SIPENDI KUCHEKAPana jambo nanatukiya, kwangu hilo ni muhali Kitenda naona haya, kujishusha yangu hali Sipendi unipe hidaya, sipendi kutenda hili Sipendi mimi kucheka Sipendi mimi kucheka , kuchekea mawa Sipendi ya dhihaka, kwangu nyemi hiwi Sipendi kwa hakika, mwovu kistawika Halafuye nikacheka! Maskini akiteswa Yatima akinyanyaswa Mnyonge naye akinyonywa Sipendi hata ikiwa Unazo nguvu najuwa Ni hili sitatekezwa Mbona lakini nicheke, kwayo furaha? Na wewe ukajiweke, uli na siha Na yatima pweke, wa anahaha? Amenyimwa haki yake, hanayo raha! Na moyo wangu ucheke, kwa ha! ha! ha! Kucheka kwa kuchewa mimi katu sitacheka. maswali na majibua) Hili ni shairi la aina gani? Thibitisha jibu lako kwa kutaja mifano miwili. (alama 3)Shairi huru
b) Kwa nini mshairi hataki kucheka. (alama 3)
c) Eleza umbo la ubeti wa tatu wa shairi hili. (alama 4)
d) Tambua nafsineni katika shairi hili. (alama 2)Mtetezi wa wanyonge e) Tambua toni ya shairi hili. (alama 1)Toni ya huzuni/malalamiko/masikitiko f) Dhihirisha matumizi ya uhuru ufuatao katika shairi hili. (alama 2) |
AuthorAtika School Team Archives
January 2023
Categories
All
|