​​Mkatanimkatika, harithihatorithiwa
Sinaninalolishika, walaninalochukuwa Mlimwengukanipoka, hata tone la muruwa! Mrithininiwanangu? Sinango’ombesinambuzi,sinakondesinabuwa Sinahatamakaazi, mupasayokuyajuwa Sinamazurimakuzi, jinsinilivyoachiwa Mrithininiwanangu? Sinakazisinabazi, ilawingiwashakawa Sinachembeyamajazi, mnonikukamuliwa Nakwa’cheniupagazi, mgumukwenuku’tuwa Mrithininiwanangu?
Sinasikuachajina, mkatahatasifiwa
Hatanifanye la mana, mnonikulaumiwa Poleniwanangusana, sinakwenu cha kutowa Mrithininiwanangu? Sinaleosinajana, sinakeshokutwaliwa Sinazizisinashina, walatawikuchipuwa Sinawanangu mi sana, la kwacha nakuraduwa Mrithininiwanangu? Sina utu sinahaki, milayangumeuliwa Nyumayanguilidhiki, nambeleimekaliwa N’nawananamikiki, hadin’tapofukiwa Mrithininiwanangu? Sinai la keshokwenu,wenyewekuiongowa Muwanekwanyingi,mbinumwendepasikupuwa Leo siyo, keshoyenu, kamamutajikamuwa Mrithininiwanangu? (Kina cha maisha A.S.Mohammed) ​MASWALI
MAJIBU
​a) Hali yamzungumzaji. (al 4)
Follow AtikaSchool.Org on our Social ChannelsThis gives you an opportunity to get our latest uodates, changes and firsthand information ushairi questions and answers pdfushairi pdf downloadushairi wa kiswahili pdfushairi noteskiswahili questions and answers pdffasihi simulizi questions and answers
0 Comments
Leave a Reply.Don't give up, Keep Searching for more |
AuthorAtika School Team Archives
January 2023
Categories
All
|