​Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.
​​Hukuja hapa kwa wingi,
Vitimbi vya kila namna, Kunambia nikuruzuku, Kimwana awe mwenzio, Hukumtwaa mwanangu, Kisema mno walavu, Vipi wangeuza ngoma, Mapepo wampigia? Siwe uloandaa, Harusi ya kukata na shoka, Masafu ya magari, yakilalama jua kali, Hadi kanisani kungia, mimbari wa kusimama, Kasema utamuenzi, hadi yenu mauko? Vipi jicho lageukia, mitaani vipaa mwitu? Hukunabia we fidhuli, Mwanangu utamtunza? Taandamana naye daima, Ja chanda na pete? Hukumwonjesha tamu, ya ulaghai huyuno? Midisko wampleka, kizingizia mapenzi, Vipi wamtezea shere, mwangu kumliza?
Lini taacha dhuluma hizino humfanyiazo,
Tuchukua lini majukumu, Ya kumlea na vifaranga? Huachi kulia u waya Wanao kitelekeza Nadhiri zako za nitakipu promise, Zi wapi mwana balaa? Lini tafumbua maozi, uone huyu nduli, Alotwala wengi wapendi, Kwa jicho la nje kuwangia, Imeanguka miamba mingapi, nayo ngangania kufia dodani, Zinduka mwana zinduka, Ailayo waangamiza. ​Maswali
majibu
Shairi la pili Majibu
Follow AtikaSchool.Org on our Social ChannelsThis gives you an opportunity to get our latest uodates, changes and firsthand information ushairi questions and answers pdfushairi pdf downloadushairi wa kiswahili pdfushairi noteskiswahili questions and answers pdffasihi simulizi questions and answers
0 Comments
Leave a Reply.Don't give up, Keep Searching for more |
AuthorAtika School Team Archives
January 2023
Categories
All
|