematics Notes
        • KCPE and Primary Level Compositions
      • Other Supportive Documents >
        • SYLLABUS >
          • Primary 8-4-4 based Syllabus, Objectives and Lessons
          • Primary Mathematics Syllabus
        • MASOMO VIDEOS
    • EXAMINATIONS >
      • MOCKS AND JOINT EXAMS >
        • FORM 1 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 2 QUESTION PAPERS, ANSWERS AND MARKING SCHEMES COLLECTIONS
        • FORM 3 EXAMINATIONS, QUESTION PAPERS AND ANSWERS
        • FORM 4 MOCKS PAST EXAMS BY REGION
        • TOP SECONDARY EXAMS ALL SUBJECTS
      • KPSEA NATIONAL EXAMS
      • KCPE >
        • KCPE PAST PAPERS AND ANSWERS >
          • KCPE 2020 RESULTS, REPORTS, QUESTIONS AND ANSWERS
          • KCPE PAST PAPERS 2019 REPORTS, RESULTS, QUESTIONS AND ANSWERS
        • KCPE PAST PAPERS PER SUBJECT
      • KCSE >
        • KCSE PAST PAPERS BY SUBJECT
        • KNEC KCSE PAST PAPERS, MARKING SCHEMES, QUESTIONS & ANSWERS
        • Free KCSE Past Papers Mathematics
        • Free KCSE Biology Questions and Answers
  • OUR PRODUCTS
    • All Categories >
      • MORE PRODUCTS >
        • SECONDARY CRE NOTES
        • COURSE BOOKS
        • KCSE KISWAHILI SETBOOKS
        • Backed Up Files and Archives
        • FREE DOCUMENTS
        • PRIMARY 8-4-4 BASED RESOURCES
        • STANDARD 8 RESOURCES
        • HIGH SCHOOL RESOURCES >
          • Biology Paper 3 Exams
          • Secondary Examinations
        • PRIMARY CBC BASED RESOURCES
        • COLLEGE & VARSITY RESOURCES
      • PRIMARY RESOURCES CBC
      • PRIMARY RESOURCES 8-4-4
      • SECONDARY RESOURCES
      • NOTES & TUTORIALS
      • COLLEGE RESOURCES
      • NOVELS and OTHER BOOKS
    • CURRICULUM >
      • NEW CURRICULUM DESIGNS >
        • PRIMARY >
          • PRE PRIMARY ONE CURRICULUM WITH SYLLABUS
          • PRE PRIMARY TWO CURRICULUM WITH SYLLABUS
        • SECONDARY >
          • KNEC KCSE SYLLABUS AND COURSE OUTLINES
        • COLLEGE >
          • Regulations for the TIVET Craft and Diploma Business Examinations
    • HIGH INSTITUTIONS >
      • EXAMINATIONS >
        • College and Varsity Past Papers online
      • TUTORIALS >
        • COLLEGE AND UNIVERSITY NOTES AND TUTORIALS