USHAIRIEti Mimi niondoke hapa Niondoke hapa kwangu Nimesaki, licha ya risasi Vitisho na mauaji, siondoki Mimi Siondoki Siondoki siondoki Niondoke hapa kwangu! Kwa mateke hata na mikuki Marungu na bunduki, siondoki Hapa Siondoki Mimi ni Pahame! Niondoke hapa kwangu! Fujo na ghasia zikizuka Na kani ya waporaji, siondoki Haki Siondoki Kwangu siondoki Niondoke hapa kwangu! Nawaje; waje wanaokuja Mabepari wadhalimu, siondoki Kamwe Siondoki Ng’oo hapa kwangu! Katizame chini mti ule! Walizikwa babu zangu, siondoki Sendi Nende wapi? Si hapa kitovu changu Niondoke hapa kwangu Wangawa na vijikaratasi Si kwamba hapa si kwangu, siondoki Katu Siondoki Sihitaji karatasi Niondoke hapa kwangu Yangu mimi ni ardhi hii Wala si makaratasi, siondoki Maswali
MWONGOZO WA KUSAHIHISHA - USHAIRI
0 Comments
|
AuthorAtika School Team Archives
December 2023
Categories
All
|
Can't find what you are looking for? Don't worry, Use the Search Box Below.
Primary Resources
College Resources
|
Secondary Resources
|
Contact Us
Manyam Franchise
P.O Box 1189 - 40200 Kisii Tel: 0728 450 424 Tel: 0738 619 279 E-mail - sales@manyamfranchise.com |